Kama Kompany ameweza kuwa kocha wa Bayern basi tambua hata wewe una nafasi ya kufikia malengo yako tu kwa viwango usivyotarajia

Kama Kompany ameweza kuwa kocha wa Bayern basi tambua hata wewe una nafasi ya kufikia malengo yako tu kwa viwango usivyotarajia

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
We pambana pambana tu, mishe huzaa mishe nyingine kukuletea mishe nyigine kutoka katika mishe nyingine.

20240529_230408.jpg
 
Yani Bayaan klabu ya kiume mjerumani kamchukua kompany? Asee nimeshangaa sana! 2030 twende na Irene Uwoya.
acheni utani, irene uwoya kuwa prezdaa 2030 huko ni kunuwia makuu. Yeye akomae na huduma yake aliyoianzisha awe mkubwa ndio afikiriwe kuwa prezdaa, mishe imletee mishe kama mleta hoja anavyotanabaisha
 
We pambana pambana tu, mishe huzaa mishe nyingine kukuletea mishe nyigine kutoka katika mishe nyingine.

View attachment 3003229
Mkuu,kwa Vincent sidhani kama hao jamaa wamekurupuka. Lazima wamejiridhisha vya kutosha ya kuwa huyu jamaa akipewa nyenzo na zana zote za kivita yuko vizuri na anaweza kuwapeleka wanakokutaka.

Vipi Simba SC akikabidhiwa Pep na kwa mwendo wao wa 10% kwamba utaiona Simba ikifanya vizuri?
 
Back
Top Bottom