Kama Kifo ni mpango wa Mungu basi Mungu wenu atakuwa katili sana, mnawezaje kuwa nae?

Kama Kifo ni mpango wa Mungu basi Mungu wenu atakuwa katili sana, mnawezaje kuwa nae?

Hujathibitisha Mungu yupo.

Umehubiri Biblia.

Sijaomba mahubiri. Kwetu kanisani nimeyasikia mahubiri tangu tumboni mwa mama yangu.

Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?
zaburi 10: 4 Kwa sababu ya kiburi chake, mwovu hafanyi uchunguzi wowote; Mawazo yake yote ni: “Hakuna Mungu.”
 
Aliumba ikiwa hivyo ( Edeni ). Hayo mambo mabaya ni matokeo pia.
Umeelewa swali?

Hebu lisome tena.

Mungu alishindwa kuumba dunia ambayo haiwezekani kuwa na kifo na pia haiwezekani kuwa na watu wabaya?

Ukinijibu aliumbiwa hivyo Edeni, maana yake hujaelewa swali.

Umejibu kizembe.

Kama Mungu aliumba ulimwengu ambao kifo hakiwezekani kuwepo kuanzia Edeni, imekuwaje kifo kimekuwepo leo?

Ukisema Adam alikula tunda, aliasi etc, hapo ndipo unapojionesha hujaelewa swali langu.

Mimi nakuuliza, Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao Adam hawezi kuasi, kula tunda, na kufa?

Unanijibu Mungu aliumba ulimwengu huo Edeni.

Sasa kama aliumba ulimwengu huo Edeni, imekuwa vipi tunakufa leo?

That is a contradiction.
 
zaburi 10: 4 Kwa sababu ya kiburi chake, mwovu hafanyi uchunguzi wowote; Mawazo yake yote ni: “Hakuna Mungu.”
Mimi kukuomba wewe uthibitishe uwepo wa Mungu tayari ni mwanzo wa uchunguzi.

Wewe kushindwa kuthibitisha Mungu yupo na kuleta mahubiri tu ni ushahidi mwingine kwamba Mungu hayupo.

Hujathibitisha Mungu yupo.

Mimi sipingi uwepo wa Mungu kwa sababu ya uovu.

Napinga imani ya uwepo wa Mungu kwa sababu inachochea uovu.

Uovu wa vita za kidini, uovu wa ubaguzi wa kidini, uovu wa imani potofu za kijinga kwamba Mungu atamaliza matatizo ya watu.

Thibitisha Mungu yupo.

Acha longolongo za kijinga.
 
Wewe jamaa kila kitu unakimbilia kudai uthibitisho.
Kwani kudai uthibitisho ni kitu kibaya?

Utajuaje kipi kipo kweli na kipi ni hadithi bila uthibitisho?

Kwa nini huoendi uthibitisho?

Wewe ni mzembe hutaki kuthibitisha mambo?

Au ni mjinga hujui kuthibitisha?

Au ni muongo huwezi kuthibitisha?
 
Hayo ya lazima unayazungumza wewe mie nimekuuliza swali hadi sasa hujibu unazunguka zunguka tu na kuniuliza maswali.
Hatujamalizana kwenye hili kwanza.

Wito ni lazima uwe wa "nani"?
 
Mimi kukuomba wewe uthibitishe uwepo wa Mungu tayari ni mwanzo wa uchunguzi.

Wewe kushindwa kuthibitisha Mungu yupo na kuleta mahubiri tu ni ushahidi mwingine kwamba Mungu hayupo.

Hujathibitisha Mungu yupo.

Mimi sipingi uwepo wa Mungu kwa sababubm ya uovu.

Napinga imani ya uwepo wa Mungu kwa sababu inachochea uovu.

Uovu wa vita za kidini, uovu wa ubaguzi wa kidini, uovu wa imani potofu za kijinga kwamba Mungu atamaliza matatizo ya wakuwa hizo dini zinafundishwa ukweli kuhusu Mungu?
hapo nimekuelewa....ni kweli ulosema dini nyingi zimeshiriki katika kuendeleza maovu, vita, ufisadi, maadili mabovu na wakati huo huo eti kufundisha Mungu ni unafiki mkubwa sana ..
lakini bado bado nakuhakikishia ukweli bado upo ukifanya utafiti utagundua kitu
 
mkuu inaonekana unapenda ligi sana na mimi siko kwenye ligi...
rejea reply yako ya huko juu.
Wewe unayesema mambo bila uthibitisho ndiye unayependa ligi.

Mimi napenda uthibitisho ili tumalize ligi.

Bila uthibitisho, ligi haiishi.

Wewe usiyetoa uthibitisho ndiye unayependa ligi.
 
by the way iyo kazi ya kudhibitisha sio mzigo wangu ni wako pambana nao
Wewe hata hujui tofauti ya kudhibitisha na kuthibitisha.

Jifunze Kiswahili kwanza.

Kisha, thibitisha Mungu yupo.

Kushindwa kuthibitisha Mungu yupo kunaonesha ushahidi hayupo na hujui unachokitetea.
 
Wewe hata hujui tofauti ya kudhibitisha na kuthibitisha.

Jifunze Kiswahili kwanza.

Kisha, thibitisha Mungu yupo.

