Kama Kifo ni mpango wa Mungu basi Mungu wenu atakuwa katili sana, mnawezaje kuwa nae?

Kama Kifo ni mpango wa Mungu basi Mungu wenu atakuwa katili sana, mnawezaje kuwa nae?

Unaamini kuwa Mungu hashindwi chochote?Kama jibu ni ndiyo,kwa nini alishindwa kumzuia ibilisi asihasi?

Ndio hashindwi chochote.
Kabla sijakujibu naomba nikuulize kwa mfano tu. Wewe unaweza kua boss wa taasisi fulani ndo mwenye maamuzi ya mwisho. Je? Unaweza mzuia msaidizi wako yeyote asikuasi? Kama ameamua kufanya hivyo? Kuasi si kufanikiwa pekee na ndio maana Mungu alijua na akamuacha akaasi na ndio maana ibilisi Akashindwa na kutupwa.
Hivyo hivyo hata leo unaweza kua na watu wanakupenda sana na wengine wasiokupenda hivyo huwezi lazimisha mtu akuelekee kama yeye mwenyewe hataki. Nimetoa mfano.
Hivyo Mungu alimwacha Shetani kwa sababu Shetani alitaka ukuu kumzidi Mungu na Mungu alimwacha.
 
Mungu ndiye anayetupatia uhai na ndiye anayeuchukua.. ..
 
Huwezi kamwe kunifananisha mimi na Mungu.Mungu hashindwi chochote lakini mimi nashindwa vingi.Mimi nikiwa boss mfanyakazi wangu ana uwezo wa kunisaliti na kuniasi kwa sababu sina nguvu za asili za kumzuia ila Mungu ana nguvu za asili za kufanya chochote na hashindwi chochote.Mungu ambae hashindwi chochote hawezi kushindwa kumzuia shetani anaetaka ukuu kuliko yeye.

Kitendo cha Mungu kudaiwa kuwa hashindwi chochote na wakati huohuo anashindwa kumzuia ibilisi kuhasi kinathibitisha ya kuwa Mungu huyo hayupo bali ni fikra za binadamu tu.
 
Labda wewe nikuulize. Unaamini Shetani yupo?
 
Siamini uwepo wa Mungu wala uwepo wa Shetani.

Anyway shikiria kwa bidii ukiaminicho, Mimi naamini Mungu yupo na kristo Bwana wetu na anatupenda sana. Na kifo ni kawaida tu ila nife wakati sahihi na kwa kusudi la Mungu.
 
Anyway shikiria kwa bidii ukiaminicho, Mimi naamini Mungu yupo na kristo Bwana wetu na anatupenda sana. Na kifo ni kawaida tu ila nife wakati sahihi na kwa kusudi la Mungu.
Huamini kuwa Mungu yupo.Huamini kuwa Mungu yupo kwa sababu wewe mwenyewe hapo juu umethibitisha kuwa Mungu hayupo.Umethibitisha kuwa Mungu hayupo kwa sababu inakuwaje Mungu ambae tunahubiriwa kuwa hashindwi chochote anashindwa kumzuia ibilisi asihasi?Tafsiri yake ni kwamba huyo ni Mungu hewa na hayupo na ni fikra za binadamu tu.
 
Haya Kaka sawa. Siku njema tunanena kwa Lugha tofauti. Maji na mafuta hayapatani.
 
Haya Kaka sawa. Siku njema tunanena kwa Lugha tofauti. Maji na mafuta hayapatani.
Usikimbie!Tetea kwa hoja kuwa Mungu wako yupo kama vile mimi ninavyotetea kwa hoja kuwa Mungu hayupo bali ni fikra za binadamu tu.
 
true free intelegent game we the product of annunak ambao wali shea DNA zao kwa baadhi ya viumbe waliokuwepo hapa duniani ili kupata kiumbe kinachopendeza kidogo kitakachokuwa na akili za kiasi fulani zaidi ya viumbe waliokuwepo but DNA karacta within a soul inabakia vilevile within yaani hata ukifa soul hubakia na DNA yako, mara roho inapotoka after bluewish take over with bliss sound soul huelekea purgutory na huwa domant pale ikidetamain mazuri iliyoyafanya au mabaya ikiwa ni mazuri hutoka hapo na kwenda ku label DNA katika ANNUNAK dominion na hapo huka kwa siku 3 kabla ya kurejea kwenye familia husika na kukaa nao karibu huku ikichagua pahala pa kufanya reincanation au uzao wa kufanya tendo hilo lakini ikumbukwe tendo hili huweza kuchukua miaka pengine 20 mpaka 50 ili katika familia kuzaliwa mtu ambaaye ni kopirite na yule aliyefariki,roho zinazobakia purgutory hubakia hapo tu maana haziwezi kureincanate tena na huwa katika hali ya mateso fulani huko kwenye upande wa dini zenu mnapaita HELL
#hii ni elimu ya juu kidogo just as an intro haistaili kujulikana
 
