Mimi bado kijana mkuu, ndo kwanza nimegonga 30 mwaka huu.Nakubaliana na wewe. Ila ukiwa kijana kuna vitu unafanya.
Wewe ulipokuwa kijana ulikuwa na akili hizi.
Tunatoufuti kuwa mature, to becone A Man.
Wewe una akili sana kwa matusi haya.Acha ujinga , jitahidu kuwa na akilli.
Huyu muhenga aliyesema haya bika shaka alikuwa mzee mwenye mali nyingi ila mpumbavu au alikuwa maskini wa viwango vilivyokisili na simlaumu!Pondamali kufa kwaja.
Muruke yule mnokoo!Wana wanywe bia, acha wana wanywe bia... ni mwendo wa mupe mupe muruke!
PICHA yako tu inasadifu roho yako ni mbayaUsifuatilia ya watu
Usisaidie watu
Ukifuatilia ya watu
Saidia watu
Mimi sisaidiagi masikini na wala sina muda nao, maana masikini wakipata hatawaki uwaingilie, ila wakikwama wanakuja na machozi.
Hapa kwangu nimeshatimua wapuuzi wawili waliokujaga kunililia shida zao za hovyo,
Kama kila mtu afatjlie maisha yake basi na misaada kila mtu ajisaidie mwenyewe!!Usiwapangie watu maisha, fedha wanatafuta wao, kiu yao, wewe kinachokuuma ni nini? Dili na maisha yako tu, usijihusishe na visivyokuhusu!
PICHA yako tu inasadifu roho yako ni mbaya