Kama Kifo ni mpango wa Mungu basi Mungu wenu atakuwa katili sana, mnawezaje kuwa nae?

Mungu hajawah kuleta kifo wala kupanga watu wafe, hlo ni janga tuliloleta wenyewe na still anafight tuepukane nalo ..... Labda Kwa vile tumeahidiwa atarud tena ngoja tusubiri
Kinachokua lzm kizeeke na kife we unataka usife hadi lini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…