Kama Kifo ni mpango wa Mungu basi Mungu wenu atakuwa katili sana, mnawezaje kuwa nae?

Kama Kifo ni mpango wa Mungu basi Mungu wenu atakuwa katili sana, mnawezaje kuwa nae?

Kwa hiyo unasema kwamba Mungu wako alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauna magonjwa na hao viumbe wanaosababisha magonjwa wanastawi bila kusababisha magonjwa?

Mbona una ya limit sana mawazo yako?

Umesema Mungu anaweza yote.

Halafu unamfanya Mungu wako muweza yote awe kama ameshindwa kuumba ulimwengu ambao bacteria na virus hawasababishi magonjwa?

Wewe huoni kwamba kuna contradiction hapo?

Yani Mungu wako kashindwa kuumba ulimwengu ambao watu hawafi, wanazidi kuzaana na ulimwengu haujai?

Si umesema ana uwezo wote?

Kashindwa kuumba ulimwengu huo ambao watu hawafi na hawajai?
Ss kwnn kiumbe anakufa? Kitu gn kinafanya viumbe vife?
 
Ni yeye ndio ametaka kiwepo hicho kifo.
Kwani awali kabisa alipokuwa anaumba ulimwengu alikuwa na nani?

Alikuwa na kamati ya ushauri ya kumsaidia atakaposhindwa?

Hujajibubswali, kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote aumbe ulimwengu wenye kuweza kuwa na magonjwa, vifo, matetemeko ya ardhi, ma tsunami etc?

Mbona ulimwengu huu unapingana na sifa hizo mnazompa huyo Mungu?
 
Unapotaja neno thermal tu tayari unaongelea energy, ila sitaki kujua inasemaje bali nataka uniambie nani aliyeigundua ili tujue kwmb ana uwezo wa kukikwepa kifo.
Kwani kugundua kwamba mama yako kazaliwa na bibi yako kunaweza kukufanya wewe uzuie huyo bibi yako kuwa bibi yako?

Mbona unaunganisha vitu ambavyo havina muungano?
 
Kwani kugundua kwamba mama yako kazaliwa na bibi yako kunaweza kukufanya wewe uzuie huyo bibi yako kuwa bibi yako?

Mbona unaunganisha vitu ambavyo havina muungano?
Safi kabisa, lengo la ugunduzi ni kutafuta solution right! Unapogundua kwmb mam yako kazaliwa na bibi yako solution yake ni kwamba huyo mama wa mama yako ni bibi yako, huwezi kukaa maabara ukafanya ugunduzi wa formula fulani alafu usije na solution yake itakuwa ni misuse of brain.

Huyo aliyegundua kwamba kifo ni matokeo ya second law of thermodynamics lazima atakuwa anajua solution ya kukidhibiti kifo au we unaonaje? Kifo si ni matokeo ya kisayansi ya dunia? Ss tuambie aliyegundua ni nani ili atupe solution ya kukidhibiti kifo.
 
Ndiyo.

Mimi siamini uwepo wa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Kwa sababu, Mungu huyo anakuwa contradicted na dunia tunayoiona.

Zaidi, sitaki kuamini, nataka kujua, kwa uthibitisho.

Kama unapinga hoja yangu, thibitisha Mungu huyo yupo.

Halafu elezea, kwa nini kaumba dunia ambayo mabaya yanaweza kutokea, wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutokea na hayajulikani kabisa.
Nishathibitisha sana huko nyuma...in short nilisema uwepo wa Mungu unathibitishwa kupitia uimbaji. Angalia mpangilio wa ulimwengu ulivyo.

Kwenye swala la kushindwa kuumba ulimwengu usio na mabaya hajashindwa,nilijubu pia. Mfano wa mwisho,nithibitishie JF kuna mods wanaosimamia nyuzi mbalimbali hapa? Maoni yangu ni kuwa JF hakuna moderator yeyote.
 
