NIlipofika Form four rasmi Kabisa nikaanza Personal Intiatives za kupata Hints kuhusu Credibility ya Dini Mbili kuu; Nilikutana na Mwanafalsafa akaniambia Tafuta watu unaowaheshimu then wakueleze;
Baada ya Maelezo ya watu hao; Nikiwa Chuo ughaibuni ndio nilifanya maamuzi kwamba Mimi binafsi nnibaki wapi baada ya Kujiridhisha na Kusoma , ndio nikaaccept kwamba this kind of God ndio nitamfatilia; Hichi unachotaka ndio kinawatesa watu wengi; wanataka waambie kwamba Mungu yupo ivi na hivi; lakini atashindwa kubeba Consequneces za machaguo yake.
Ndio maana Msisitizo wangu ni Mdogo tu Usisibiri kupata;
Ok Ukiambiwa kwamba, Mungu huyu ukifanya ivi anakasirika, Ukimtendea huyu ubaya Mungu analipa Ubaya; Na Mwigine unaambiwa Mungu ni Forgiver, God is Merciful, God is Love; In Him there is no Evil? Unachagua wapi hapo? (Haya maswali kama hujasoma au Kupata hint from reading two either sides, yanakuwa ni challenge) Ndio maana yangu ya kusema Soma.