Kama Kifo ni mpango wa Mungu basi Mungu wenu atakuwa katili sana, mnawezaje kuwa nae?

kutoka 3 haisemi kuhusu abraham na mungu inazungumzia habari za moses

nataka uweke reference ya aya ambayo ulianza nayo ambayo ulidai niliikimbia inayomzungumzia abraham kuhusu kutoa sadaka ya mwanae

naona round hii unakimbia wewe
uongeza umakini kijana
nimekupa kisa cha Abraham na Mungu akiongea kupitia malaika ukashindwa kuelewa ....
nikakupa same situation ya Musa na Mungu akiongea kupitia malaika..
Biblia haisomwi kama kitabu cha hadithi utapotea sana
usiruke na mstari mmoja ukawa unaushikia hautaelewa kitu Biblia inatakiwa ijifafanue kisa kwa kisa...mstari kwa mistari
 
kisa cha Abraham kimehusisha Mungu, malaika na Abraham

last moment ya mazungumzo kati ya mungu na abraham ilikua ni aya ya pili kutoka sura ya 22 mwanzo.

Baada ya hapo yalifata mazungumzo ya malaika na abraham, na nukuu mwanzo 22:11 Lakini malaika wa Mwenyezi-Mungu akamwita kutoka mbinguni, “Abrahamu! Abrahamu!” Naye akaitika, “Naam, nasikiliza!” 12Malaika akamwambia, “Usimdhuru mtoto wala usimfanye lolote! Sasa ninajua kwamba unamcha Mungu, kwani hukuninyima hata mwanao wa pekee.”

Naomba unijibu kama hiyo aya haikuhusisha mazungumzo kati ya malaika na abraham imekuwaje biblia iandike malaika wa Mwenyezi-Mungu akamwita kutoka mbinguni, “Abrahamu! Abrahamu!” Naye akaitika, “Naam, nasikiliza!”
 
Alimuita ni Mungu kupitia malaika same to Musa aliyemuita ni Mungu kupitia Malaika ....

Biblia haisomwi kama hadithi kila mtu angeelewa kama ingekuwa hivyo ...ndio sababu pia ulisema Mungu amepanga kila kitu lakini biblia inasema sio hivyo...
 
nipe references inayosema mungu alimuita ibrahim kupitia malaika kwenye iyo sura
 
Biblia haifafanuliwi kwa kusoma sura moja tu sio hadithi
your taking it out of contents, God works in mysterious way, you can't understand him using your commonsense, you need holly spirit to understand him, you can't read bible the way you read newspaper

Those words above are recognized as defense mechanism, these words are commonly appears as last resort when arguments fail to convince the reader
 
never read bible as novel and stick with one line or chapter ....
bible is not novel
 
yes cos it has full of lies in it
because you read it as novel ...thus why you mis it instead of make bible interpret itself but you keeping forcing ur idea which is wrong and non biblical
 
you've been indoctrinated so badly you can't even write a fluent English
 
English does not make people understand bible...
your thought are wrong once again
 
Mungu yupo
Mimi ninaamini yupo kwa kusikia habari zake kwenye maandiko.
Sawa, unaruhusiwa kuamini. Lakininkuqmini kitu hakufanyi kiwe kweli.

Hata James Bond 007 jasusi wa Uingereza habari zake zimeandikwa kwenye maandiko.

Lakini hilo halimaanishi yupo kweli.

Sasa, unajuaje hizo habari za Mungu unazosoma ni habari za Mungu wa kweli na si za hadithi ya kutungwa na watu tu kama hadithi za jasusi James Bond 007?
 
Huyo James mimi simjui.

Habari za Mungu naamini ni kweli.
Biblia ni tofauti na vitabu vingine vya kutunga.

Imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo,ni bayana ya mambo yasiyoonekana.
Imani huja kwa kusikia Neno la Mungu.

Kwanini ujipe mawazo hasi namna hiyo kwamba si habari za kweli?
Kwanini usiamini kama ni kweli?
 
Kwani Mungu unamjua? Mbona nimekuuliza maswali ya kumhusu umeshindwa kujibu umebaki kulazimisha kuamini kuliko kujua?

Biblia ina contradictioms kibao.

Unaelewa hilo?

Na kama inq cinyradictions, hilo linaonesha habari zake zimeandikwa na watu tu, si kitabu cha neno la Mungu. Mungu mjuzi wa yote, mwenye upendo wote na uwezo wote asingeruhusu kitabu kitakatifu chenye maneno ya kumuelezea yeye kiwe na contradictions.

Ukishasema "kuwa na hakika na mambo yatarayajiwayo" tayari ushasema contradiction.

Hakika ni hakika, mambo yatarajiwayo ni bahati nasibu.Probability.

Ukitarajia kitu, maana yake huna hakika nacho.

Ukiwa na hakika nacho, hutarajii, maana ushapata hakika.

Suala la muhimu si mawazo hasi wala mawazo chanya, suala la muhimu ni ukweli.

Inaonekana wewe hupendi kukubali ukweli mchungu kwamba hakuna Mungu, kwa sababu unaona ukweli huo hauendani na dunia unayoitaka ya fantasy kwamba Mungu yupo.

Ndiyo maana unasema mawazo yangu kwamba hakuna Mungu ni mawazo hasi.

Mungu muweza yote, mwenye uoendo wote nabujuzi wote huyo aliyeandikwa kwenye biblia hayupo.

Ndiyo maana.

1. Huwezi kuthibitisha yupo.

2. Huwezi kuelezea imekuwaje Mungu huyo kaumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kutokea.

3. Huwezi kuelezea imekuwaje Biblia ikawa na contradictions nyingi sana.

Ukielewa kwamba Mungu huyu hayupo, habari za kuwepo kwake zimetungwa na watu tu, matatizo yote hayo matatu hapo juu yanatatuliwa.

1. Huwezi kuthibitisha Mungu huyu yupo. Kwa sababu hayupo. Utathibitishaje Mungu yupo wakati hayupo?

2. Suala la imekuwaje Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekqna kufanyika linaondoka. Kama Mungu hayupo, ulimwengubkuweza kuwa na mabaya si contradiction.

3. Katika ulimwengu ambao Mungu hayupo, na Biblia imeandikwa na watu tu, Biblia ikiwa na makosa na contradictions nyingi sana si jambo la ajabu, kwa sababu ni kitabu tu kama kitabu kingine chochote kilichoandikwa na watu. Kitabu hiki kuwa na makosa linakuwa jambo la kawaidq tu.

The same goes fo Allah and the Quran. As well as any omnipotent, omniscient and all benevolent godhead.
 
3. Huwezibkuelezea inekuwaje Biblia ikawa na contradictions nyingi sana.

Aiseee[emoji134][emoji134][emoji134]
Kwahiyo kama Mungu hayupo,nani yupo?
Na ulimwengu ulitokeaje?
 
Aiseee[emoji134][emoji134][emoji134]
Kwahiyo kama Mungu hayupo,nani yupo?
Na ulimwengu ulitokeaje?
Kama Mungu hayupo, wewe upo.

Unaweza kuelewa kwamba square root ya 2 si 10, bila kujua square root ya 2 ni nini.

Umeelewa hilo?
 
Back
Top Bottom