Kama Kifo ni mpango wa Mungu basi Mungu wenu atakuwa katili sana, mnawezaje kuwa nae?

Wanaokufa kipindi hiki wakiwa wasafi wana ahadi ya kupewa uzima tena,kwa hiyo ukiwa ukiwa msafi sio hasara
We jamaa ushasema Mungu hahusiki na vifo sasa inakuaje ahusike na maisha yetu baada ya kifo?
 
Ukitaka nithibitishe hoja zako, hujataka nipambane na hali yangu.

Umetaka nipambane na hali yako wewe.

Imbecilic ignoramus.
Kwa hiyo ww huamini chochote duniani? Siyo dini, Siasa, historia na sayansi?
 
Kifo siyo kibaya mara zote. Imagine watu kama kina Hitler, Idd Amin, Magufuli, Mobutu wangekuwa wanaishi milele.

Duniani pangegeuka Jehannum
Hata wewe ungeishi milele Ingekuwa shida sana!
 
Kwa hiyo ww huamini chochote duniani? Siyo dini, Siasa, historia na sayansi?
Hakuna mtu anayeweza kuishi bila kuamini. Ukiamka asubuhi ukuitoka kitandani na kukanyaga sakafu maana yake umeamini sakafu haitapasuka na kukumeza.

Naamini jua litachomoza kesho.

Ila sitaki kuendekeza kuamini, nataka zaidi kujua.

Kuamini ni kukubali kitu bila ya uhakika.

Inawezekana jua likapasuka kwa supernovae leo, kesho lisichomoze.

Lakini, uwezekano wa hilo kutokea, kwa mujibu wa sayansi inayoeleweka kuhusu jua linavyowaka, ni mdogo sana.

Tatizo linakuja watu wanapoweka imani mbele kabla ya uchunguzi na ujuzi.

Yani mtu kaumwa kidogo tu, hajapima vipimo, hajajielimisha kuhusu dalili za ugonjwa na chanzo chake, anasem anaumwa kwa sababu kalogwa.

Imani potofu.
 
Et hutaki kuamini unataka kujua halafu huko juu umetoka kusema hakuna mtu anaweza kuishi bila kuamini.
 
Yes.

Kama vile ambavyo naweza kusema kwamba, sitaki ujinga, nataka werevu.

Lakini, hakuna mtu anayeweza kuishi bila ujinga. Hakuna mtu anayeelewa yote.

Umeelewa?

Hujathibitisha Mungu yupo.

Hujaeleza kama Mungu yupo, mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote, mwenye upendo wote, kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kutokea, wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutokea?

Kwa nini Mungu huyo kaumba ulimwengu ambao una utata mwingi sana kuhusu kumjua, kila utamaduni unamjua kiutofauti, kiasi cha kujenga chuki na vita vya kidini?
 
Kuamini ni sehemu ya maisha na ujinga ni sehemu ya maisha.

Ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutokea ndio ukoje?
 
Ni ulimwengu ambao hauna kifo, matetemeko ya ardhi, tsunami, magonjwa, uasi, vita, ujinga, umasikini, njaa, na kitu chochote kibaya.

Mungu huyo mnayemsema anaweza yote, anajua yote na ana upendo wote, alishindwa kuumba ulimwengu huo ambao hauwezi kuwa na mabaya?
 
Ingependeza kama utaweka hayo maneno umeyatoa fungu gani ili watu msiwe mnarejea vichwa chenu badala ya biblia
 
Ni ulimwengu ambao hauna kifo, matetemeko ya ardhi, tsunami, magonjwa, uasi, vita, ujinga, umasikini, njaa, na kitu chochote kibaya.

Mungu huyo mnayemsema anaweza yote, anajua yote na ana upendo wote, alishindwa kuumba ulimwengu huo ambao hauwezi kuwa na mabaya?
Nimeuliza ukoje huo ulimwengu,elezea mfano huo ulimwengu ambao hauna kifo ndio ukoje?
 
Watu hawafi. Wanaishi bila kufa.

Mungu wako alishindwa kuumba ulimwengu ambao watu hawawezi kufa?

Mbona unarudia swali lile lile wakati maswali yangu hujibu?

Kuanzia hapa sijibu swali mpaka wewe unijibu swali hili.

Watu hawafi. Wanaishi bika kufa.

Mungu wako alishindwa kuumba ulimwengu ambao watu hawawezi kufa?

Mbona unarudia swali lile lile wakati maswali yangu hujibu?

Kuanzia hapa sijibu swali mpaka wewe unijibu swali hili.

Mungu wako alishindwa kuumba ulimwengu ambao watu hawawezi kufa?
Nashindwa kuelewa kwamba huu ulimwengu ndio huwafanya watu wafe na ndio maana nakuuliza huo ulimwengu ambao watu hawafi ukoje unafananaje?hujaeleza unaishia kurudia kusema watu hawafi.
 
Mungu wako ana uwezo wote?
 
Aliweza kuumba ulimwengu ambao hauwezi kuwa na kifo, magonjwa, majanga ya kiasili kama matetemeko ya ardhi na matsunami, vita, njaa, ujinga na mengine mengi kama hayo?

Aliweza kuumba ulimwengu ambao hayo hayawezi kuwapo wala kufikirika kabisa?
 
[emoji16][emoji16]yaaan we n kiranga kabisa
 
Back
Top Bottom