Kama Kifo ni mpango wa Mungu basi Mungu wenu atakuwa katili sana, mnawezaje kuwa nae?

Kama Kifo ni mpango wa Mungu basi Mungu wenu atakuwa katili sana, mnawezaje kuwa nae?

Kwanini kwa binadamu hakuweka hiyo subra ya kumuacha aishi milele bila kumuwekea laana ya kifo na maisha ya shida jwa dhambi aliyosababishiwa na shetani ambaye kamuacha?

Huyu mungu anawajali maadui kuliko watu wake no wonder kwa nini aliangamiza watoto wadogo wa kiume kule misri ili kumkomia farao wakati aliweza kumuua farao bila kuwaangamiza watoto wasio na hatia
Shetani anakosa gani tofauti na binadamu mwenye dhambi..ikiwa mtu mwenye dhambi hana thamani mbele yake. Mtu mwenye dhambi sio mtoto wa Mungu..ko watoto wa farao waliozaliwa katika ubaya lazima walikuwa wabaya wanahaki ya kuwa perished the like mimi mwenyewe naweza kuwa perished nd maan watu wanaendelea kufa kila siku kwa wakati tofauti ukipata neema shukuru piga moyo konde..Mbona hata sahivi wapo watoto wanakufa..Usilazimishe wakati umekuwa gombania goli la shetani.. afu we umekaa hapo unahisi shetani hakuwa mtoto wa Mungu once mpaka unamcast kiasi hicho?

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Mungu hajawahi kuua?

Gharika Genesis 7:23, NLT

Sodomy & gomora Gen 19:24

Mtoto wa kwanza kufa kila nyumba kule misri Ex 12:29-30

Adhabu ya njaa ya miaka saba ulimwenguni kote Gen 41:25-54

Hivyo ni vifo vya mamilion kwa maelfu ya watu ambayo mungu kaua

shetani ndio hana rekodi ya kuua watu wengi kama hivyo wakati ndio mwenye sifa ya ubaya, labda uniambie wewe shetani alimuua nani?
Usipoangalia kulia wakati wa kuvuka bara bara ukagongwa na gari ukafa dereva akiwa katika mwendo wa kawaida nani wa kulaumiwa?

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Mfano unajua huyu mtu anaenda kuiba na akiiba atauwawa na nguvu ya kumzuia kwanin usimuzuie
Alishatoa onyo mapema,matokeo ya kula tunda hilo ni nini kwanin akuzuie wakati unajua matokeo
 
Kama Mungu alijua shetani atawapoteza watu kwanin anamuacha mpka leo
Nishajibu hilo swali wacha nikupe tena mfano.

Hivi kwanin mtuhumiwa hafungwi mpaka kesi yake isikilizwe na agundulike ni kweli aliiba? Kinachofanyika sasa baada ya shetani kwenda kutoa madai ya uongo kuhusu muumba Mungu alikua na uwezo wa kumuua pale pale, lakini viumbe wengine wenye akili wangeonaje hicho kitendo?

Baadhi ya malaika wangeona kwann Mungu kamuua,basi shetani ni mkweli kwa hiyo wengi wangemuunga mkono katika uasi wake.

Mungu kamuacha shetani ili athibitishe madai yake kwamba Mungu anawanyima watu uhuru na muda utakapofika kila mtu akishajua kuwa shetani ni muongo na ameshindwa kutuletea amani bas anapndolewa. Yani ni muda tu
 
Maisha ya anasa na ubadhilifu wote ni mafundisho ya shetani usitake mpaka upige nae stroy

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
unajuaje maisha ya anasa na ubadhilifu ni mafundisho ya shetani?

Umesoma wapi maelezo kutoka upande wa shetani yakisema hivyo mpaka ukahitimisha kua ni shetani? au ni kwasababu mafundisho kutoka upande wa mungu yamesema hivyo?
 
The fact kwamba Mungu ni alfa na Omega na still adam aliweza kula tunda tayari alikuwa na choice. Babako akikuambia nenda shule na adhabu yake itakuwa kiboko usipoenda halafu usiende means wewe nd umechagua adhabu kwsababu you'd have gone to school instaed and still you chose punishment now that's your problem not his

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Mungu ni alfa na omega, kila kitu kinachofanyika ni mipango ya mungu na kazi ya mungu haina makosa at this point the future is set already regardless of his actions.

Je! Mungu anajua au hajui kwamba mtu fulani atakuwa mzuri au mbaya? Ikiwa unasema 'Anajua', basi kinachofuata kwamba mtu huyo analazimika kutenda kama Mungu alivyojua mapema jinsi atakavyotenda, vinginevyo, maarifa ya Mungu hayatakuwa kamili.
 