Funga mjadala kwa kujibu maswali, mbona huko nyuma tulianza vizuri why tuishie hapa kwa style hii?
Hivi utajuaje nchi inaendeshwa kwa sheria? Na kuna kiongozi mkuu(raisi)?
 
Nishathibitisha sana huko nyuma...in short nilisema uwepo wa Mungu unathibitishwa kupitia uimbaji. Angalia mpangilio wa ulimwengu ulivyo.

Kwenye swala la kushindwa kuumba ulimwengu usio na mabaya hajashindwa,nilijubu pia. Mfano wa mwisho,nithibitishie JF kuna mods wanaosimamia nyuzi mbalimbali hapa? Maoni yangu ni kuwa JF hakuna moderator yeyote.
Hicho unachokiita uumbaji hakithibitishi Mungu yupo.

Kinathibitisha Mungu hayupo.

Kwani huyo Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao Simba hawezi kuwa anamla Swala?

Kwani huyo Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauna matetemeko ya ardhi? Ma tsunami? Magonjwa? Vita? Kifo?

Imekuwaje Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote akaumba ulimwengu wenye dhiki yote hii?
 
Unadhani anakuwaza sana wewe peke ako hana priorities nyngne? Baad ya kuasi wewe ulikuwa panzi 2 kwake alitaka kukufutilia mbali poor creation given everything and still sins. He would rathar have cocroach living than you sinner its Just his grace. Hata shetani alipewa nafasi sio wewe 2 ila akafail neema ikafungwa..shukuru akina nuhu wewe akina ibrahim ungekuwa whiped away

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Sasa tuwashukuru ili iweje, kwani sisi tulijileta duniani
 
Embu ngoja

Mungu alimuumba shetani, akamuumba akamuumba eva, akaumba bustani ya edeni

Akaweka tunda ambalo alijua adamu akila itasababisha zambi na matatizo makubwa

Na kutoka kweny vitabu vya dini Mungu anajua yajayo sasa kama alikuwa anajua adamu akila tunda itatokea shida, kwanini asinge aweka hilo tunda au angezuia wasile hilo tunda
 
Kwani awali kabisa alipokuwa anaumba ulimwengu alikuwa na nani?

Alikuwa na kamati ya ushauri ya kumsaidia atakaposhindwa?

Hujajibubswali, kwa nini Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote aumbe ulimwengu wenye kuweza kuwa na magonjwa, vifo, matetemeko ya ardhi, ma tsunami etc?

Mbona ulimwengu huu unapingana na sifa hizo mnazompa huyo Mungu?
Uliniuliza kuwa alishindwa kufanya kifo kisiwepo? Ndio nimekujibu kuwa yeye ndio ametaka kiwepo,sasa nakushangaa unasema sijajibu swali. Wewe bado umeng'ang'ana na huu ulimwengu bado unazungumzia kuumbwa ulimwengu ambao et kifo kinawezekana wakati nimeshakwambia kuwa kifo hakihusiani na aina ya ulimwengu na nikakwambia kuwa yeye mwenyewe Mungu ndio ametaka hicho kifo kiwepo hivyo si suala la ulimwengu kuruhusu kifo bali mwenyewe Mungu ndio ametaka kifo kiwepo hakipo kwa bahati mbaya.
 
Hicho unachokiita uumbaji hakithibitishi Mungu yupo.

Kinathibitisha Mungu hayupo.

Kwani huyo Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao Simba hawezi kuwa anamla Swala?

Kwani huyo Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauna matetemeko ya ardhi? Ma tsunami? Magonjwa? Vita? Kifo?

Imekuwaje Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote akaumba ulimwengu wenye dhiki yote hii?
Hayo yote majanga, magonjwa hayakuepo kabla ya uasi. Matatizo yalikuja baada ya kuasi,kwa hiyo kama kusengua na uasi kusingekuwa na mambo yote mabaya uliyotaja
 
Back
Top Bottom