Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
U cant know the power of liquor until you try it!...Sasa kumekuwa na wimbi la vijana wajinga na wapumbavu wengi sana.
Wanatafuta pesa kwa bidii halafu wakizipata tu huziona ndogo kisha huamua kuzipeleka bar au lodge.
Unapata laki tatu unasema hii haitoshi kujengea nyumba, haitoshi kununulia kiwanja, haitoshi kufungulia biashara ya tigopesa au mpesa.
Kama ingekuwa haitoshi basi isingetosha kumuhonga demu uliyembatiza jina na kumwita pisi kali.p
Tabia za uesharati na ulevi hufanya vijana wengi wafe mapema. Tabia hizi humpelekea kijana kudharaulika katika jamii, tabia hizi hupelekea vijana wengi kuwa na uzee mgumu
Sio ujana, ni upumbavu tu. Hata sisi ni vijana ila hatufanyi hizo mamboNi ujana.
Message MuhmSasa kumekuwa na wimbi la vijana wajinga na wapumbavu wengi sana.
Wanatafuta pesa kwa bidii halafu wakizipata tu huziona ndogo kisha huamua kuzipeleka bar au lodge.
Unapata laki tatu unasema hii haitoshi kujengea nyumba, haitoshi kununulia kiwanja, haitoshi kufungulia biashara ya tigopesa au mpesa.
Kama ingekuwa haitoshi basi isingetosha kumuhonga demu uliyembatiza jina na kumwita pisi kali.p
Tabia za uesharati na ulevi hufanya vijana wengi wafe mapema. Tabia hizi humpelekea kijana kudharaulika katika jamii, tabia hizi hupelekea vijana wengi kuwa na uzee mgumu
Unaotusema Tupo umu umu
Labda una akili kuliko vijana wengi. Unajua ni rahisi sana kutukana.Sio ujana, ni upumbavu tu. Hata sisi ni vijana ila hatufanyi hizo mambo
Nishaanza kupigwa makombora na chapombeziAngalizo zuri,ila jiandae kwa mashambulizi ya halaiki.
Issue sio akili bro. Tumepewa uhuru wa kuchagua namna ya kuishi. Chagua vizuri, tumia akili na kumtegemea Mungu vinginevyo matokeo ya kuchagua lifestyle mbaya zitatutesa sana.Labda una akili kuliko vijana wengi. Unajua ni rahisi sana kutukana.