Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Hazijajitahidi Kama Bayer 04Kwahiyo timu zilikuwa mbili tu? Hizo nyingine mbona hazijatumia ubovu wa bayern?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hazijajitahidi Kama Bayer 04Kwahiyo timu zilikuwa mbili tu? Hizo nyingine mbona hazijatumia ubovu wa bayern?
Na kufika fainali ya europa walitumia ubovu wa nani?
Kaangalie matokeo yao kuanzia mwanzo wa mashindanoNa kufika fainali ya europa walitumia ubovu wa nani?
Agent wa Mane na Mane walisema kabisa jinsi ubaguzi ulivyo Bayaan. Walikasirika inawezekanaje mane mtu mweusi uongozi kulipwa mshahara mkubwa Bayaan? Pia Naby Keita huko Bayer Leverkusen analalamika kubaguliwa.
Nakumbuka Liverpool walivyomsajili Allison technical aspect watu wanaangalia tofauti sana na layman inapokuja suala la mpira naamini mwakani Bayern anachukua bundesliga na dfb pokal ila UEFA sidhani
Gurdiola yupo hivi kama tunavyomuona lakini alipewa Barcelona akitokea barcelona B. Ungeweza kuamini kocha kutoka timu B ataipaisha senior team kwa kiwango kile?