Kwani mbona ww ni muamini tu, unaishi kwa imani na matumaini kama wengine tu? Mbona kama unajiona tofauti ilihali una udhaifu mkubwa pengine kuliko wanaoukubali huo udhaifu kwa kuamini katika MUNGU?
Ww bila imani unafahamu nn kuhusu kesho yako? Huna uhalali wa kuhoji sana imani ya wengine ilihali ww ni dhaifu tu unayeishi kwa matumaini tu kuwa kesho utaaamka. Huna control.
unafikiri nini kuhusu kesho asubuhi na mipango yako inabase kwenye fikira zako kwa kiwango gani na fikra zako za mambo ambayo hayajatokea kesho huanzia wapi ilihali hujaiona kesho na hujui ni nn kinakusubiri?
Wewe huna uhakika wowote kuhusu kesho yako, ubongo wako na critical analysis zako hazina msaada wowote juu ya kinachokusubiri kesho. una imani tu na matumaini ya mambo usiyoyajua na ambayo hayajatokea.
Huna control yoyote zaidi ya udhaifu na unategemea tumaini na imani ambayo ubongo wako hauna control nayo.
Kama thinking ndo kila kitu fanya critical thinking basi ya ww kuamka kesho uwe na uhakika wa kuamka kesho, fanya critical thinking ya uhakika wa yanayokusubiri mbeleni. Achana na hope go to facts.
Kwa udhaifu huo ulionao huna tofauti na mwingine yoyote mwenye imani maana ubongo wako dhaifu hauna majibu ya uhakika wa afya na kuishi kwako kesho. Unaishi kwa imani kama mlokole au mhindu aliyeiweka kesho yake katika ng'ombe.