Ndani ya jiji mbona zipoWapi huko?
Tambi za santa lucia zilizokuwa zinatoka hazipo kwa sasa. Unazozikuta sokoni zinatengezwa na kampuni ya Murzah naona aliomba kibali cha kutengeza kwa kutumia jina SantaluciaMbona tambi za santa lucia zipo
Baada ya zile ndo wametoka hiziiHaya matambi yalioko mtaani sijui wanatengenzea kina nani, hayaelewiki hayapikiki.
Soko huru liheshimiwe, watu washindane kwa ubora na si ukora.
Halafu wafanya biashara kama wamekaririshwa, utasikia " Baada ya zile ndo wametoa hizi", Hizi mbona si kama zile sasa?
Hapa nakubaliana nawewe maana zipo, ila zile za mwanzo ni nzuri sana.Tambi za santa lucia zilizokuwa zinatoka hazipo kwa sasa. Unazozikuta sokoni zinatengezwa na kampuni ya Murzah naona aliomba kibali cha kutengeza kwa kutumia jina Santalucia
kwa mazingira yetu hakuna tambi nzuri kuizidi santa lucia.Nipo mjini na sinazipata, ni jana tu nimeuziwa tambi () nikasmbiwa ndo mbadala wa Santa, ni mbovu sana.
Hamna tambi hapouki kuta tambi ya mo bora uipike mala moja yote ukipika kidogo ushibi 😅😅