Kama Kifo ni mpango wa Mungu basi Mungu wenu atakuwa katili sana, mnawezaje kuwa nae?

Kama Kifo ni mpango wa Mungu basi Mungu wenu atakuwa katili sana, mnawezaje kuwa nae?

pambana na hali yako...
acha kutegemea watu wakuthibitishie acha uvivu wa kufikiri
Wewe unayedai Mungu yupo ndiye uliyeshindwa kutetea hoja yako, unataka mimi niitetee hoja yako.

Wewe ndiye mvivu wa kufikiri, halafu hata utetezi wako unakufunga wewe mwenyewe.
 
Ume assume ni Mungu.

Ukweli kwamba hakuna kiumbe ambacho kimejiumba chenyewe hauthibitishi kwamba Mungu yupo.

Unathibitisha kwamba hakuna kiumbe kilichojiumba chenyewe.

Unajuaje viumbe vimeumbwa na Mungu?

Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kwa nini anakubali ulimwengu huu uwe na viumbe vingine vinavyozaliwa na vilema, vingine vizaliwe na upofu, vingine vife kabla ya kuzaliwa?
lengo la Mungu ni sawa na mkulima.mkulima ambae huandaa shamba viuri kupanda mbegu,lakini kabla huzichambua mbegu vizuri akatoa mbegu mbovu,ili akipanda apande mbegu Safi,Bora na imara.hivyo huyu mkulima huwa na mategemeo kwamba Miche yote itaota na itakuwa na afya njema na kutoa matunda ya kutosha.lakini wadudu nao huja na kuanza kuzizonga mbegu zingine zikiwa bado udongini,zitakazo salimika zikaota bado wadudu huendwlee kuzizonga,mkulima hakati tamaa zilizoota kwa udhaifu atajitahid kuziongezea mbolea na kupalilia lengo zizae matunda aliyoyatazamia ,hapo kabla angali akichambua mbegu.Mungu hajawahi kuumba kilema au kipofu ,Mungu huumba kwa ukamilifu ila adui huja akaanza kuzonga uumbaji na kusababisha hayo mapungufu unayohoji hapo juu.
 
Kwa maana hiyo saizi wewe haufungamani na upande wowote na hauwezi kusema shetani ni mbaya kwasababu hujasikiliza upande wa shetani?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] dah
 
Wewe unayesema mambo bila uthibitisho ndiye unayependa ligi.

Mimi napenda uthibitisho ili tumalize ligi.

Bila uthibitisho, ligi haiishi.

Wewe usiyetoa uthibitisho ndiye unayependa ligi.
Kama ungekuwa unapenda uthibitisho basi ungethibitisha madai yako ya kwamba hakuna Mungu.
 
Siku akili yako ikiacha kufanya kazi ndio mwisho wa maisha, kilichoacha kufanya kazi ndio "roho" kinaenda kuanzisha maisha kwa mfumo mwingine. Sio ukweli kamili kwani hakuna binadamu yoyote angejua ukweli. Ukisema hakuna Mungu na mwingine akasema Mungu yupo, ngoma ni draw! Hakuna mwenye jibu. Tuache ubishi kila mtu apambane na hali yake. "life is a game "

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Kwani kudai uthibitisho ni kitu kibaya?

Utajuaje kipi kipo kweli na kipi ni hadithi bila uthibitisho?

Kwa nini huoendi uthibitisho?

Wewe ni mzembe hutaki kuthibitisha mambo?

Au ni mjinga hujui kuthibitisha?

Au ni muongo huwezi kuthibitisha?
Sio kila jambo kujua ukweli wake basi lazima uwe na uthibitisho,uthibitisho haufanyi jambo kuwa kweli na kukosekana uthibitisho hakufanyi hilo jambo kuwa la uongo.
 
Sio kila jambo kujua ukweli wake basi lazima uwe na uthibitisho,uthibitisho haufanyi jambo kuwa kweli na kukosekana uthibitisho hakufanyi hilo jambo kuwa la uongo.
Sasa ukitaka kujua jambo hili ni kweli na hili si kweli unafanyaje?
 
2b6b545e-c446-4110-9089-e03fbdba516e.jpg
 
La nyongeza

Mungu alimleta Duniani mwanawake wa pekee ili kuokoa wenye dhambi na maovu wapate msamaha kwa Mungu

Swali langu ni baada ya Yesu kufa inamaana wanadamu walisamehewa dhambi zao sasa mbona mpaka leo hawajarudi kule Eden kwenye bustani, bado watu wanaendelea kufa, maovu bado ni mengi?
 
Back
Top Bottom