Kwa nini Mungu ninaehubiriwa kuwa ana upendo na huruma sana anitege na kunipa mitihani ya kuchagua baya na zuri wakati ana uwezo wa kunifanya nitende mema tu?
Yeye sio dikteta mzee,angekubana au kukupangia usingekuwepo leo hii. Yan hauko chini ya sheria ndio mana una uhuru wa kufanya dhambi na ukaendelea na maisha
Yaani Mungu mwenye huruma sana,upendo sana na muweza wa yote anipe uhuru wa kutenda dhambi ambacho ni kitu kibaya sana?!Hii inamake sense?
Kwa hiyo unataka ukitenda dhambi upigwe mawe ufe? Ingependeza ee?
 
Kwa hiyo unataka ukitenda dhambi upigwe mawe ufe? Ingependeza ee?
Kwa nini Mungu anaehubiriwa kuwa ana upendo sana,huruma iliyopitiliza na uwezo wa kila kitu amefanya suala la kutenda dhambi liwezekane kwa binadamu?
 
Kama watu wasingekufa bhas wasingezaliwa wengine kwan ili waishi kuna viumbe lazima wafe na binadam pia akifa kuna faida kwa viumbe wengine
Hakuna anaezaliwa upya bali inafanyika recicyling,,inafutwa memory unakuja kivingine,again and again,miaka nenda rudi,,usikute kabla ya hii circle,wewe ndo ulikua chifu mkwawa ama von wisman
 
Unaamini kuwa Mungu hashindwi chochote?Kama jibu ni ndiyo,kwa nini alishindwa kumzuia ibilisi asihasi?
Hajashindwa kumzui ila kampa nafasi ya kuthibitisha madai yake. Akishindwa atamuondoa tu. Muda wa kuondolewa haujafika. Yan ni kama shetani alizusha mashataka ya uongo kuelekea Mungu sasa kwa sababu Mungu ni wa haki hakutaka kutumia mamlaka yake kumuondoa bila kujitetea,amempa muda,sasa kwa mambo yanaonekana huku duniani ni dhahiri ameshindwa kifuatacho ni hukumu tu. Kama una wasap nichek nikupe ufafanuzi zaidi bire kabisa kwa muda wako wewe
 
Yeye sio dikteta mzee,angekubana au kukupangia usingekuwepo leo hii. Yan hauko chini ya sheria ndio mana una uhuru wa kufanya dhambi na ukaendelea na maisha
Angenibana nisingekuwepo leo hii?!Mungu asieshindwa chochote atashindwaje kuhakikisha kuwa nitaendelea kuwepo hata kama akinibana?
 
Usifananishe ukuu wa Mungu na nchi.Mungu anaweza kila kitu ila nchi haiwezi kila kitu.Mungu ana uwezo wa kufanya watu watii sheria bila shuruti lakini nchi haina uwezo wa kufanya watu watii sheria bila shuruti.Unafananisha vitu viwili ambavyo ni tofauti kabisa!
Ni nchi gani watu watu wanatii sheria bila shurti
 
Mnaounga mkono huyo askofu kwanini mnamwabudu huyo mungu?

Mungu wangu mimi ni tofauti na huyo, Mungu wangu ni mwingi wa upendo, Rehema na asie na hasira mdio maana hausiki na vifo
Huu ni Upuuzi sana; Ni kauli ambayo huwa inachanganya sana na kuwafanya watu wahoji Credibility ya Mungu. Mungu Haui, hajawah kuua na hataua.
Mungu ni mtoa uzima tu fullstop.

Kuna Mwamba Mmoja anaitwa Abel Damina, Ana series yake moja inaitwa "Why things Happen, the way they happen in the World"
Kwa wapenda mafundisho Tafuteni hiyo series ya Teaching; Achana na Hizi Teaching za KKT,Catholic, Pentecoste, Anglican etc Zinazozuia waamini wake Ku-reason.

Mungu amekuwa mis-represented mno; ndio maana kauli kama izo zinatoka;
 
Back
Top Bottom