Kama Kifo ni mpango wa Mungu basi Mungu wenu atakuwa katili sana, mnawezaje kuwa nae?

Sasa unakuaje na uhakika katika vitu ambavyo hujavithibitisha?
Ndo imani sasa. Kwani ww kuna uliyemwambia athibitishe kuwa MUNGU yupo na akakupa uthibitisho usio na shaka?
 
Mimi nakuuliza baba yako alishindwa kujenga nyumba ambayo haiwezi kupata ufa?

Unanijibu nyufa hazihusiani na aina ya nyumba.

Totally off point.

Whether nyufa zinahusina na aina ya nyumba au hazihusiani na aina ya nyumba, swali liko pale pale.

Baba yako alishindwa kujenga nyumba ambayo haiwezi kupata ufa?

Usikimbie swali kwa objections zilizo off point.

Mungu wako alishindwa kuumba ulimwengu ambao kifo hakiwezekani kuwepo wala kufikirika?

Hujajibu swali hili.
Ukizungumzia nyufa kwenye nyumba unakusudia kuta za nyumba hivyo kujenga nyumba isiyo na ufa maana yake ni kujenga kuta imara. Sasa wewe nikikuuliza huo uumbaji wa ulimwengu usio na kifo ndio ukoje huwezi kueleza,unarudi tu kusema usio na kifo sijui kifo hakitokei wakati nakwambia kuwa kifo hakihusiani na aina ya ulimwengu.
 
Ndo imani sasa. Kwani ww kuna uliyemwambia athibitishe kuwa MUNGU yupo na akakupa uthibitisho usio na shaka?
Nisome vizuri hapa

Umesema imani haina uthibitisho wala uhakika, halafu ukaja kui define imani kwamba ni kua na hakika wa vitu uvitumainiavyo

Sasa iweje uwe na uhakika katika vitu unavyovitumaini ambavyo havijatokea na huwezi kuvithibitisha kwa uthibitisho?

Halafu huo uhakika wa hivyo vitu unavyovitumaini unaupata vipi bila kufikiri, kwasababu mpaka unakuja kuhitimisha kwa kupata uhakika maana yake umeanza kwa kufikiri, ukafanya uchunguzi mpaka ukafikia conclusion kua ni hakika. Sasa umedai imani haihusishi kufikiri niambie huo uhakika unaupataje bila kufikiri?
 
Ngoja tufunge mjadala kwa hiyo Scars na Kiranga nyie hamna imani kwa Mungu wala maagizo yake?

Ukijibu ndio mjadala umeisha,ukijibu hapana nataka sababu una imani ganj ww?

Funga mjadala kwa kujibu maswali, mbona huko nyuma tulianza vizuri why tuishie hapa kwa style hii?
 
Ok pole Mkuu nilikuwa sijaelewa Mentality yako wakati nakujibu hapo juu; Nia yangu si kubishana, nilikuwa nakujibu kitu ambacho ulisema Mungu anaua; Ndio nikakwambia Kwamba usomaji Mbaya ndio unapelekea shida za Kum-attribute Mungu; Sasa naona kama wewe unataka Kubishana; Niwie radhi kama nimekukwaza.

Lakini tu kitu ninachokwambia ni kwamba, Bible iliandikwa na watu, na Ukisoma Bible in Comprenhensive way hutaona Mikanganyo ya Tabia za Mungu.
Mungu wako alishindwa kuumba ulimwengu ambao kifo hakiwezekani kuwepo wala kufikirika?

Hujajibu swali hili.
 
Ukizungumzia nyufa kwenye nyumba unakusudia kuta za nyumba hivyo kujenga nyumba isiyo na ufa maana yake ni kujenga kuta imara. Sasa wewe nikikuuliza huo uumbaji wa ulimwengu usio na kifo ndio ukoje huwezi kueleza,unarudi tu kusema usio na kifo sijui kifo hakitokei wakati nakwambia kuwa kifo hakihusiani na aina ya ulimwengu.
Nakuuliza, baba yako alishindwa kukununulia mpira usio wa bluu?

Unaniuliza, huo mpira usio wa bluu ndio ukoje?

Nakwambia si wa bluu, unaweza kuwa mwekundu.

Unarudia kuuliza, huo mpira usio wa bluu ndio ukoje?

Nakuuliza, Mungu wako alishindwa kuumba ulimwengu usio na kifo?

Unauliza, huo ulimwengu usio na kifo ndiyo ukoje?

Nakujibu, ni ulimwengu ambao kifo hakipo na wala hakifikiriki.

Unauliza, huo ulimwengu usio na kifo ndio ukoje?

Hapa inabidi nione umeshindwa kujibu swali unatumia mbinu kulikwepa tu.
 
Ngoja tufunge mjadala kwa hiyo Scars na Kiranga nyie hamna imani kwa Mungu wala maagizo yake?

Ukijibu ndio mjadala umeisha,ukijibu hapana nataka sababu una imani ganj ww?
Ndiyo.

Mimi siamini uwepo wa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Kwa sababu, Mungu huyo anakuwa contradicted na dunia tunayoiona.

Zaidi, sitaki kuamini, nataka kujua, kwa uthibitisho.

Kama unapinga hoja yangu, thibitisha Mungu huyo yupo.

