Kama Kifo ni mpango wa Mungu basi Mungu wenu atakuwa katili sana, mnawezaje kuwa nae?

Kama Kifo ni mpango wa Mungu basi Mungu wenu atakuwa katili sana, mnawezaje kuwa nae?

Kuchagua siyo suala bovu?!Wewe unaweza kumpa mtoto wako mtihani wa kuchagua kati ya maziwa na sumu na anywe?
Nikimpa elimu ya kutosha jinsi ya kutambua sumu na sehemu ya kujikumbushia na madhara ya sumu faida za maziwa na utamu wa maziwa na udanganyifu wa utamu wa sumu naweza mpa kabisa achague na hawezi chagua sumu 100%

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Mungu tunaehubiriwa kuwa ana upendo sana,ana huruma sana na anaweza kila kitu alishindwa vipi kumuumba binadamu ambae hana tabia ya kujisahau?
Amedhihirisha kuwa yeye pekee nd perfect ni mapenzi yake wewe mwenyewe huezi tengeneza gari lenye akili kuliko wewe likutawale unaeza amua liweje

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Ukisema hivi ni kama unambana Mungu kwenye kona. Yeye si Anajua kila kitu lakini? Sasa kwa nini bado alimuumba huyo kerubi mkuu huku akijua kuwa atakuja kuwa shetani na kutuletea maafa makubwa? Yaliyotokea Eden Mungu hakujua kuwa yatatokea; na kwamba atamtuma mwana wake kuja kutufia? Is the whole thing a game? Una maoni gani kuhusu pre-determinism? Na haya mambo ya kumhukumu mtu wa muhimu katika wokovu kama Yuda Iskariote kwa kutimiza maandiko yalivyosema?
Ukitaka kumlaumu shetani au adam au Mungu kwa dhambi zako jiulize ki2 kimoja ukipata jibu hili ndo uje uwalaumu hao. Je wewe unatenda mema unayohubiriwa? Kama sio huna tofauti na adam au shetani kwasababu kuna wenzi wameweza akina ibrahim

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Hujajibu nilichouliza. Unarukaruka tu.

Mungu Anajua kila kitu na habanwi na muda. Hata wakati anamuumba huyo malaika aliyekwenda kinyume alijua kila kitu. Kwamba huyo malaika atakuja kuasi na kuwa shetani atakayetusumbua na kutuletea dhambi. Kwa nini Alimuumba pamoja na kujua kuwa huyo kiumbe atakuja kutuletea, dhambi, kifo na hata moto wa milele?

Unaielewa dhana ya pre-determinism? Kwamba Mungu Anajua kama utakwenda motoni au mbinguni hata kabla hujazaliwa. Kwamba Alikufahamu hata kabla hujaumbwa tumboni mwa mama yako. Kwamba kuna watu ufalme wa Mungu umeandaliwa kwa ajili yao hata kabla ya kuwekwa misingi ya ulimwengu.

Mimi naamini Mungu yupo na ndiye Aliyeumba kila kitu kwa sababu haiwezekani universe hii iwe hivi ilivyo fine-tuned kwa bahati tu ila maswali hayo juu huwa yananitatiza sana. Hata wewe kama huna majibu jikalie kimya tu kuliko kuendelea kubwabwaja yale yale huku ukiukwepa mhimili wa hoja yenyewe. Na haya ni masuala ya muda mrefu hayajaanza leo!
We sio play button kwamba unasubiri kuwa pressed utende mema. Ye anakujua ndiyo ndo maan ukiwa huna dhambi ukimuuliza anakuja kukuchana wazi wazi kuwa utaenda mbinguni ila sahivi hawez kukuambia maan hawasiliani na wenye dhambi

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Ukitaka kumlaumu shetani au adam au Mungu kwa dhambi zako jiulize ki2 kimoja ukipata jibu hili ndo uje uwalaumu hao. Je wewe unatenda mema unayohubiriwa? Kama sio huna tofauti na adam au shetani kwasababu kuna wenzi wameweza akina ibrahim

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app

We nawe. Nani anamlaumu Adam au Shetani? Mi nilikuwa naulizia tu Mungu Alipomuumba huyo Kerubi Mkuu kama hakujua kuwa siku moja atakuja kuasi na kuwa shetani atakayetuletea maangamizi na shida zote hizi hasa ukizingatia kuwa Yeye (Mungu) Anajua kila kitu? Hoja yangu imejikita kwenye dhana ya pre-determinism....
 
We sio play button kwamba unasubiri kuwa pressed utende mema. Ye anakujua ndiyo ndo maan ukiwa huna dhambi ukimuuliza anakuja kukuchana wazi wazi kuwa utaenda mbinguni ila sahivi hawez kukuambia maan hawasiliani na wenye dhambi

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Hata sijui unaongelea nini. Soma uelewe kinachoongelewa kabla hujamkwoti mtu.
 
Mungu haiti kila mtu aisee anaita watu wake 2 si wengine wenye dhambi Mungu amemuachia shetani gombania goli ko kama unakufa na korona magonjwa ambayo ni matokeo ya dhambi za mwanadamu imekula kwako jilinde atleast kdunia dunia usitarajie Mungu atamponya mdhambi kirahisi hivo

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app

Shetani ni nani? Anafananaje?
 
