Soma hapaHoja Nikwamba Mrussi Hana Kiwanda Cha Iphone Ila Anakiwanda Ama Viwanda Vya Cm
Sent using Jamii Forums mobile app
Maana ya neno (ana karibu) hiki si kiswahili sanifu hivyo siwezi kujua maana yake pengine uliza kivingine.Mkuu unajua maana ya neno ANA KARIBU?
Maana yake sio vyote.Lakini anavyo viwanda Kama vya Marekani.
Nadhani hiyo imekaa sawa.
Kwa maana hiyo unakubaliana na Mimi kuwa URUSI pia, ana viwanda ambavyo Marekani Hana?
Na unakubaliana na Mimi kua Marekani hununua bidhaa zilizotengenezwa na viwanda vya Urusi?
Uswahili wako pelekea mashia wenzio huko.Usijifanye unajua kumbe ubongo wako umejaa utoporo
Umeambiwa mm Shia? Ndo maana nilikwambia wewe huna akiliUswahili wako pelekea mashia wenzio huko.
Ndo useme ni wapi nilisema Russia hakipo?! Niliianza kwa kumQuote huyo hapa. Kwa hiyo hapo ndo umeelewa Russia hakuna mambo ya burudani!!Hoja haikua ubora wala uduni waviwanda husika hoja ilikua upatikanaji wakiwanda husika ndani yataifa husika ambalo lilikua RUSSIA
Sent using Jamii Forums mobile app
Why Aren't there any Russian Branded Mobiles In The MarketSoma hapa
Why aren't there any Russian branded mobiles in the market? - Quora
Kisha uniambie Yota smartphone iko wapi?
Kwani pamoja na hio teknolojia yake yazamani mbna bado anamuuzia hvyo anavyomuuzia ambavyo umevitajaMaana ya neno (ana karibu) hiki si kiswahili sanifu hivyo siwezi kujua maana yake pengine uliza kivingine.
Hakuna kiwanda ambacho Russia anacho Marekani hana nakataa prove me wrong buddy.
Marekani ananunua bidhaa moja tu iliyotengenezwa na kiwanda cha urusi nayo ni rockets engines, kingine anachochukua russia ni petroleum products.
Atamuuzia nini kingine ikiwa technology ya russia bado ni ya kizamani?
Soma zaidi
What goods does the U.S. get from Russia? - Quora
Ila nikwamba US Anakiwanda Gani Ambacho RUSSIA Hakipatikani ?!Ndo useme ni wapi nilisema Russia hakipo?! Niliianza kwa kumQuote huyo hapa. Kwa hiyo hapo ndo umeelewa Russia hakuna mambo ya burudani!!View attachment 1375661
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafafanua vizuri Sana Bwana Utamu,naamini jamaa anakuelewa vizuri Sana,pengine anakwepesha hoja hiyo kwa sababu anazozijua yeye.Hoja haikua ubora wala uduni waviwanda husika hoja ilikua upatikanaji wakiwanda husika ndani yataifa husika ambalo lilikua RUSSIA
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo bwana, huna mitizamo kitu gani?unaweza kuta wewe ni General fulani wa JW unatuchora tu tunavyotoka nje ya msatari.Acha uchoyo wa Elimu kamanda.
Ndugu hoja ilikua Ni kuwa Russia Wana viwanda? Au hoja ilikua Wana soko la viwanda?Soma hapa
Why aren't there any Russian branded mobiles in the market? - Quora
Kisha uniambie Yota smartphone iko wapi?
Ungesoma vizuri kuanzia mwanzo nadhani ungeelewa vyema.Ndugu hoja ilikua Ni kuwa Russia Wana viwanda? Au hoja ilikua Wana soko la viwanda?
Kumbe Wana viwanda vya simu na simu inaitwa Yota! Basi Asante kwa kutusaidia kutufahamisha kuwa kumbe Wana viwanda vya simu Yota.kutokuapatikana sokoni hiyo tuwaachie wao.labda wanamuuziaga Kiduku.
Sijikanganyi Russia ana technology ya zamani sana kwenye mambo mengine despite Rockets engines.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani pamoja na hio teknolojia yake yazamani mbna bado anamuuzia hvyo anavyomuuzia ambavyo umevitaja
Ama hivyo anatengeneza kwa modern tech[emoji23][emoji23]
Unajua mnajikanyaga wenyewe hamueleweki kabisa yaani....
Sent using Jamii Forums mobile app
Nobody wanted you to translate it, ingia usome alafu ukutane na facts tupuWhy Aren't there any Russian Branded Mobiles In The Market
Nahisi Kwakizungu Changu Cha St Kayumba Nikwamba Kwanini Sokoni Hakuna Simu Ambazo Ni Brand Ya RUSSIA Ila Haijasema Kwa nini Russia Hawatengenezi Simu Ama Kwanini RUSSIA Hakuna Kiwanda Chakutengenezea Simu
Kwan Mada Ulianza Kuibishiaje MKUU Mbna Unajitoa Ufahamu[emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mm nimelihisi hilo maana nimekua wazi kilasehemu nawala sijaegemea popotepale sasa nashangaa jamaa cjui anakwamia wapiJ
Unafafanua vizuri Sana Bwana Utamu,naamini jamaa anakuelewa vizuri Sana,pengine anakwepesha hoja hiyo kwa sababu anazozijua yeye.
Kwahio jambo kama rocket awe nazo latest halaf hizo nyengine hana [emoji23][emoji23][emoji23]Sijikanganyi Russia ana technology ya zamani sana kwenye mambo mengine despite Rockets engines.
Ila sio kama baba ako mzazi!Umeambiwa mm Shia? Ndo maana nilikwambia wewe huna akili
Narudia tena ishu sio uold ama u new ishu nikwamba wanazo ama wanayo suala mengne wanayajua wenyewe nalamasoko kadhalika ila mhimu wanayoUngesoma vizuri kuanzia mwanzo nadhani ungeelewa vyema.
Hoja ilikuwa Russia wana viwanda ambavyo America vipo nikakataa kuna viwanda kibao vipo hapa tu Minneapolis Russia havipo.
Yota mzee ilikuwepo waaaaaaay back nimemuuliza utam iko wapi haikuwahi kusambazwa kwa sababu chipsets zao ni old sasa aseme ziko wapi sasa hivi
Mna anza kufeli sasa kutukanana huu sio uungwanaIla sio kama baba ako mzazi!