Kama Kifo ni mpango wa Mungu basi Mungu wenu atakuwa katili sana, mnawezaje kuwa nae?

Kama Kifo ni mpango wa Mungu basi Mungu wenu atakuwa katili sana, mnawezaje kuwa nae?

Hivi tungekuwa tunazaliwa tu hakuna kufa, hebu fikiri dunia ingekuaje?
 
Hivi tungekuwa tunazaliwa tu hakuna kufa, hebu fikiri dunia ingekuaje?
ingekuwa imejengeka sana.technolojia ingekuwa ya Hali ya juu Sana kuliko sasa.,pengine hata sayari ya mars ingekuwa tayar ilishafanyiwa rehabilitation.
 
Hata kama haujui yeye kaonaje, lakini ukishajua kua anajua yote haikuzuii kuhoji kuhusu mambo ambayo yeye alishayaona

Na mimi ndio nahoji hapo kivipi atoe mitihani kwa lengo la kuwapima ilihali alishajua kila kitu kabla hata ya sisi kuwepo?
Hii mitihani ni sehemu ya vitu vyenye kupelekea hiyo hatma ambayo yeye ndio anajua,kwahiyo kama nilivyosema kuwa hii mitihani ni kwa ajili yetu sisi. Kwahiyo unapozungumzia yeye kujua hatima huwezi kuiondoa mitihani maana ndio imechangia kwenye hizo hatma zetu,kwamba utapewa mtihani fulani na mwisho wake utakuwa hivi na vile.
 
Kwa maana hiyo mungu hajaweza ku fix ichote maana bado kuna watu wataenda motoni so na ujio wa yesu is equal to nothing.

Imagine hadi Plan b nayo imefeli, huyu mungu wa wapi?
Haijafeli ipo kwenye mchakato, ikikamilika utakuwa mwisho wa utawala wa shetani
 
Unajuaje kama ni vitabu vya kweli?

Vitaje hivyo vitabu
Naweza nikasema biblia naiamini sana hata kama nisingekuwa namjua Mungu biblia imejitosheleza kwenye kila nyanja
Sayansi, historia, maarifa na n.k

Kwa hiyo inaaminika hata kwa wasiokuwa na dini
 
Hii mitihani ni sehemu ya vitu vyenye kupelekea hiyo hatma ambayo yeye ndio anajua,kwahiyo kama nilivyosema kuwa hii mitihani ni kwa ajili yetu sisi. Kwahiyo unapozungumzia yeye kujua hatima huwezi kuiondoa mitihani maana ndio imechangia kwenye hizo hatma zetu,kwamba utapewa mtihani fulani na mwisho wake utakuwa hivi na vile.
Hatma imetengenezwa na yeye haiepukiki kwa namna nyingine tofauti kwa kwenda kinyume nayo.

Kana kila kitu ni mpango wa mungu na kazi ya mungu haina makosa kwanini kuwe na adhabu kwa makosa anayofanya binadamu ambayo ni sehemu ys mipango aliyopangiwa na mungu?

Kwanini mungu mjuzi wa yote, upendo wote na muweza wa yote alipoona hatma za watu kua zitaenda njia potofu hakuweza kubadilisha wakati uwezo wote alikua nao?
 
Haijafeli ipo kwenye mchakato, ikikamilika utakuwa mwisho wa utawala wa shetani
Ipo kwenye mchakato mpaka lini?

Watu wanakufa vizazi na kizazi hao waliokufa baada ya ujio wake wote wanaenda peponi?
 
Naweza nikasema biblia naiamini sana hata kama nisingekuwa namjua Mungu biblia imejitosheleza kwenye kila nyanja
Sayansi, historia, maarifa na n.k

Kwa hiyo inaaminika hata kwa wasiokuwa na dini
Umeulizwa unajuaje kwamba biblia imesema kweli we unaniambia sayansi, maarifa, historia

Nikikupa kitabu cha sayansi chenye kuelezea evolution hapa pamoja na history ya binadamu wa kwanza utakubali kua binadamu wa kwanza alikua nyani?
 
Hatma imetengenezwa na yeye haiepukiki kwa namna nyingine tofauti kwa kwenda kinyume nayo.

Kana kila kitu ni mpango wa mungu na kazi ya mungu haina makosa kwanini kuwe na adhabu kwa makosa anayofanya binadamu ambayo ni sehemu ys mipango aliyopangiwa na mungu?

Kwanini mungu mjuzi wa yote, upendo wote na muweza wa yote alipoona hatma za watu kua zitaenda njia potofu hakuweza kubadilisha wakati uwezo wote alikua nao?
Mbona haueleweki mara unasema hatima imetengenezwa na yeye mara tena unasema alipoona hatma za watu zinaenda njia potofu kwanini hakubadili.
 
Mbona haueleweki mara unasema hatima imetengenezwa na yeye mara tena unasema alipoona hatma za watu zinaenda njia potofu kwanini hakubadili.
Mungu wako ndio haeleweki

Kama kila kitu ni mpango wa mungu utaweza kumlaumu binadamu kwa hatma yake aliyoipata?

Utasemaje hatma ya binadamu imetokana na matendo yake na wakati mungu alikwisha muandikia hayo mapito hata kabla hajazaliwa?
 
Una uhakika gani kama huyo unayemjibu yupo huku Africa na sio kwingineko na una uhakika gani kama George Bush ni muumini wa Mungu?Hiyo inathibitisha kwamba we ni mtu wa ku-assume tu na ndo maana una assume kwamba Mungu yupo.
maswali mepesi
 
Mungu wako ndio haeleweki

Kama kila kitu ni mpango wa mungu utaweza kumlaumu binadamu kwa hatma yake aliyoipata?

Utasemaje hatma ya binadamu imetokana na matendo yake na wakati mungu alikwisha muandikia hayo mapito hata kabla hajazaliwa?
Tulikuwa tunajadili suala la mitihani.
 
Kifo siyo kibaya mara zote. Imagine watu kama kina Hitler, Idd Amin, Magufuli, Mobutu wangekuwa wanaishi milele.

Duniani pangegeuka Jehannum
[emoji848][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]

Kweli umewaza kwa sauti....
 
Kwani "pema" ni nini?
Pema ni pahali, si mtu.

Paali ni "pahali gani". Si "pahali nani".

Hoja yako ya kulaximisha wito uwe wa "nani" haina mashiko.

Wito unaweza wa kutoka pahali. Kama kwenye hiyo methali. Pahali si nani, ni gani.

Wito unaweza kuwa wa kada, kama mtawa anavyoweza kusema amesikia wito wa kazi ya ukasisi. Ukasisi si nani, ni nini.

Hivyo hivyo, mtu anaweza kusikia wito wa kuwakilisha watu kwenye siasa. Wito wa kazi. Kazi ni nini, si nani.

Mtu anaweza kuitwa na kifo. Kifo si nani. Ni nini.

Acha kulazimisha kila wito uwe wa "nani".
 
Back
Top Bottom