Kama kila ukipata pesa unashikwa na kiu ya pombe au kufanya ngono, kijana safari yako ya maisha itakuwa fupi na yenye misukosuko

Ujumbe mzuri.

Ila kila kitu kinatakiwa kufanywa kwa wastani.

Maisha yenyewe ndio haya haya, hujui umepangiwa miaka mingap.

Unaweza kwepa hayo unayosema na ukapata ajali na ukafa.

Unaweza kwepa umalaya na mwanamke/mwanaume huyo mmoja unaemuamin akakuletea gonjwa ndani.

Kila kitu tufanye kwa wastani na kwa kuchukua tahadhali kwa ajili ya afya zetu.

Kunywa Bia na kuchakata bado nitaendelea na maendeleo ninafanya.
 
Dhambi yeyote katika maisha inaleta misuko sumo mkuu,sio lazima iwe ngono na pombe.Kwa hiyo kila dhambi lazima ikimbiwe.
 
Ukweli kwa 100%
 
Hahaha hiyo safari ya maisha huwa inaanzia wapi na kuishia wapi?!

Au maisha ni nini na yako wapi huko mnakosafiri kwenda?!

Safari ya Maisha ni toka pale unazaliwa ndio uliianza unayoishi kila siku ndio safari hiyo kama kuna mtu anasubiri siku aanze maisha maybe pale atapofanikiwa ndio anadhani maisha yataanza atasubiri sana.

Maana hata ukifanikiwa unabaki kuwa yuleyule kasoro tu with sucess kwahyo turidhike na ss wenyewe tujipende whatever tulivyo kama we are drunk au hoes tuwe as good as we can maana mwisho wote tutarud kwa Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…