Mungu hajawahi kuumba hayo unayoyasema yeye hahusiki nayo. Aliyefanya hayo yote kutokea ni shetani yaan ibilisi. Uovu ote unaompata Mwanadamu toka zamani ni sababu ya kuasi kwake.
Kama u msomaji wa Biblia ( Sidhani). Ibilisi alikua katika kutanga tanga Duniani akamuona Ayubu mtumishi wa Mungu Muaminifu akamwendea Mungu akamwambia huyu Mtu anakupenda sana sababu ya mali na kila kitu ulichompa ila ukimuondolea hatokaa akuabudu tena. Mungu Baba akamwambia Haya enenda ila tu usitoe uhai wake. Sasa jiulize kwa nini Mungu aliruhusu Ayubu ajaribiwe ilihali alikua na uwezo wa kukataa asijaribiwe? Hebu nijibu kwanza hapo.!

Mungu ni pendo anataka sisi wanadamu tumtumainie yeye na tutenge mda wetu awe kipaumbele cha kwanza kwa kila jambo tumkiri yeye kwa nini? Ili tumpe sifa na utukufu kwa yote alotufanyia na atutendeayo tujue bila yeye hakuna ambalo lingekamilika. Bahat mbaya mwanadamu anajisahau na mambo ya Dunia na kuona Duniani ndio tumefika kumbe tunajidanganya na hekima ya kimwili ya kipumbavu ndani yetu, sasa hata shetani amwendeapo ili kutujaribu anamruhusu na shetani anapokuja anakuta hatuna Mungu na Kristo ndani yetu ndio maaana tunapukutika kama nini na si kupukutika tu kimwili bali kiroho ndio kila kitu.
Kila mtu anamjua Mungu hata wewe unamjua Mungu ila kumjua Kristo si kila mtu anaemjua, kufunguliwa kumjua Kristo ni kufunguliwa kujua mambo yalofichwa ambayo wewe hauna kwa sababu umefunuliwa kumjua Mungu pekee. Karibu

Kama Ibilisi ni mbaya kwanini Mungu asimuhukumu ili mwanadamu abaki huru?
 
Tatizo watu tunamuogopa Mungu, na sio kumpenda

Ndiyo maana mtu akihoji kuhusu Mungu anaonekana kama shetani vile

Dini zote zina utata mwingi sana ata vitabu vya dini vyote vina utata na mafumbo.

Kwahiyo lazima tuhoji kuhusu Mungu kutokana na ukuu wake ulivyoelezwa kweny dini

Kwanin alimpa mwanadamu mitahani ambao anajua katika watu 1000, mmoja ndiyo anaweza kufaulu
Utata wa biblia uko wap? Mm najitolea kukufundisha bure kabisa kwa muda wako na hata online (kwa mtandao) mpaka uelewe,maswali yako biblia itajibu yote
 
Utata wa biblia uko wap? Mm najitolea kukufundisha bure kabisa kwa muda wako na hata online (kwa mtandao) mpaka uelewe,maswali yako biblia itajibu yote

Kama Mungu hakosei kwanini alimuunda binadamu akiwa sawa amekamilika inakuaje mtoto wa kiume mnampeleka kutairiwa wakati alizaliwa akiwa sawa?
 
Kama Mungu hakosei kwanini alimuunda binadamu akiwa sawa amekamilika inakuaje mtoto wa kiume mnampeleka kutairiwa wakati alizaliwa akiwa sawa?
Mwisho wa siku utahoji kama Mungu alikua na uwezo kwanini tunakula tusiishi hivyo hivyo 🤔
 
Usifananishe ukuu wa Mungu na nchi.Mungu anaweza kila kitu ila nchi haiwezi kila kitu.Mungu ana uwezo wa kufanya watu watii sheria bila shuruti lakini nchi haina uwezo wa kufanya watu watii sheria bila shuruti.Unafananisha vitu viwili ambavyo ni tofauti kabisa!
Serikali inakupa adhabu kwasababu ungeweza kuomba badala ya kuiba na ungepewa 2 ni kitu ambacho binadamu tunacho cha kuiga maamuzi ya Mungu jpo shetani kaingilia hizo sheria kaongeza adhabu na roho mbaya kama kumuua mwizi wakati mtu anamuuzia mwenzie kiatu 20k wakati bei halisi ni 15k anahisi anafanya jema kuliko anaeiba 2000 cash

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Adam kwa Mungu ni mtoto mdogo kwa sababu hana uwezo kama Mungu.Hata vitabu vitakatifu vinasema wazi kabisa kuwa sisi ni watoto wa Mungu.Sisi kwa Mungu ni watoto kwa sababu hatuna uwezo wote kama Mungu.Sisi kwa Mungu ni sawa tu na watoto wadogo waliovaa pampasi!
Sawa hata wewe mtoto wako akiwa mkubwa vipi hawezi kukuzidi wewe experience ila ukimkataza sumu ataelewa 2

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Mungu mwenye upendo sana,huruma sana na mwenye uwezo wa kufanya kila kitu alishindwa vipi kumzuia binadamu asile hilo tunda?Upendo wake uko wapi?Huruma yake iko wapi?Uwezo wake uliotukuka uko wapi?
Waoga na wavivu wanaosubiri kutafuniwa hawataurithi ufalme wa mbingu yani kama Ibrahim ambae ni being kama wewe alieza fuata matakwa ya Mungu willingly huna excuse

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom