Kama kuna hujuma zilifanyika kuondoa tambi za Santa Lucia, wametukosea sana

Kama kuna hujuma zilifanyika kuondoa tambi za Santa Lucia, wametukosea sana

Zipo zimerudi kwa kasi leo tarehe 2-3-2025.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Asee huo uchafu mwingine si nunui, Bora hata zile za magunia za mwezi wa mfungo unajua Moja. Kwa kifupi nimekariri Santa Lucia.
 
Yani wametukosea wametukosea sanaaaaaa.Arusha,kilimanjaro hamna santa Lucia kabisa, huu ni ujinga
 
Halafu wafanya biashara kama wamekaririshwa, utasikia " Baada ya zile ndo wametoa hizi", Hizi mbona si kama zile sasa?
Halafu kweli hili ndilo jibu lao🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Haya matambi yalioko mtaani sijui wanatengenzea kina nani, hayaelewiki hayapikiki.

Soko huru liheshimiwe, watu washindane kwa ubora na si ukora.

Halafu wafanya biashara kama wamekaririshwa, utasikia " Baada ya zile ndo wametoa hizi", Hizi mbona si kama zile sasa?
santa lucia ni tambi za wataliano, kama kuna kiwanda kingine kinatengenezea hapa bongo kama hicho cha moo, lazima tambi zake atauza kwa bei rahisi sana, ziel za wataliano ni garama kwa sababu ya usafiri. hivyo lazima zipotee automatically. jua moo na wachina wameleta tambi zao kibao.
 
Back
Top Bottom