isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,152
- 6,601
Oke, nimeelewaKulingana na Vitabu vya waamini husika; Product zao ni tofauti;
Hawa Mungu tofauti wanashare teknolojia ya uzalishaji wa products zao.
Oke, nimeelewaKulingana na Vitabu vya waamini husika; Product zao ni tofauti;
Lakini hizo hizo business ndio zilizokuja na vitabu ambavyo vimesema "usimwache elimu aende zake shida mwapenda vya kutafuniwa ndo maana mna meza na visivyo sahihi".hiyo n business ila n wajibu wako kusoma sana ili ujue ukweli n upi na pumba n zipi hata vitabu vimesema usimwache elimu aende zake shida mwapenda vya kutafuniwa ndo maana mna meza na visivyo sahihi
Hakuna anaezaliwa upya bali inafanyika recicyling,,inafutwa memory unakuja kivingine,again and again,miaka nenda rudi,,usikute kabla ya hii circle,wewe ndo ulikua chifu mkwawa ama von wisman
hatuko kwenye kusema dini hii n sahihi ama ile sio
maana ukifahama tafasiri ya dini uwezi tafuta hizo tofauti
iko ivi dini n imani .ni kile unachoamini
dini n mm na ww kwa pamoja kuwa na imani moja kwa kuabudu kile tunachoamini
so habari ya fulani dini ya kweli Hakuna ajuaye huwezi kuamini kwa asilimia mia moja kuwa dini ile sio na hii ndio
fuata yale yalioelekezwa kwenye vitabu vya mungu maana hazijatofautiana
Kwa hiyo hakujua kuwa shetani atakuja kuasi alipomuumba? Ndicho unachotaka kusema hapa ama sijakuelewa vizuri?Kuhasi kwa shetani halikua lengo lake, kusudi lake ni kuumba,matokea baada ya kuumba angejua jinsi ya kupambana nayo
Naweza kuthibitishaMungu ni nini?
Unaweza kuthibitisha yupo kweli na habari za kuwepo kwake si hadithi za kutungwa na watu tu?
Hujajibu.
Kwa hiyo dunia imejaa?Sasa ndo kaamua kufanya hivi.
Wewe UFE mwingine AZALIWE
Alijua ndioKwa hiyo hakujua kuwa shetani atakuja kuasi alipomuumba? Ndicho unachotaka kusema hapa ama sijakuelewa vizuri?
By the way ni kuasi. Kuhasi ni neno jingine kabisa.
Wakora [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kwanza, define Mungu ni nini.Naweza kuthibitisha
Hakuna shetaniKwa hiyo hakujua kuwa shetani atakuja kuasi alipomuumba? Ndicho unachotaka kusema hapa ama sijakuelewa vizuri?
By the way ni kuasi. Kuhasi ni neno jingine kabisa.
Wakora [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
ikhlaas. Tatizo la watu wa aina yako ( wenye wasiwasi juu ya uwepo wa Mungu, sio kwamba mna uhakika Mungu hayupo bali wasi wasi tu) hua mnajiona mmefunguka zaidi kuliko watu tunaoamini Mungu yupo. Sasa hatuwezi kufikia mwafaka kama wewe utaona umenizidi akili. Kumjua Mungu na kujua juu ya uwepo wake inabidi ukubali kwanza anaweza kuwepo, maana yake haiwezekani wewe mwafrika upo huku Tanzania dunia ya tatu huamini Mungu wakati George Bush ( mwenye majawabu ya uwezekano wa uwepo wa extraterrestrials ulimwenguni ) ni muumini mzuri tu. Ukikubali kuwa kwakua upande wa Mungu una watu wengi na wenye akili nyingi kukuzidi, kwahiyo inawezekana Mungu yupo, ndo uulize genuinely maana ya Mungu na uwepo wake.Kwanza, define Mungu ni nini.
Halafu thibitisha habari za kuwapo kwa Mungu ni habari za kuwapo Mungu kiuhalisi, si hadithi za kuungwa ungwa na watu tu.
Kwa hiyo dunia imejaa?
Mungu ni uwezo,cheo,ujuzi flani wa kipekee au mkubwa sana.Kwanza, define Mungu ni nini.
Halafu thibitisha habari za kuwapo kwa Mungu ni habari za kuwapo Mungu kiuhalisi, si hadithi za kuungwa ungwa na watu tu.
Una uthibitisho au ni akili yako inasema?INGEJAA
Una uhakika gani kama huyo unayemjibu yupo huku Africa na sio kwingineko na una uhakika gani kama George Bush ni muumini wa Mungu?Hiyo inathibitisha kwamba we ni mtu wa ku-assume tu na ndo maana una assume kwamba Mungu yupo.ikhlaas. Tatizo la watu wa aina yako ( wenye wasiwasi juu ya uwepo wa Mungu, sio kwamba mna uhakika Mungu hayupo bali wasi wasi tu) hua mnajiona mmefunguka zaidi kuliko watu tunaoamini Mungu yupo. Sasa hatuwezi kufikia mwafaka kama wewe utaona umenizidi akili. Kumjua Mungu na kujua juu ya uwepo wake inabidi ukubali kwanza anaweza kuwepo, maana yake haiwezekani wewe mwafrika upo huku Tanzania dunia ya tatu huamini Mungu wakati George Bush ( mwenye majawabu ya uwezekano wa uwepo wa extraterrestrials ulimwenguni ) ni muumini mzuri tu. Ukikubali kuwa kwakua upande wa Mungu una watu wengi na wenye akili nyingi kukuzidi, kwahiyo inawezekana Mungu yupo, ndo uulize genuinely maana ya Mungu na uwepo wake.
Kula like mkuu hilo jamaa ulilioorodhesha hapo,limeshatutesa vya kutosha lakini na lenyewe litakufa tu!Kifo siyo kibaya mara zote. Imagine watu kama kina Hitler, Idd Amin, Magufuli, Mobutu wangekuwa wanaishi milele.
Duniani pangegeuka Jehannum
Mungu hausiki na kifo! vp na baada ya kifo?View attachment 1695994
Mnaounga mkono huyo askofu kwanini mnamwabudu huyo mungu?
Mungu wangu mimi ni tofauti na huyo, Mungu wangu ni mwingi wa upendo, Rehema na asie na hasira mdio maana hausiki na vifo
Baada ya kifo ww unataka nini tenaMungu hausiki na kifo! vp na baada ya kifo?
Sio mie kutaka kitu,ila mie nimeuliza baada ya mtu kufa kuna chenye kuhusika na Mungu au kwamba Mungu anahusika na baada ya kifo cha mtu? Kwamba suala la sisi kufa Mungu hahusiki je na baada ya sisi kufa kuna kichoendelea ambacho Mungu anahusika au kwamba pia hakuna kinachoendelea baada ya mtu kufa na wala hicho kifo chenye Mungu hahusiki?Baada ya kifo ww unataka nini tena