Shing Yui
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 15,168
- 38,049
Jifunze kuelewa mada kwanzaUnauliza swali au unatuelezea mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jifunze kuelewa mada kwanzaUnauliza swali au unatuelezea mkuu?
Sawa bwana mkubwaJifunze kuelewa mada kwanza
kabla hajaanza kuzalisha tambi za st lucia murzah walikuwa ni sole agent kwa tanzania, baadaye ndiyo wakaanza kuzalisha hapa hapa kuanzia 2018.Tambi za santa lucia zilizokuwa zinatoka hazipo kwa sasa. Unazozikuta sokoni zinatengezwa na kampuni ya Murzah naona aliomba kibali cha kutengeza kwa kutumia jina Santalucia
Mimi ndo sizikubali kabisa, chakula changu pendwa ni Ugali na Wali basiMimi huwa sizipendi kabisa!!!! Afadhali macaroni naweza kula mara moja moja. Tambi huwa nazifananisha na minyoo!!!!
Honeraaa rajiriiiBado zipo nyumbani hapa , nilikua nimenunua kibox chote ! Huwa vyakula nanunua jumla vya muda mrefu !! 😅😅 Dukani hamna kabisa
Mission Accomplished. Ilikuwa kupunguza kasi ya vijana kuwapa mimba hovyo wasichana, hapo ndipo Lucia mtakatifu akapewa jukumu, asifiwe.Haya matambi yalioko mtaani sijui wanatengenzea kina nani, hayaelewiki hayapikiki.
Soko huru liheshimiwe, watu washindane kwa ubora na si ukora.
Halafu wafanya biashara kama wamekaririshwa, utasikia " Baada ya zile ndo wametoa hizi", Hizi mbona si kama zile sasa?
hizi porojoMission Accomplished. Ilikuwa kupunguza kasi ya vijana kuwapa mimba hovyo wasichana, hapo ndipo Lucia mtakatifu akapewa jukumu, asifiwe.
Sifaham ila product zake ni za kawaida sana.Hivi ni bidhaa gani ya chakula kutoka kwa Mo ambayo ni nzuri.
Are you serious?Mission Accomplished. Ilikuwa kupunguza kasi ya vijana kuwapa mimba hovyo wasichana, hapo ndipo Lucia mtakatifu akapewa jukumu, asifiwe.
Mwenyewe siijui bidhaa yake ya chakula yenye high quality. Hata bidhaa zake nyinginezo sijaona yenye ubora zaidi.Sifaham ila product zake ni za kawaida sana.
Soko kashaliteka kwahiyo hata azalishe bidhaa chini ya kiwango cha ubora ana uhakika wa kuuza.Mwenyewe siijui bidhaa yake ya chakula yenye high quality. Hata bidhaa zake nyinginezo sijaona yenye ubora zaidi.
Tukipiga bwewe mnasema [emoji3][emoji3][emoji3]Mshashiba ftari tena hapo, lawama zinaanza.
hahaa😂😂😂Umeusemea moyo wangu mkuu 😂