Kama Kifo ni mpango wa Mungu basi Mungu wenu atakuwa katili sana, mnawezaje kuwa nae?

Kama Kifo ni mpango wa Mungu basi Mungu wenu atakuwa katili sana, mnawezaje kuwa nae?

Unataka kuniambia we hapo hujui ubaya wa kuua mtu? Em 2anzie hapo kwanza.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
kama ni kuua ni ubaya na ubaya ni dhambi mbona Mungu kaua mamilion ya watu kwenye gharika na sodoma?

ukisema walikua na dhambi maana yake hata mimi nitakua halali kuua yule mwenye makosa kwangu

lakini huyu mungu kaua hadi watu wasio na hatia, mfano kwenye kuipima imani ya ayubu aliua ndugu wake wapendwa wasio na hatia, kaua watoto wa uzao wa kwanza wa farao wasio na hatia nk
 
we umewezaje kuamini Mungu yupo bila kufikiri?
Hilo ni swali la kiimani umeliuliza kwa kutumia critical thinking. Sifikiri kuwa MUNGU yupo, naamini kuwa MUNGU yupo. Ukitaka nikujibu kwa kufikiri utanipeleka kwenye akili ya kuhoji uhalali wa uwepo wa MUNGU. Na nikikujibu kiimani hutanielewa sababu unafikiri na imani yako ipo katika ubongo wako katika masuala ya kiroho. Ni kama vile hakuna ulimwengu wa roho katika maisha yako. Au upo? Imani yako katika ulimwengu wa roho ni nn? Hakuna MUNGU? Kuna nn? MUNGU yupo ila ni dhaifu kwanini? Dhaifu ukimlinganisha na nani? Huyo unayemlinganisha naye kwann si MUNGU? Haya ni maswali ya kiroho ila ukiyajibu kimwili utapata jibu moja tu HAKUNA MUNGU.

Mfano wa imani yangu katika roho vs critical thinking:

Ukinitukania mama yangu na mm nikamtukana mama yako fikra zangu zitanituma kuwa nipo sahihi ila nafsi yangu sababu ya imani niliyonayo itaumia kwa kumtukana mama yako, ndani katika ulimwengu wa roho sitakuwa na utulivu kabisa.
 
Ulimwengu ambao kifo ni kitu kisichojulikana. Hakipo na wala hakiwezi kufikirika. Popote, kwa sababu yoyote, muda wowote.

Watu wanaishi milele raha mustarehe.

Kwa nini hakuumba ulimwengu huo?
Nachokiona ni wewe kung'ang'aniza kuhusisha kifo na huu ulimwengu wakati kifo hakihusu ulimwengu kwamba watu wanakufa kisa huu ulimwengu,suala la kufa ni la binaadamu mwenyewe na si kwamba ulimwengu ndio unafanya wafe.
 
Kifo nd kingefuata pamoja na adamu wote inamaan human race isingekuwepo ndo maan nae shetani alipewa muda wa kujichunguza kama ulivopewa sahivi ila akapoteza kafungiwa neema. Nawew usijali kma unatak kushuhudia kikombe cha hasira ya Mungu anachomfanya mkaidi endlea ukaidi waswahili wanasema mwanakulitafuta mwana kulipata

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
napata mashaka kama unaelewa nacho kiandika.

Nimeuliza Kwa hiyo mungu hakujua kwamba shetani atahasi?

we unakuja kuniambia habari za "Kifo ndio kingefuata pamoja na adamu wote inamaan human race isingekuwepo ndo maan nae shetani alipewa muda wa kujichunguza kama ulivopewa sahivi ila akapoteza kafungiwa neema" Sasa hili jibu lina relate vipi na swali langu?
 
Hilo ni swali la kiimani umeliuliza kwa kutumia critical thinking. Sifikiri kuwa MUNGU yupo, naamini kuwa MUNGU yupo. Ukitaka nikujibu kwa kufikiri utanipeleka kwenye akili ya kuhoji uhalali wa uwepo wa MUNGU. Na nikikujibu kiimani hutanielewa sababu unafikiri na imani yako ipo katika ubongo wako katika masuala ya kiroho. Ni kama vile hakuna ulimwengu wa roho katika maisha yako. Au upo? Imani yako katika ulimwengu wa roho ni nn? Hakuna MUNGU? Kuna nn? MUNGU yupo ila ni dhaifu kwanini? Dhaifu ukimlinganisha na nani? Huyo unayemlinganisha naye kwann si MUNGU?

