Kama Kompany ameweza kuwa kocha wa Bayern basi tambua hata wewe una nafasi ya kufikia malengo yako tu kwa viwango usivyotarajia

Kama Kompany ameweza kuwa kocha wa Bayern basi tambua hata wewe una nafasi ya kufikia malengo yako tu kwa viwango usivyotarajia

Agent wa Mane na Mane walisema kabisa jinsi ubaguzi ulivyo Bayaan. Walikasirika inawezekanaje mane mtu mweusi uongozi kulipwa mshahara mkubwa Bayaan? Pia Naby Keita huko Bayer Leverkusen analalamika kubaguliwa.

watu weusi ni drama queens
 
Nakumbuka Liverpool walivyomsajili Allison technical aspect watu wanaangalia tofauti sana na layman inapokuja suala la mpira naamini mwakani Bayern anachukua bundesliga na dfb pokal ila UEFA sidhani

Mkuu upo serious kweli? Allison alisajiliwa Liverpool kwa rekodi ya Dunia kwa makipa huku akiwa Kipa Bora Serie A na Brazilian No 1, halafu bado wewe ulikuwa na shaka ya ule usajili?
 
Gurdiola yupo hivi kama tunavyomuona lakini alipewa Barcelona akitokea barcelona B. Ungeweza kuamini kocha kutoka timu B ataipaisha senior team kwa kiwango kile?

Mkuu Pep alishaonesha uwezo wake akiwa na hiyo Barca B, Huyu ameshusha timu Daraja
 
Kwa kweli nashindwa kupata la kusema, kwa kweli Dunia ina Maajabu ya kila aina
 
Back
Top Bottom