shetani ndio hana rekodi ya kuua watu wengi kama hivyo wakati ndio mwenye sifa ya ubaya, labda uniambie wewe shetani alimuua nani?
Tatizo ni Usomaji Bible Isivyo sawa; Ila hilo si Tatizo kabisa Mkuu hata mimi nilikuwa na Mawazo kama hayo; lakini yalikuwa yananippa Shida kuamini; Yaan Mungu Mtoa Uzima aue?? What a Insult, So nilianza kusoma Hiki Kijitabu Vyema Kabisa, nikiwa Ughaibuni wote tulianza hivyo hata sasa Bado tunaendelea Kujifunza as along as tuna uhai.
Kwanza tu ni kwambia Ujio wa Yesu ndio ulikuja Kumdhihirisha Shetanina Operation zake, Ijapokuwa Shetani alikuwa nafanya Operation zake, lakini kiwango cha watu hakikiweza kufahamu Hivyo Attributes Nyingi za mambo ambayo walikuwa hawawezi kuyaelezea Basi wakawa wanasema ni Mungu; Kusema Mungu kaua hii haiwezi Kuingia akilini mkuu, Yaan Mungu akutengeneze wewe then akuue tu;
Comprenhensive Bible study itakusaidia; Lets start hapa kidogo
John 8:44 ( Ila nikushauri soma yote upate Context pale)
Yesu aliunlock hapa kwenye hiyo 44 na kutuambia Who was the killer toka mwanzo?
You are of your father the Devil, and the lusts of your father yo will do. He was the Murderer from the Beginning, and Abode not in Truth.
Ukisoma Luke 9:51-56 ( But Soma yote, upate flow vizuri)
Hapo Bwana Yesu alikuwa anaenda zake kwenye kijiji, akakataliwa asikatishe katika hico kijiji, Wanafunzi wakamwambia Bwana Tuwashushie Moto hawa jamaa kama Elia alivyofanya?, wanakukatazaje usipite? Alichowajibu Yesu ni kwamba, Hawajui ni Roho ya namna gani walikuwa nayo? yeye hakuja Kuangamiza bali kuokoa Roho.
Sasa watu wengi wanahisi kwamba Alichokifanya Eliya kilikuwa Sawa lakini kwa statement ya Yesu kwenye Luke, anatufunulia kwamba Eliya alifanya kwa Maamuzi yake mwenyewe;
Tatizo Usomaji wetu sio Comprenhensive Bible Reading; Tunasoma Vipande vipande.
Yako mambo mengi sana ambayo yalifanyika From Genesis 4 to Malaki ambayo watu huwa wanafanya Attribution na Mungu which is not right.
Kama Mungu anasema Habadiliki, hana Kigeu geu? at the same Time anasema Yeye anatoa Uhai/Uzima then Anaua?? Hii Inakuingia Akilini?
Refer paulo aliviringishiwa na Nyoka kwenye Mkono halafu hakudhuriwa na nyoka wale jamaa walisema huyu atakuwa ni Mungu; Maana kwa vitu vyote ambavto vilikuwa Vinastaajabisha na Kutokuelezeaka kwa urahisi, Only God ndo alioneka kwamba angeweza kufanya; This was wrong thinking about God.