Mfano wa imani yangu katika roho vs critical thinking:

Ukinitukania mama yangu na mm nikamtukana mama yako fikra zangu zitanituma kuwa nipo sahihi ila nafsi yangu sababu ya imani niliyonayo itaumia kwa kumtukana mama yako, ndani katika ulimwengu wa roho sitakuwa na utulivu kabisa.
imani ni nini?
 
Ambacho hujaelewa kipi hapo? Si unapewa matokeo tu ya hayo machaguo yako either kifo au uzima na lini? Umewahi tumiwa migambo wakakushikisha amri hapo ulipo

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
uhuru wa kweli hauna mipaka

nikitaka kuchagua kufanya ubaya bila kupata adhabu uhuru huo ninao?
 
imani ni nini?
Kuwa na imani ni kuwa na hakika ya mambo tunayoyatumainia, mambo yaliyonje ya uwezo wa fikra za binadamu kusadiki kabisa mambo tusiyoyaona.

Kwa imani mimi nafahamu kwamba ulimwengu uliumbwa na MUNGU ilihali sikuwepo, sikuona, sina scientific prove.
 
Kifo ni default yako kutokana na dhambi yako sas huwez mpangia aliekupa offer ya kurekebisha makosa yako muda wa offer ametoa ambayo anaona itakutosha kabisa akakupa elimu ufanyeje na bado ukaendelea kukaidi unataka afanyaje.. Afu we nani hasa mpaka ubembelezwe milele kwani Mungu hawezi kuwa na dunia yenye viumbe wengine mpka ujione special ubembelezwe kufanya mema? Kama hujui we ni karatasi 2 muda wote unakunjwa kunjwa unaonewa huruma unaanza kelele...Mungu hajaumba uhuru peke ake kama hujui kaumba haki na kaumba kiasi. Basi fanya hivi iko huru haya mantain na haki basi..je haki ni nini? Unamuiba mwenzio je unahis unafanya haki? Humuheshimu aliekuumba unafanya haki? Humuheshimu aliekuzaa unafanya haki? Unataman mke wa mtu unafanya haki? Hakuna uhuru bila haki. Kama we uko huru je huoni kama mwenzio yuko huru kuishia kwa uhuru na sio kuongopewa kuibiwa kuwawa? Unahisi ukinyima uhuru wa mwenzio umetenda haki? Den uvunjaji wa haki sio ndo dhambi Je, wewe nafasi yako ni ipi kama sio kutoweka? Fuata haki tuone afu mlaumu Mungu tutakuelewa..

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Mungu mpangaji wa maisha ya binadamu aliyejua mwisho wetu angali hatujazaliwa na kila kitu kinafanyika kwa kutii amri kama alivyokiona kabla hakijatokea, je akikupa offer ya kujirekebisha unaweza ukaenda tofauti na yeye alivyojua?
 
Kuwa na imani ni kuwa na hakika ya mambo tunayoyatumainia, mambo yaliyonje ya uwezo wa fikra za binadamu kusadiki kabisa mambo tusiyoyaona.

Kwa imani mimi nafahamu kwamba ulimwengu uliumbwa na MUNGU ilihali sikuwepo, sikuona, sina scientific prove.
unakuaje na hakika katika vitu unavyotumainia?

unakuaje na hakika na vitu ambavyo hujavifikiri?
 
Nachokiona ni wewe kung'ang'aniza kuhusisha kifo na huu ulimwengu wakati kifo hakihusu ulimwengu kwamba watu wanakufa kisa huu ulimwengu,suala la kufa ni la binaadamu mwenyewe na si kwamba ulimwengu ndio unafanya wafe.
Mungu wako alishindwa kuumba ulimwengu ambao kifo hakiwezekani kuwepo wala kufikirika?

Hujajibu swali hili.
 
Huwezi eka camera ofisini kumchunguza mfanyakazi unaemuhisi anakusaliti na ukaja kumnyang'anya vitu na kumfukuza kazi na kumshtaki? Una kosa gani hapo na ulijua kuwa anakuzunguka ila unakuja kumuonesha video ili athibitishe

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
huyo boss anakua ni mjuzi wa yote, mwenye upendo wote na muweza wa yote?
 
