Brother Safi sana umeuliza vizuri; Let me put some hint hapa kidogo wakati wa kujibu hili Swali lako.
Kwanza kabisa lazima ufahamu kwamba Life style hii tunaishi sio ambayo Mungu aliiweka ili watu wake waishi; Baada ya Mwanadamu Kukorofisha Nature ndio ilimkataa sio Mungu; Mungu aliset Nature; Kwenye uzazi aliweka Nature kwenye kila Mnyama kuproduce on its Kind; Mwanzo 1 na 2 everything was intact yaan, na kilikuwa na umilele
Baada ya hapo Taratibu Uharibifu ukaanza kuleta Athari Miaka ya Kuishi ikaanza kushuka Taratibu; Magonjwa yakaingia hii ni Matokeo ya Uharibifu, Hivyo Mwili ukapata Destruction Kubwa sana. Ndio mpaka sasa Unaweza kuta mtoto wa Miezi 6 anafariki; Tena sometimes Mtoto anafia tumboni kabisa, That is not God. Mungu kwake ni Uzima tu; Please read James 1 yote, aisee jamaa amefunguka sana hapo.
tatizo lililopo Kwa miaka na Karne nyingi kumekuwa na Mis-representation of God's Character, ambayo inafanya Mungu aonekane kama Gaidi.
Matetemeko, Tsunami, Mafuriko, Vifo na Majanga ya kila aina ambayo binadamu hawawezi kuyaelezea basi wanamtupia Mungu kwamba ndo anaweza kuwa amefanya; Kama kuna Mwamini wa Mungu ana amini hivyo then Huyo Mungu hastaili Kuabudiwa kabisa, maana kama Mungu anaweza kuwa na Dual Character then is no Dependable God, kuna siku atakuharibia mambo ya Msingi kabisa.
Kuna Dini fulani ndo huwa kawaida yake ku-attribute Kila Jambo ambalo linatokea duniani, Liwe zuri au Baya huwa ni Mungu; Sasa na naona na Christianity huwa inajisahau inaingia huko kwenye kuamini Kila kitu ni Mpango wa Mungu. Guys there is no Evil in God.