Kama kuna hujuma zilifanyika kuondoa tambi za Santa Lucia, wametukosea sana

Kama kuna hujuma zilifanyika kuondoa tambi za Santa Lucia, wametukosea sana

mbona ilisemwa tambi sio nzuri kiafya wajameni? bado mnazila? mm nilikuwa mpenzi sana nimeacha kula kitambo tu.
 
Tambi za santa lucia zilizokuwa zinatoka hazipo kwa sasa. Unazozikuta sokoni zinatengezwa na kampuni ya Murzah naona aliomba kibali cha kutengeza kwa kutumia jina Santalucia
kabla hajaanza kuzalisha tambi za st lucia murzah walikuwa ni sole agent kwa tanzania, baadaye ndiyo wakaanza kuzalisha hapa hapa kuanzia 2018.
 
Haya matambi yalioko mtaani sijui wanatengenzea kina nani, hayaelewiki hayapikiki.

Soko huru liheshimiwe, watu washindane kwa ubora na si ukora.

Halafu wafanya biashara kama wamekaririshwa, utasikia " Baada ya zile ndo wametoa hizi", Hizi mbona si kama zile sasa?
Mission Accomplished. Ilikuwa kupunguza kasi ya vijana kuwapa mimba hovyo wasichana, hapo ndipo Lucia mtakatifu akapewa jukumu, asifiwe.
 
Mission Accomplished. Ilikuwa kupunguza kasi ya vijana kuwapa mimba hovyo wasichana, hapo ndipo Lucia mtakatifu akapewa jukumu, asifiwe.
hizi porojo
maana vijana wala tambi si sana
wa uswahilini ndio kabisa wanakula hadi ukifika mfungo kama hivi
 
Mwenyewe siijui bidhaa yake ya chakula yenye high quality. Hata bidhaa zake nyinginezo sijaona yenye ubora zaidi.
Soko kashaliteka kwahiyo hata azalishe bidhaa chini ya kiwango cha ubora ana uhakika wa kuuza.
 
Hiyo Mpya mwanzo ilikuwa nzuri ila Kwa Sasa wamevulunda sijazielewa
 
Back
Top Bottom