Halafu elezea, kwa nini kaumba dunia ambayo mabaya yanaweza kutokea, wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutokea na hayajulikani kabisa.
 
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote hayupo.

Angekuwepo, asingeumba ulimwengu ambao unaruhusu vifo, magonjwa, matetemeko ya ardhi, ma tsunami, vita, magonjwa na mabaya mengi kama hayo.

Kuwepo kwa mabaya hayo kunaonesha Mungu huyo hayupo.

Mungu huyo kuwepo na ulimwengu kuwa na mabaya hayo, ni contradiction.

Umeelewa?

Wewe unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Unaloliona wewe baya katika upeo wa macho yako ni zuri katika upeo wa macho ya mwengine, duniani kuna viumbe wengi na sio binadamu pekee, haya mambo ni very complex huwezi kuyachukulia kawaida kawaida tu kama ulivyo comment wewe hapo kwa kudhani viumbe ni binadamu pekee.

Unataka kusiwepo na mabaya, je hutaki balance iwepo?
 
Unaelewa hoja yangu ni ipi?

Unaelewa kwambq siongelei ninachotqkq mimi, naongelea logical consistency ya dhana ya kuwepo kwa Mungu, jwa maelezo ya wanaosema Mungu yupo, si kwa maelezo yangu?

Unaelewa msingi wa hoja yangu ni upi?
 
Kiranga narudia tena, unachoona wewe kibaya sio kwa kila kiumbe kitakuwa kibaya, juwa pia kuna viumbe wengi sio binadamu pekee.
 
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote hayupo.

Angekuwepo, asingeumba ulimwengu ambao unaruhusu vifo, magonjwa, matetemeko ya ardhi, ma tsunami, vita, magonjwa na mabaya mengi kama hayo.

Kuwepo kwa mabaya hayo kunaonesha Mungu huyo hayupo.

Mungu huyo kuwepo na ulimwengu kuwa na mabaya hayo, ni contradiction.

Umeelewa?

Wewe unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
Unataka asiruhusu magonjwa je viumbe wanaosababisha magonjwa wakaishi wapi? Yani unaongea as if viumbe ni binadamu pekee, unataka asiweke kifo alafu apo apo unataka watu waendelee kuzaana.
 
unaamini kuwa kuna paradiso/peponi.?
 
Unajuaje Mungu na Roho Mtakatifu wapo kweli na si hadithi za watu tu?

Hujajibu swali hili.

Ukweli kwamba mimi nimefundishwa na mwalimu hauthibitishi Mungu yupo.

Unathibitisha nimefundishwa na mwalimu.
[emoji848][emoji2]
 
Unataka asiruhusu magonjwa je viumbe wanaosababisha magonjwa wakaishi wapi? Yani unaongea as if viumbe ni binadamu pekee, unataka asiweke kifo alafu apo apo unataka watu waendelee kuzaana.
Kwa hiyo unasema kwamba Mungu wako alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauna magonjwa na hao viumbe wanaosababisha magonjwa wanastawi bila kusababisha magonjwa?

Mbona una ya limit sana mawazo yako?

Umesema Mungu anaweza yote.

Halafu unamfanya Mungu wako muweza yote awe kama ameshindwa kuumba ulimwengu ambao bacteria na virus hawasababishi magonjwa?

Wewe huoni kwamba kuna contradiction hapo?

Yani Mungu wako kashindwa kuumba ulimwengu ambao watu hawafi, wanazidi kuzaana na ulimwengu haujai?

Si umesema ana uwezo wote?

Kashindwa kuumba ulimwengu huo ambao watu hawafi na hawajai?
 
Mi nimekuomba uthibitisho wa mungu we unanitajia sifa ambazo hata mimi naweza kuwa nazo

Sasa cheo, uwezo, ujuzi flani wa kipekee huyo ndio mungu?

Mfano mimi nimekuambia spiderman yupo na wewe ukaomba uthibitisho, je nikikuambia hizo sifa hapo juu ndio uthibitisho wa kuonesha spiderman yupo utakubali?
Peter Parker [emoji16]
 
Nakuuliza, baba yako alishindwa kukununulia mpira usio wa bluu?

Unaniuliza, huo mpira usio wa bluu ndio ukoje?

Nakwambia si wa bluu, unaweza kuwa mwekundu.

Unarudia kuuliza, huo mpira usio wa bluu ndio ukoje?

Nakuuliza, Mungu wako alishindwa kuumba ulimwengu usio na kifo?

Unauliza, huo ulimwengu usio na kifo ndiyo ukoje?

Nakujibu, ni ulimwengu ambao kifo hakipo na wala hakifikiriki.

Unauliza, huo ulimwengu usio na kifo ndio ukoje?

Hapa inabidi nione umeshindwa kujibu swali unatumia mbinu kulikwepa tu.
Najaribu kukuonesha makosa kwenye hilo swali lako ila unaona nakwepa swali lako,utabili sana ngoja nijaribu kukueleza tena.
Ni kwamba wewe unatakiwa ukizungumzie kifo kama kifo na sio kukihusisha kifo na huu ulimwengu kwa sababu kifo kinaweza kutokea hata nje ya huu ulimwengu. Hivyo si kwamba watu wanakufa kwa sababu huu ulimwengu unaruhusu au tatizo ni huu ulimwengu.
 
Huu ulimwengu una kifo?
 
Back
Top Bottom