Kama Kompany ameweza kuwa kocha wa Bayern basi tambua hata wewe una nafasi ya kufikia malengo yako tu kwa viwango usivyotarajia

Bayern's wamepotea wasahau UEFA champions league kuchukua wataisikia bombani na duniani pia kuna uhaba wa makocha walimvizia alonso ila wamekwama.
 
Sio kwa Vicent boss, kwani alikuwa timu gani na hiyo timu iko ligi gani?
Vicent alikua na Burnley ikiwa championship akaipandisha premier league, kisha akaishusha.
Sisi tunaangalia timu kushuka daraja lakini kuna vitu hatuviangalii kama vile
1. Aina ya timu, ile Burnley mpe kocha yoyote unayemuamini kisha umdai matokeo uone kama utayapata.
2. Uchezaji, ukiangalia Burnley walikua wanacheza mpira mzuri tu shida ikawa umaliziaji. Maana yake hawakua na wafungaji wazuri.
3. Aina ya kocha, mara nyingi huwa tunasema flani ni kocha mkubwa. Lakini hakuna kocha mkubwa ambaye hasajili wachezaji wazuri. Hivyo inawezekana pale Bayern jamaa akafanya makubwa sababu wachezaji wazuri wapo.
Mwisho tuupe muda nafasi, kila kitu kitakua wazi. Anaweza akapandia pale pale akawa kocha mkubwa ambaye atatamaniwa na vilabu vingine vikubwa au anaweza akashindwa hivyo akafukuzwa.
 
Katika hayo makubwa isiwe kuchukua bundes
 
Kwakweli 'nasingi iz imposibo anda ze sani' Mirako hapensi evri dei :ALERTA: huwezi kunielewa kama huna D 2
 
Sio kwa Vicent boss, kwani alikuwa timu gani na hiyo timu iko ligi gani?
Guardiola alikuwa Barcelona B inayoshiriki Segunda Division yaani ligi daraja la Pili, na alikuwa ana miaka miwili tu toka emetoka chuoni kujifunza ukocha, alivyopewa Barcelona ya wakubwa watu wengi walimbeza na kusema kwamba anaenda kuishusha daraja.... ila kilichofuatia kila mtu anakijua.

Sasa hivyo hivyo naona ndivyo inavyoenda kutokea kwa Vinny Kompany, watu wanambeza sana sasa hivi atakuja kuwashangaza wengi tuko hapa
 
Agent wa Mane na Mane walisema kabisa jinsi ubaguzi ulivyo Bayaan. Walikasirika inawezekanaje mane mtu mweusi uongozi kulipwa mshahara mkubwa Bayaan? Pia Naby Keita huko Bayer Leverkusen analalamika kubaguliwa.
Naby keitta hajawahi chezea bayer leverkusen
 
Back
Top Bottom