Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Sijapata jibu mkuu.[emoji16][emoji16]yaaan we n kiranga kabisa
Sijapata jibu mkuu.[emoji16][emoji16]yaaan we n kiranga kabisa
mkuu we unalazima mawazo yako na nature jinsi ilivyo leo hii tungekuwa na sisi kila mtu anapanga aishi dunia yake kwa namna yake .majanga ,kifo ,matatizo na e.t.c zote humkuta mwanadam ilikumkumbuka mola wake na kumsujudia .binadamu husahau ganda la mua la jana bila kujua chungu kakiona kivuno huyu mungu anauchungu na sisi mwingi wa misamaha sema tamaa za mwili za binadam hutaka kujufanyia apendavyo yeye . mkuu hapo nyumbani ww n baba chukulia mfano kupitia hapo kuna njia uliojiwekea familia yako iishi ila wanao wanavuka mstari je utachukua jukum gani ili wajue baba yupo na waelewe wanakosea?Sijapata jibu mkuu.
Baba hafananishi na Mungu, Mungu anajua yajayo na yaliopita. Anauweza kuzuia majanga na vitu vyote vibaya, Je kwanin asingekuwa anazuiamkuu we unalazima mawazo yako na nature jinsi ilivyo leo hii tungekuwa na sisi kila mtu anapanga aishi dunia yake kwa namna yake .majanga ,kifo ,matatizo na e.t.c zote humkuta mwanadam ilikumkumbuka mola wake na kumsujudia .binadamu husahau ganda la mua la jana bila kujua chungu kakiona kivuno huyu mungu anauchungu na sisi mwingi wa misamaha sema tamaa za mwili za binadam hutaka kujufanyia apendavyo yeye . mkuu hapo nyumbani ww n baba chukulia mfano kupitia hapo kuna njia uliojiwekea familia yako iishi ila wanao wanavuka mstari je utachukua jukum gani ili wajue baba yupo na waelewe wanakosea?
Kwanza kabisa, sijalazimisha mawazo yangu.mkuu we unalazima mawazo yako na nature jinsi ilivyo leo hii tungekuwa na sisi kila mtu anapanga aishi dunia yake kwa namna yake .majanga ,kifo ,matatizo na e.t.c zote humkuta mwanadam ilikumkumbuka mola wake na kumsujudia .binadamu husahau ganda la mua la jana bila kujua chungu kakiona kivuno huyu mungu anauchungu na sisi mwingi wa misamaha sema tamaa za mwili za binadam hutaka kujufanyia apendavyo yeye . mkuu hapo nyumbani ww n baba chukulia mfano kupitia hapo kuna njia uliojiwekea familia yako iishi ila wanao wanavuka mstari je utachukua jukum gani ili wajue baba yupo na waelewe wanakosea?
Mungu anasema ana watu ndo anao wajali watu wenye dhambi hamna nafasi kwake hahisiki na vilio vyenuKama hausiki na kifo basi anaehusika ni mkuu kuliko yeye.
Maana mnalia sana mnapofiwa ila kashindwa kuzuia msilie
Unajua bado hatujaelewana nadhani,unazungumzia ulimwengu ambao hauna kifo au watu kutokufa? maana nimekuuliza huo ulimwengu ambao hakuna kifo ndio unafananaje au ukoje ila naona unashindwa kuelezea.Aliweza kuumba ulimwengu ambao hauwezi kuwa na kifo, magonjwa, majanga ya kiasili kama matetemeko ya ardhi na matsunami, vita, njaa, ujinga na mengine mengi kama hayo?
Aliweza kuumba ulimwengu ambao hayo hayawezi kuwapo wala kufikirika kabisa?
Mungu haiti kila mtu aisee anaita watu wake 2 si wengine wenye dhambi Mungu amemuachia shetani gombania goli ko kama unakufa na korona magonjwa ambayo ni matokeo ya dhambi za mwanadamu imekula kwako jilinde atleast kdunia dunia usitarajie Mungu atamponya mdhambi kirahisi hivoKweli ww huna akili Kwan Alie kuambia kufa ni ukatili wa Mungu ww baba yako akikuita mwanangu njoo utakuja au hauiji ndio sawa na kifo Mungu anakuita mja wake
Unapouliza unafananaje una maana gani?Unajua bado hatujaelewana nadhani,unazungumzia ulimwengu ambao hauna kifo au watu kutokufa? maana nimekuuliza huo ulimwengu ambao hakuna kifo ndio unafananaje au ukoje ila naona unashindwa kuelezea.
Unaweza kuthibitisha huyo Mungu yupo kweli na si habari za kutungwa na watu tu?Mungu haiti kila mtu aisee anaita watu wake 2 si wengine wenye dhambi Mungu amemuachia shetani gombania goli ko kama unakufa na korona magonjwa ambayo ni matokeo ya dhambi za mwanadamu imekula kwako jilinde atleast kdunia dunia usitarajie Mungu atamponya mdhambi kirahisi hivo
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Kumuogopa na Kumpenda vyote viwili vinahitajika,kuhoji si tatizo ila ni pale tunapotaka kila tunachojisikia kuuliza basi kiwe na majibu. Kuna kuhoji kwengine mtu anauliza sio kwa sababu hilo jambo linamtatiza bali anahoji kwanini Mungu kaamua hivi na vile? sasa maswali mengine wa kutakiwa kuulizwa ni Mungu mwenyewe.Tatizo watu tunamuogopa Mungu, na sio kumpenda
Ndiyo maana mtu akihoji kuhusu Mungu anaonekana kama shetani vile
Dini zote zina utata mwingi sana ata vitabu vya dini vyote vina utata na mafumbo.