Kushindwa kuthibitisha Mungu yupo kunaonesha ushahidi hayupo na hujui unachokitetea.
zaburi 10: 4 Kwa sababu ya kiburi chake, mwovu hafanyi uchunguzi wowote; Mawazo yake yote ni: “Hakuna Mungu.”

soma mstari ukiwa umetuliza kichwa kisha niambie ni nani anapaswa kudhibitisha...ni yupi ? anayasema kuna Mungu au anayesema hakuna Mungu...
Usibebeshe watu mizigo yako brother
 
zaburi 10: 4 Kwa sababu ya kiburi chake, mwovu hafanyi uchunguzi wowote; Mawazo yake yote ni: “Hakuna Mungu.”

soma mstari ukiwa umetuliza kichwa kisha niambie ni nani anapaswa kudhibitisha...ni yupi anasema kuna Mungu ana anayesema hakuna Mungu...
Usibebeshe watu mizigo yako brother
Mimi kukuomba wewe uthibitishe uwepo wa Mungu tayari ni mwanzo wa uchunguzi.

Wewe kushindwa kuthibitisha Mungu yupo na kuleta mahubiri tu ni ushahidi mwingine kwamba Mungu hayupo.

Hujathibitisha Mungu yupo.

Thibitisha Mungu yupo.
 
Dah mmeliazisha watu malizanenu na kiranga msije kumkimbia ndo nyuzi zake za point izi.
 
Wewe hata hujui tofauti ya kudhibitisha na kuthibitisha.

Jifunze Kiswahili kwanza.

Kisha, thibitisha Mungu yupo.

Kushindwa kuthibitisha Mungu yupo kunaonesha ushahidi hayupo na hujui unachokitetea.
ngoja nimsaidie kakata pumzi.
uthibitisho; uwepo wa viumbe vyote,kwa kuwa hakuna kitu ama kiumbe ambacho kilijitengeneza chenyewe,tuna uhakika kila kinachoonekana kimeumbika kwa muonekano tofauti,Kuna wadudu ,miti na nk.yupo aliye vitengeneza kwa mionekano hiyo ,naye Ni Mungu.
 
Dah mmeliazisha watu malizanenu na kiranga msije kumkimbia ndo nyuzi zake za point izi.
Namuuliza mtu.

Kama Mungu mjuzi wa yote, mwenye upendo wote na ujuzi wote yupo, kwa nini hakuumba ulimwengu ambao mabaya, magonjwa, kifo, matetemeko ya ardhi, ma tsunami, hayawezi kutokea, viumbe wake wanaishi raha mustarehe tu hawajui kuiba, kudanganya, kusengenya, kuua etc. Dunia haina kifo wala ugonjwa?

Ananijibu, Mungu aliumba hivyo bustani ya Edeni. Ila Adam akaasi.

Clearly huyonhata swali hajaeleea. Hivyo hawezi kunipa jibu.

Namuuliza, kwa nini Mungu hakuumba ulimwengu ambao uasi hauwezekani kuwepo?

Ananijibu Mungu aliumba hivyo bustani ya Edeni, ila Adamu aliasi!
 
Mimi kukuomba wewe uthibitishe uwepo wa Mungu tayari ni mwanzo wa uchunguzi.

Wewe kushindwa kuthibitisha Mungu yupo na kuleta mahubiri tu ni ushahidi mwingine kwamba Mungu hayupo.

Hujathibitisha Mungu yupo.

Thibitisha Mungu yupo.
kuthibitishiwa ni uvivu...hakuna mtu ataweza kukutoshelezea usipofanya jukumu lako hilo ni sawa kuambia mtu aende haja kwa niaba yako..HAIWEZEKANI KABISA..Inahitaji ujithibitishie mwenyewe hakuna mtu atafanya kwa niaba yako...
 
ngoja nimsaidie kakata pumzi.
uthibitisho; uwepo wa viumbe vyote,kwa kuwa hakuna kitu ama kiumbe ambacho kilijitengeneza chenyewe,tuna uhakika kila kinachoonekana kimeumbika kwa muonekano tofauti,Kuna wadudu ,miti na nk.yupo aliye vitengeneza kwa mionekano hiyo ,naye Ni Mungu.
Ume assume ni Mungu.

Ukweli kwamba hakuna kiumbe ambacho kimejiumba chenyewe hauthibitishi kwamba Mungu yupo.

Unathibitisha kwamba hakuna kiumbe kilichojiumba chenyewe.

Unajuaje viumbe vimeumbwa na Mungu?

Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kwa nini anakubali ulimwengu huu uwe na viumbe vingine vinavyozaliwa na vilema, vingine vizaliwe na upofu, vingine vife kabla ya kuzaliwa?
 
kuthibitishiwa ni uvivu...hakuna mtu ataweza kukutoshelezea usipofanya jukumu lako hilo ni sawa kuambia mtu aende haja kwa niaba yako..HAIWEZEKANI KABISA..Inahitaji ujidhibitishie mwenyewe hakuna mtu atafanya kwa niaba yako...
Umeshindwa kuthibitisha.

Kwa sababu huyo Mungu hayupo.

Ndiyo maana hathibitishiki.

Wewe ni sawa na mtu anayesema kuna pembetatu ambayo pia wakati huohuo ni duara katika Euclidean geometry.

Nakuambia uthibitishe, unashindwa, kwa sababu haipo.

Halafu, unanilaumu mimi, ambaye sijasema kwamba pembetatu duara ipo, kwamba ni mvivu, nikitaka kujua ipo nithibitishe mwenyewe.

Ushuzi unajamba wewe, lawama unanipa mimi!
 
pambana na hali yako...
acha kutegemea watu wakuthibitishie acha uvivu wa kufikiri
 
Back
Top Bottom