Cos101
JF-Expert Member
- Sep 16, 2020
- 446
- 1,021
Mimi bado kijana mkuu, ndo kwanza nimegonga 30 mwaka huu.Nakubaliana na wewe. Ila ukiwa kijana kuna vitu unafanya.
Wewe ulipokuwa kijana ulikuwa na akili hizi.
Tunatoufuti kuwa mature, to becone A Man.
Nimekaa na washkaji wanywaji, watoto wa kike sana lakini sija adapt hizo tabia. Sio kweli kwamba ukiwa kijana lazima unywe pombe ama kutembea na kila mwanamke. Ni kamkumbo fulani tu kanakowabeba watu wengi.
Tusaidiane tu kama vijana, kuna baadhi ya vitu tuko huru kuvifanya ila tujue kuwa matokeo yake sio mazuri