Pema ni pahali, si mtu.
Paali ni "pahali gani". Si "pahali nani".
Hoja yako ya kulaximisha wito uwe wa "nani" haina mashiko.
Wito unaweza wa kutoka pahali. Kama kwenye hiyo methali. Pahali si nani, ni gani.
Wito unaweza kuwa wa kada, kama mtawa anavyoweza kusema amesikia wito wa kazi ya ukasisi. Ukasisi si nani, ni nini.
Hivyo hivyo, mtu anaweza kusikia wito wa kuwakilisha watu kwenye siasa. Wito wa kazi. Kazi ni nini, si nani.
Mtu anaweza kuitwa na kifo. Kifo si nani. Ni nini.
Acha kulazimisha kila wito uwe wa "nani".