Unadhani toka Adam mpaka Leo kila MTU asingekufa kungekuwa na watu wangapi?
unajua mpango wa new world order?
kama watu hatupo wengi duniani kwanini wazungu wanataka kutupunguza?
Hiyo haijawahi kuwa sababu ya kifo ndugu labda kma we ndo umejifunza hivo sababu ya kifo haiwezi kuwa nyepesi hivo eti watu wangejaa kwa Mungu mwenye uwezo wa kuwaweka wote kweny chupa. Kwani ulimwengu mbona unaexist malaika na kila kitu ndani yake na haujajaaa

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndo Muhusika wa kuona uovu wako sio yey maan kashaona kila uovu ndo maan anasema ukifika kwenye hukumu itakuwa kama umelala usingizi jana usiku then ukaamka meaning utaeza process everything

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
mimi hata nikiona uovu wangu haisaidii kitu maana siwezi kubadilika tofauti na alivyopanga yeye. Kwa hiyo hata point ya kusema mitihani ni kwa ajili yangu bado ni insanity
 
Hakuna mungu zote story tu za avengers zilitungwa na chizi miaka ya nyuma machizi wenzake wakafata alafu leo hii machizi wameongezeka wanaoamini huu upuuzi. Wengine tulimezeshwa huu ujinga utotoni tumekua akili zimefunguka.
Mungu angekuwepo na mwingi wa upendo asingeacha ujinga huu uliopo sasa hivi amekaa anaangalia tu anakula popcorn huku dunia iko ovyo. Yote kisa kula tunda? hahaha tunda kwa nini mti aliuweka sasa kama anajua tutakula? Huu ujinga mlimezeshwa na nyie mkabeba kama ilivyo ila ukifikiria unajua kabisa ni ujinga wa level ya standard gauge
 
Nishajibu hilo swali wacha nikupe tena mfano.

Hivi kwanin mtuhumiwa hafungwi mpaka kesi yake isikilizwe na agundulike ni kweli aliiba? Kinachofanyika sasa baada ya shetani kwenda kutoa madai ya uongo kuhusu muumba Mungu alikua na uwezo wa kumuua pale pale, lakini viumbe wengine wenye akili wangeonaje hicho kitendo?

Baadhi ya malaika wangeona kwann Mungu kamuua,basi shetani ni mkweli kwa hiyo wengi wangemuunga mkono katika uasi wake.

Mungu kamuacha shetani ili athibitishe madai yake kwamba Mungu anawanyima watu uhuru na muda utakapofika kila mtu akishajua kuwa shetani ni muongo na ameshindwa kutuletea amani bas anapndolewa. Yani ni muda tu
hayo madai ya uongo aliyoyatoa shetani umeyapata kutoka upande wake baada ya kumsikiliza?
 
Dhambi ni uasi. Je mkuu wa wote anamuasi nani?

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
uasi uliofanywa na nani? bila shaka utasema shetani

sasa twende

Mungu mkuu wa vyote, mjuzi wa yote, mwenye upendo wote alipokua anamuumba shetani alijua au hakujua outcome yake?

Kama mungu aliweza kuona yote kua shetani angekuja kufanya dhambi ya uasi na yeye asingependa dhambi ifanyike, je kwa uwezo alionao Mungu aliweza kuzuia dhambi isifanyike au hakuwa na uwezo?

Kama alikua na uwezo kivipi hakuzuia?

kwamba alitaka dhambi iwepo?, yes ilikua ni mpango wake dhambi iwepo na ndio maana anasema kazi yake haina makosa wala yeye sio mwanadamu akosee.

Kwahiyo kum-judge shetani kwa namna alivyo huku ukijua shetani ni product ya Mungu ambaye hakosei hapo unakua unafanya dhambi kwa kuikosoa kazi ya Mungu wako ionekane inamakosa
 
hayo madai ya uongo aliyoyatoa shetani umeyapata kutoka upande wake baada ya kumsikiliza?
Hayo madai yapo kwenye maandiko na ushahidi ni jinsi mambo yanavyokwenda inaonekana shetani kashindwa kabisa kuiongoza dunia,kwa hiyo tunahitaji utawala wa Mungu
 
Uthibitishiwaje na mtu kuna Mungu wakati njia za kujua kama yupo unazijua kasome bible acha kumsumbua mwenzio. Mtu mwenye dhambi amefungwa asione. Unataka kumuona Mungu simple sana acha uovu

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
ili uthibitishiwe panya wanaongea ukipewa kitabu cha darasa la pili kinachoelezea mipango ya panya kumvika paka kengere hiyo itakua uthibitisho kuonesha panya wanaongea?

1613364951915.png


ili uthibitishiwe spiderman yupo utahitaji kitabu hiki?
1613364862813.png


well pazi na jogoo ni mtu halisi na jogoo wa namna ile yupo as long as kitabu kilichoandika hivyo kipo
1613365025408.png
 
alipokua anamuumba shetani alijua au hakujua outcome yake?
Unakosea tu hapo unaposema shetani kaumbwa. Shetani kabla ya kuwa shetani (mpinzani) alikua malaika baada ya kuasi ndio akawa shetani.

Ulishawahi kusikia huyu mzazi kazaa jambazi? Kila mzazi anazaa mtoto mwema ila baadaye mtoto mwenyewe anaamua kuasi.
 
Hayo madai yapo kwenye maandiko na ushahidi ni jinsi mambo yanavyokwenda inaonekana shetani kashindwa kabisa kuiongoza dunia,kwa hiyo tunahitaji utawala wa Mungu
maandiko kutoka upande gani?

shetani au mungu?
 
Unakosea tu hapo unaposema shetani kaumbwa. Shetani kabla ya kuwa shetani (mpinzani) alikua malaika baada ya kuasi ndio akawa shetani.

Ulishawahi kusikia huyu mzazi kazaa jambazi? Kila mzazi anazaa mtoto mwema ila baadaye mtoto mwenyewe anaamua kuasi.
kwa hiyo upeo wa mungu uliishia kumuona shetani akiwa malaika tu haukuweza kumuonesha extra miles kua atakuja ku change?
 
Back
Top Bottom