Kama kuna hujuma zilifanyika kuondoa tambi za Santa Lucia, wametukosea sana

Maleven

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2019
Posts
689
Reaction score
3,373
Haya matambi yalioko mtaani sijui wanatengenzea kina nani, hayaelewiki hayapikiki.

Soko huru liheshimiwe, watu washindane kwa ubora na si ukora.

Halafu wafanya biashara kama wamekaririshwa, utasikia " Baada ya zile ndo wametoa hizi", Hizi mbona si kama zile sasa?
 
Baada ya zile ndo wametoka hizii

Wale Santa Lucia ndo Hawa Hawa sema wamemumizia kiwanda huyu

Ni jina tu limebadilika ..
Ndo maneno yako 😂

Mimi nimeacha kula tambi
 
Back
Top Bottom