Kama Kompany ameweza kuwa kocha wa Bayern basi tambua hata wewe una nafasi ya kufikia malengo yako tu kwa viwango usivyotarajia

Agent wa Mane na Mane walisema kabisa jinsi ubaguzi ulivyo Bayaan. Walikasirika inawezekanaje mane mtu mweusi uongozi kulipwa mshahara mkubwa Bayaan? Pia Naby Keita huko Bayer Leverkusen analalamika kubaguliwa.
Hao wachezaji uliowataja hapo ni ndugu ktk Imani wanajulikana vizur akili zao, hapo Liverkusen Kuna Victor Boniface,Frimpong, Kossounou, Tella na Tapsoba mbona wanacheza vizur tu.
 
Inawezekana Bayern kuna kitu wameona kwa Kompany, japokuwa hilo pia sina uhakika nalo kwasababu makocha wote wakubwa walio-watafuta kuwapa kazi walikataa, ikafika mahali wakamrudia tena Tuchel aendelee kuifundisha team, na yeye akakataa.
Inawezekana jamaa wanataka kuanza upya ili kuwavutia tena makocha wakubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…