Kama Kifo ni mpango wa Mungu basi Mungu wenu atakuwa katili sana, mnawezaje kuwa nae?

Kwahiyo Kama Ameumba ulimwengu ambao mabaya yapo inamaanisha kwamba hayupo?
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kuumba ulimwengu wenye mabaya ni sawasawa na pembetatu ambayo pia ni duara katika Euclidean geometry.

A logical contradiction.

Ukitaka kulazimisha tu, unaweza kulazimisha kwamba kuna mtu anaitwa Shokolokabangoshee Masalakulangwa, ana macho matatu, ana miguu sita, anakaa Ikulu, ndiye rais halisi wa Tanzania, Magufuli si rais ni msukule tu.

Lakini, nikikuambia uthibitishe logically kwamba huyo Shokolokabangoshee Masalakulangwa yupo kweli, hutaweza.

Kwa sababu hayupo.

Ndiyo habari za Mungu wako unayesema yupo wakati hayupo.

Hayupo, kwa sababu habari za uwepo wake zinaji contradict.

Ndiyo maana huwezi kuthibitisha kwamba yupo, unaishia kuamini tu. Imani unaweza kuamini hata uongo, si lazima kitu kiwe kweli ili ukiamini.

Kama unabisha, unasema Mungu yupo, thibitisha Mungu yupo.

Nilikuomba uthibitishe Mungu yupo, ukaniambia nikujibu swali lako kwanza.

Nimekujibu swali lako.

Sasa ni zamu yako kuthibitisha Mungu yupo.
 
Kumbe Imani inaweza kuwa ya kweli au uongo,
Kwanini unadhani imani ya kwamba Mungu yupo ni uongo?
Kwanini usiamini kwamba ni kweli?
 
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kuumba ulimwengu wenye mabaya ni sawasawa na pembetatu ambayo pia ni duara katika Euclidean geometry.

A logical contradiction.

Ukitaka kulazimisha tu, unaweza kulazimisha kwamba kuna mtu anaitwa Shokolokabangoshee Masalakulangwa, ana macho matatu, ana miguu sita, anakaa Ikulu, ndiye rais halisi wa Tanzania, Magufuli si rais ni msukule tu.

Lakini, nikikuambia uthibitishe logically kwamba huyo Shokolokabangoshee Masalakulangwa yupo kweli, hutaweza.

Kwa sababu hayupo.

Ndiyo habari za Mungu wako unayesema yupo wakati hayupo.

Hayupo, kwa sababu habari za uwepo wake zinaji contradict.

Ndiyo maana huwezi kuthibitisha kwamba yupo, unaishia kuamini tu. Imani unaweza kuamini hata uongo, si lazima kitu kiwe kweli ili ukiamini.

Kama unabisha, unasema Mungu yupo, thibitisha Mungu yupo.

Nilikuomba uthibitishe Mungu yupo, ukaniambia nikujibu swali lako kwanza.

Nimekujibu swali lako.

Sasa ni zamu yako kuthibitisha Mungu yupo.
uwepo wetu sisi binadamu ni kielelezo tosha kuwa Mungu yupo,,, kwa sababu sisi hatujatokea tu from no where,,

na kuhusu kuwepo kwa vitu vibaya dunian akufanyi Mungu kutokuwepo kwa sababu hata hayo magonjwa masunami vyote kaviumba yeye..

kuhusu mfano wako wa baba mwenye watoto je anaweza kuwategeshea wanae visu mishale au mabomu jibu ni ndio inawezekana ni mara ngapi unasikia Baba kambaka mwanae au Baba kamchoma kisu mwanae kwa sababu furani,,

kwa hyo hoja ya kusema Mungu hayupo eti kwa sababu kuna vita na mabaya mengi dunian hyo hoja yako haina maana,,,

Mungu ndo kaumba mabaya na mazuri pia so ni jukumu lako kuchagua

Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
 
View attachment 1695994

Mnaounga mkono huyo askofu kwanini mnamwabudu huyo mungu?

Mungu wangu mimi ni tofauti na huyo, Mungu wangu ni mwingi wa upendo, Rehema na asie na hasira mdio maana hahusiki na vifo
Iko hivi bloo angu "uamini au usiamini uwepo wa Mungu kifo kiko pale pale" haya leta stori za vipipi mahaba labda akili yako hilo ndilo inaliweza
 
sidhani kitu na ndio maana nategemea kupata majibu kutoka kwako wewe uliyeanza kutaja hilo neno

inamaana ulikua unaandika maneno usiyoyajua maana yake?
Hudhani tena!!
Kama ulikuwa hujui maana ya imani, mbona mwanzo kabisa ulinijibu ??
 
imani ni kitendo cha kutumainia kitu furani ambacho ukioni kama ww hapo si unaamini kuna hewa ya oxygen tunaitumia sisi binadamu lakini ujawahi kuiona hyo hewa hyo ndo iman sasa,,.

Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
oxygen inathibitishika au haithibitishiki kama ipo?
 
Hudhani tena!!
Kama ulikuwa hujui maana ya imani, mbona mwanzo kabisa ulinijibu ??
nilikujibuje?

mbona huko mwanzoni ulikua unasisitiza kua nikujibu swali lako kwanza? ulikua una maana gani kuniambia nikujibu swali lako kwanza kama kweli nilikua nimesha kupatia jibu la swali lako?
 
Zama za kuamini amini hovyo zishapita yaani tuko 2021 umekosa fact kabisa bado unataka kumshawishi mtu kwa kuamini?

Mungu angekuwepo 100% for sure kwanza kusingekua na imani ya uwepo wake

mdau mmoja hapo juu ameelezea maana ya imani na nimemuelewa kwa msimamo wake kwamba mambo ya imani hayahitaji critical thinking ni kutokana yamekosa nguzo muhimu UTHIBITISHO

Sasa jambo ambalo halina uthibitisho unaanzaje kuona ajabu mtu kutokubaliana nalo?

Au wewe una uthibitisho wa kuonesha Mungu yupo?

I bet hauna uthibitisho na ndio maana swali lako ulikua unaniuliza kwa misingi ya kiimani kwanini siamini Mungu yupo
nilikujibuje?

mbona huko mwanzoni ulikua unasisitiza kua nikujibu swali lako kwanza? ulikua una maana gani kuniambia nikujibu swali lako kwanza kama kweli nilikua nimesha kupatia jibu la swali lako?
Ulinijibu hapo
 
Back
Top Bottom