Kama kijana nifanye vipi sasa kabla muda haujanitupa mkono?

Kama kijana nifanye vipi sasa kabla muda haujanitupa mkono?

Skills umesahau. Unalipwa kwa value ya unayozalisha,na sio muda wako,Mana hata mbuzi anao muda wake pia.
Pia mbona umependelea mno ambao Ni intellectual so ambao sio intellectual hatuna uwezo wa kuongea dogo ama kwenu wote ambaye hajasoma kaishia bachelor.
Lower down your ego ,weka elimu pembeni usiitangulize kila mahala. Kumbuka mwana fa Ni waziri Ila Kuna maprofesa na PhD holders wako pembeni.

Hivi Prof Muhongo ama mataragio wa tpdc Ni wakuwekwa pembeni.


Yaani ujanja Janja kujipendekeza ,kuwa chawa mno,kusifia hata penye ujinga 2025 upo bungeni
Mkuu iyo lawama hapo ya upendeleo ni kwangu au ume quote vibaya Mkuu?
 
Back
Top Bottom