Kwahiyo lazima tuhoji kuhusu Mungu kutokana na ukuu wake ulivyoelezwa kweny dini
Kwanin alimpa mwanadamu mitahani ambao anajua katika watu 1000, mmoja ndiyo anaweza kufaulu
Bora umeelewesha hili.Baba hafananishi na Mungu, Mungu anajua yajayo na yaliopita. Anauweza kuzuia majanga na vitu vyote vibaya, Je kwanin asingekuwa anazuia
Ukifikia imani hiyo huwezi amini mambo ya kijinga hivo japo inaezekana ila utawaza kufikiria jinsi watu wanaangamia na dhambi badala ya tamaa ya madaraka makubwaKwa hiyo nikiamini kesho nitakuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, hilo linamaanisha kesho nitakuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kweli?
Ndio maana nimekuuliza ni ulimwengu usio na kifo au watu kutokufa?Unapouliza unafananaje una maana gani?
Maana nimekuj8bu kwamba, ulimwengu usio nankifo, watu wanaishi bika kufa.
Mungubwakobalishindwa kuumba ulimwengu ambao hauna kifo?
Unaniukiza unafananaje?
Unaponiuliza unafananaje una maana gani? Una maana ya rangi ya anga juu kama itakuwa bluu au nyekundu?
Umeniuliza ulimwengu huo ukoje, nakujibu hauna kifo.
Unataka kujua kipi zaidi?
Mungu wako alishindwa kuumba ulimwengu ambao kifo hakiwezi kutokea kwa sababu yoyote?
Jibu swali.
Kwa nini Mungu muweza yote hajaumba ulimwengu ambao sehemu yoyote, kwa sababu yoyote, muda wowote, mabaya hayawezekani, kaumba huu ambao mabaya kama kifo, matetemeko, ma tsunami, njaa, ujinga, magonjwa na mengine mengi kama hayo yanawezekana?Kumuogopa na Kumpenda vyote viwili vinahitajika,kuhoji si tatizo ila ni pale tunapotaka kila tunachojisikia kuuliza basi kiwe na majibu. Kuna kuhoji kwengine mtu anauliza sio kwa sababu hilo jambo linamtatiza bali anahoji kwanini Mungu kaamua hivi na vile? sasa maswali mengine wa kutakiwa kuulizwa ni Mungu mwenyewe.
Ulimwengu ambao kifo ni kitu kisichojulikana. Hakipo na wala hakiwezi kufikirika. Popote, kwa sababu yoyote, muda wowote.Ndio maana nimekuuliza ni ulimwengu usio na kifo au watu kutokufa?
Watu wenye imani wana experience dunia isiyo na shetani we unadhani unafanya dhambi kwasababu ya shetani jidanganye ni tamaa zako mwenyewe ukizikana unakuja kupata majibuMungu ambae tunahubiriwa kuwa ana upendo sana,ana huruma sana na ni muweza wa kila kitu alishindwaje kuumba dunia ambayo haina shetani?
Hujajibu nilichouliza na ulichojibu sijauliza.Ukifikia imani hiyo huwezi amini mambo ya kijinga hivo japo inaezekana ila utawaza kufikiria jinsi watu wanaangamia na dhambi badala ya tamaa ya madaraka makubwa
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Kwasababu alikuumba kwa mfano wake means una uwezo mkubwa wa kuchagua mwenyewe alishakupa uwezo sasa vingine unajitakia mwenyewe kutokan na illusion za dunia kama mtu unaelewa na asubuhi ukiamka unajilaumu unashindwa kuacha pombe ko usaidiwaje..we unadhani ibrahim baba wa imani alizaliwa jiwe nd akawa ni imani vile? No, he was just normal being like you ila he committed himself afu kama umewahi hubiriwa ukakataa kusali kisa wanawake wazuri weny makalio means choice ulikuwa nazo mbili we ukaona makalio yanafaa unataka Mungu afanyaje hapoMungu tunaehubiriwa kuwa ana upendo sana na anaweza kila kitu anashindwa vipi kuondoa suala bovu la kumuachia binadamu kumchagua yeye au wengine?Mungu tunaehubiriwa kuwa ana upendo sana na ni muweza wa yote anashindwa vipi kumfanya binadamu amchague tu yeye hadi ampe mitihani mibaya ya either ya kumchagua yeye au shetani?
Bora umeelewesha hili.
Maana maswali mengine mpaka mtu unajiuliza, huyu mtu anayeuliza anajua kusoma kwa ufahamu au hajui?
Yani namuuliza mtu, kwa nini Mungu, pale mwanzo kabisa alipokuwa anaumba ulimwengu, anaamua nini kiwezekane na nini kisiwezekane, kwa nini hakuumba ulimwengu ambao uasi, ubaya, magonjwa, tsunami, tetemeko, njaa, ujinga etc haviwezekani kuwepo?
Halafu mtu anakwambia hata baba akiona watoto wanafanya uasi atawaadhibu.
Mimi nimeuliza kwa nini Mungu hakuumba ulimwengu ambao uasi hauwezekani kuwepo?
Yeye ananijibu hata baba akiona watoto wanaasi atawaadhibu.
Huyu ni mtu ambaye hata kuelewa swali hajaelewa.
Na hivyo hawezi kulijibu.