Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Hujajibu swali la msingi.Watu wa Mungu wanaokolewa na kila ki2 unachotaja je Magufuli kaokoa wangapi wa nchini kwake na umasikini, njaa, matetemeko njaa..Mungu elew kwamba hageneralize ndo maan anasema watu wangu ni wale tu wanaozishika amri zangu na mafundisho yangu Kama umepitiwa na kimbunga au njaa umasikini na unasali kwa kufunga unafuata amri zake na sheria zake mafundisho yake Come Forward To Blame Him huwa anaruhusu
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Mungu wako alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauna na hauwezi kuwa na mabaya?