Urusi wanazungumzia S500..................
bongo ili ni Dampo wala sio nchi.mchina ndo jalala lake la kutupa uchafu kwa iyo sio kila kitu kizuri kipo bongohapa bongo TZ taja vitu vya mrusi dukani
wewe ndiye, hujui kitu kuhusu strategy za kijeshi, unavosikia askari wa Tanzania wamekufa kongo unapata pocha gani?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]HAPO UNAKUTA YUKO HOI BIN TAABANI HATA PESA YA KULA HANA MFUKONI LAKINI ETI ANACHAMBUA MAMBO YA URUSI
Basi atajinyea ndani ya kaptura sababu US walimwambia asijikombe kwa Putin akabisha sasa anaona Russia wamemgeuzia kibao analia lia anataka US wamsaidie tena.France aliiuzia Argentina makombora ya Exocet ya kutungua meli. Argentina ilivoingia vita vya Falkland na Uingereza, France akazuia kutoa codes za makombora na hivo hayakutumika zaidi.
Iran kipindi cha Shah iliuziwa F-14 Tomcats, mapinduzi ya kiislamu yalivyotokea ikazuiliwa kupata supply na maintenance. Hata kwenye vita na Iraq ilishindwa kuzitumia ipasavyo.
Mfano S-400 inabidi uwe unanunua yale makombora yake kutoka Urusi sasa ukivurugana nao watakuuzia vipi. Na pia Turkey anajua kuwa NATO hawatompa air defence system hivyo hawezi kucompromise system za Russia, najua lazima kwenye mkataba wa kuuziana kuna makubaliano ya kuzuia system hiyo usikaguliwe na wengine.
Na ikumbukwe silaha zinazouzwa zinakuwa ni export version ya silaha inayotumika na nchi. Kwahiyo kuna tofauti kidogo kwenye mifumo.
Mwisho kabisa. Wakileta jeuri hizo batteries zitaharibiwa na jeshi la Urusi lenyewe, kinyago ukikichonga wewe hakikutishi.
HAPO UNAKUTA YUKO HOI BIN TAABANI HATA PESA YA KULA HANA MFUKONI LAKINI ETI ANACHAMBUA MAMBO YA URUSI
Urusi wana bidhaa nyingi sana Mkuu.Urusi ana karibu viwanda vyote alivyonavyo Mmarekani.
Hahahaha nimecheka Sana ...yaani ndugu yangu unadhani Russia hawakuliona Hilo ??? DahKitendo cha Urusi kumuuzia Uturuki silaha aina ya S400 kilikua ni kosa kubwa sana la kimkakati lililofanywa na Urusi.
Kosa hili litaigarimu na kuiumiza sana Urusi mda sio mrefu.
S400 isipotumika dhidi ya Urusi basi Uturuki atawaalika US na NATO kwenda kuichunguza na kujua namna ya kuipenya.
hili ni kosa kubwa la Urusi dhidi ya West.ni mafanikio makubwa kwa US.
AK47 za mrussi ziko Kariakoo Mkuu ?
Kabila gan wewe?karibu samaki samaki jioni acha kupanic na njaa zako,njoo mlimani city baadae utanikuta caunta acha maneno mengi,mstari mmoja unajibu na paragraph nzima?
HAPO UNAKUTA YUKO HOI BIN TAABANI HATA PESA YA KULA HANA MFUKONI LAKINI ETI ANACHAMBUA MAMBO YA URUSI
Erdogan na kiburi chake chote kwa sasa yupo viganjani mwa Putin.France aliiuzia Argentina makombora ya Exocet ya kutungua meli. Argentina ilivoingia vita vya Falkland na Uingereza, France akazuia kutoa codes za makombora na hivo hayakutumika zaidi.