Hahaha, sasa hayo mashairi hayakuti ya Paw! Unajua Paw ana undugu na mrisho mpoto¿
hapa nimeshaanza kufunga na kuomba kwa ajili yake. Kuna roho la ukimwi linamsakama. Hajaleta zaka tu.
mmh mbona unanitishia hivo,wala hata siogopikijana sumu haijaribiwa kwa kulambwa....
Na nikiwa msemaji wa kamati ya mahusiano jf, kamati imeona una hatia ya kutaka kuingilia penzi la Paw na King'asti,
kamati pia imekukuta na hatia ya uchochezi, unamchochea Paw atumie mamlaka yake alopewa na jamhuri ya jf vibaya....
Kutokana na sababu hiyo umehukumiwa kutumia jukwaa la siasa mpaka utakapokufa kwa stress
Hahahaha naona unavijaribu vishawishi....... Paw kama kweli unampenda king'asti naomba upoteze jina la Excy humu JF...usipofanya hivo huna upendo wa kweli kwa King'asti.
Hahahaha naona unavijaribu vishawishi...
Wewe najua nikikupiga ban ya kutokuja kwangu mwaka mzima lazima utalala viambazani...
mmh mbona unanitishia hivo,wala hata siogopi
Mi nakuangalia tu hapa
kijana sumu haijaribiwa kwa kulambwa....
Na nikiwa msemaji wa kamati ya mahusiano jf, kamati imeona una hatia ya kutaka kuingilia penzi la Paw na King'asti,
kamati pia imekukuta na hatia ya uchochezi, unamchochea Paw atumie mamlaka yake alopewa na jamhuri ya jf vibaya....
Kutokana na sababu hiyo umehukumiwa kutumia jukwaa la siasa mpaka utakapokufa kwa stress
Kwani na yeye anakupenda???? angalia isije ikawa limbwata.
afu kingasti ni mganda????
Ok. Yupo free Uganda Media eeeh.............................!!:A S-alert1:
yule kafa kizembe,mi nafanya timing kwa mda mwafaka
Hahahaha naona unavijaribu vishawishi...
Wewe najua nikikupiga ban ya kutokuja kwangu mwaka mzima lazima utalala viambazani...
Mmmh majunguKama ulivyokuwaga unalala wewe kipindi unamsarandia King'asti....heheheh!
Weweeee, unataka kunichonganisha na Roulette eeh.
Mbona unalikwepa swali, embu mjibu Excy kwanza. lol
Eti mpaka amalize kung'ata kucha kwanza! Lol
Mbona nimeshamsemelezea! PAW anajiamini, ndo wala hahitaji kujibizana wala kupiga ban. Atapambana na wangapi? AshaDii, njoo unitetee wifi yangu, mke mwenza anaharibu hapa.