We jmaa wewe sio play button kwamba mpaka uwe pressed ndo uelewe haya tuassume ulikuwa hujui basi unaambiwa hapa acha dhambi kama kuiba kusema uongo kuzini fuata sabato mpene baba na mama usiabudu sanamu halafu Muombe Mungu kwa roho na kweli amini haya kwa hayo machache chukua mwezi fanya mazoezi sas unatka Mungu au shetani wakufanyaje hapo wakati ushaelekezwaMungu tunaehubiriwa kuwa ana upendo sana,ana huruma sana na anaweza kila kitu alishindwa vipi kumuumba binadamu ambae ni msafi?Alishindwa vipi kuzuia vyanzo vya dhambi?Huo upendo wake uko wapi sasa?Hiyo huruma yake iko wapi sasa?Hizo nguvu zake za kuweza kufanya kila kitu ziko wapi sasa?
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app