Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Sasa kumekuwa na wimbi la vijana wajinga na wapumbavu wengi sana.
Wanatafuta pesa kwa bidii halafu wakizipata tu huziona ndogo kisha huamua kuzipeleka bar au lodge.
Unapata laki tatu unasema hii haitoshi kujengea nyumba, haitoshi kununulia kiwanja, haitoshi kufungulia biashara ya tigopesa au mpesa.
Kama ingekuwa haitoshi basi isingetosha kumuhonga demu uliyembatiza jina na kumwita pisi kali.p
Tabia za uesharati na ulevi hufanya vijana wengi wafe mapema. Tabia hizi humpelekea kijana kudharaulika katika jamii, tabia hizi hupelekea vijana wengi kuwa na uzee mgumu