Kwani Mungu lazima awe na jina!?
Kama waislamu mungu wao anaitwa ALLAH na wakristo mungu wao yehova ama jesus kwanini wakwako wewe asiwe na jina

Ok basi tupe wasifu wake japo kidogo mfano mungu wa waislamu wanasema hajazaa wala wala hakuzaliwa na hafananishwi na chochote vipi kuhusu mungu wako wewe
 
unakuaje na hakika katika vitu unavyotumainia?

unakuaje na hakika na vitu ambavyo hujavifikiri?
Kwani mbona ww ni muamini tu, unaishi kwa imani na matumaini kama wengine tu? Mbona kama unajiona tofauti ilihali una udhaifu mkubwa pengine kuliko wanaoukubali huo udhaifu kwa kuamini katika MUNGU?

Ww bila imani unafahamu nn kuhusu kesho yako? Huna uhalali wa kuhoji sana imani ya wengine ilihali ww ni dhaifu tu unayeishi kwa matumaini tu kuwa kesho utaaamka. Huna control.

unafikiri nini kuhusu kesho asubuhi na mipango yako inabase kwenye fikira zako kwa kiwango gani na fikra zako za mambo ambayo hayajatokea kesho huanzia wapi ilihali hujaiona kesho na hujui ni nn kinakusubiri?

Wewe huna uhakika wowote kuhusu kesho yako, ubongo wako na critical analysis zako hazina msaada wowote juu ya kinachokusubiri kesho. una imani tu na matumaini ya mambo usiyoyajua na ambayo hayajatokea.

Huna control yoyote zaidi ya udhaifu na unategemea tumaini na imani ambayo ubongo wako hauna control nayo.

Kama thinking ndo kila kitu fanya critical thinking basi ya ww kuamka kesho uwe na uhakika wa kuamka kesho, fanya critical thinking ya uhakika wa yanayokusubiri mbeleni. Achana na hope go to facts.

Kwa udhaifu huo ulionao huna tofauti na mwingine yoyote mwenye imani maana ubongo wako dhaifu hauna majibu ya uhakika wa afya na kuishi kwako kesho. Unaishi kwa imani kama mlokole au mhindu aliyeiweka kesho yake katika ng'ombe.
 
Kwa nini Mungu aliumba ulimwengu ambao dhambi na ukaidi ni vitu vinavyowezekana?

Kwa nini hakuumba ulimwengu ambao dhambi na ukaidi haviwezekani?
kwasababu asingeumba hivo tungekuwa maroboti na yeye hakutaka tuwe maroboti ila huru ndani ya haki..
 
Kama waislamu mungu wao anaitwa ALLAH na wakristo mungu wao yehova ama jesus kwanini wakwako wewe asiwe na jina

Ok basi tupe wasifu wake japo kidogo mfano mungu wa waislamu wanasema hajazaa wala wala hakuzaliwa na hafananishwi na chochote vipi kuhusu mungu wako wewe
Kipi bora zaidi kujiuliza maswali kuwa Mung hakuzaa au kutafakari upendo wake na jinsi alivotuokoa..
 
huyo boss anakua ni mjuzi wa yote, mwenye upendo wote na muweza wa yote?
elewa mfano bro hiyo ni part 2 ya Mungu. sas Mungu alivowek huu utaratibu sio yeye aprove point kwko maan hana shida na wewe huna unachomsaidia kikubwa ila anataka wewe uprove point nd utaeza msaidia kwa kumbariki..
 
Mungu wako alishindwa kuumba ulimwengu ambao kifo hakiwezekani kuwepo wala kufikirika?

Hujajibu swali hili.
Jibu kwnza na wewe Mungu wako kafanya kipi kuzuia haya? Maan sisi Mungu wetu anasema aliweka kifo kama adhabu ya ukaidi nd maan Adam Alipokwisha kukaidi 2 akapewa hukumu ya kifo. Sasa kama unataka kumpangia adhabu gani angeweka utakuwa na matatizo..
 
kwa hiyo upeo wa mungu uliishia kumuona shetani akiwa malaika tu haukuweza kumuonesha extra miles kua atakuja ku change?
Hivi Mungu angetaka dikteta kiasi hicho unafikiri leo hii ungekuepo?...yeye hakutaka kumpangia mtu maamuzi yake aliwaachia wawe huru kuamua jema lipi na baya lipi. Ila badae atakapofanya maamuzi ya kuondoa waovu msije sema ooh mi sikujua...ooh mi sikuambiwa
 
Back
Top Bottom