Kama kuna mtu anadhani hali ya hewa tunayoiona inaletwa na kukata misitu etc uzi huu umuamshe

Hivi ni vitu ambavyo vipo nyuma ya pazia mkuu,si rahisi kuvielewa.Unajua,tumelishwa pumba for too long,ndio maana inakuwa vigumu kuelewa.
Umekuwa ukipinga chanjo ya Corona na Sasa umegeukia tabia ya nchi huenda kesho ukaibukia kwingine, huenda hata wewe ni sehemu ya mradi wa kikundi fulani kupotosha watu kuhusu mambo muhimu kwa malengo fulani.
 
Umekuwa ukipinga chanjo ya Corona na Sasa umegeukia tabia ya nchi huenda kesho ukaibukia kwingine, huenda hata wewe ni sehemu ya mradi wa kikundi fulani kupotosha watu kuhusu mambo muhimu kwa malengo fulani.
Unajua brother, mtu mwenye akili hahisi tu jambo,anakuwa na sababu.Hebu tell me wewe unadhani kwa nini napinga narrative ya Covid disease na hii wanayoita Chanjo ya Covid kumbe ni Bioweapon.
 
Unajua brother, mtu kwenye akili hahisi tu jambo,anakuwa na sababu.Hebu tell me wewe unadhani kwa nini napinga narrative ya Covid disease na hii wanayoita Chanjo ya Covid kumbe ni Bioweapon.
Unaweza kuzitaja hizo chanjo za Covid-19 ambazo una uhakika ni bioweapon?

Unaweza kutuonyesha madhara zilizosababishwa na hizo chanjo za Covid-19 (bioweapon) kwa maeneo zilipotumika mpaka Sasa?

Tukirudi kwenye mada yako, tambua mabadiliko ya tabia ya nchi kwa sababu ya uharibifu wa mazingira ni jambo halisi mkuu na madhara yake yapo mengi mfano kuongezeka kwa kiwango cha joto duniani, maji ya bahari kuongezeka sababu ya kuyeyuka kwa barafu huko Antarctica, na mengine mengi tu.

Hayo ya kusema ni propaganda za NWO ni kukana kuwepo na mabadiliko ya tabia nchi na kufifisha juhudi za kutunza mazingira pia ni kupotosha kwa makusudi jambo hili pia tambua unapokana uwepo wa mabadiliko ya tabia nchi ni sawa na uhalifu tu dhidi ya binadamu wenzako.
 
Na wajuaji walivyo wengi humu!

Baadhi yao ni sehemu ya demonic agendas zinazoendelea duniani.

Wakipinga unajua wenyewe hawa wamekuja.
 
🤣🤣🤣🤣
Weka basi na nukta na mkato ili mleta mada akuelewe mko level moja....
 
Hana chochote anachokijua zaidi ya hiyo paper. Huyu ameamua kuwa kiazi, anakopi na kupesti tu conspiracies theories zilizozagaa mitandaoni. Juzi ni conspiracies za COVID, jana za Mazingira, kesho atakuja na za flat earthers.
 
Huu upupu wa illuminati na total control umesemwa karne na karne, ni akili kisoda tu ndizo zinaweza kuuamini na kuufanya msahafu.
 
Hakuna cha vitu vilivyo nyuma ya pazia wala kulishwa pumba wewe ndio unatapika upuuzi wa kila aina kujaza servers tu.
Hivi ni vitu ambavyo vipo nyuma ya pazia mkuu,si rahisi kuvielewa.Unajua,tumelishwa pumba for too long,ndio maana inakuwa vigumu kuelewa.
 
Ni suala la muda tu kabla hajaleta flat earth conspiracies.
Umekuwa ukipinga chanjo ya Corona na Sasa umegeukia tabia ya nchi huenda kesho ukaibukia kwingine, huenda hata wewe ni sehemu ya mradi wa kikundi fulani kupotosha watu kuhusu mambo muhimu kwa malengo fulani.
 
Hakuna cha vitu vilivyo nyuma ya pazia wala kulishwa pumba wewe ndio unatapika upuuzi wa kila aina kujaza servers tu.
Yoda let me tell you this, watu watakapo zinduka na kujua what you have been doing all along patachimbika, jiandae for the worst. Usidhani Watanzania na Wanadamu watabaki kuwa wajinga siku zote.
 
Na wajuaji walivyo wengi humu!

Baadhi yao ni sehemu ya demonic agendas zinazoendelea duniani.

Wakipinga unajua wenyewe hawa wamekuja.
Uko sahihi kabisa mkuu, ukiona mtu anapinga sana taarifa hizi ujue ni sehemu ya demonic forces. Agents hawa wamemwagwa sana na CIA humu JF, kwenye vyama vya siasa, NGOs, Universities, makampuni binafsi ya biashara, vyombo vya habari, madhehebu nk. Wapo watu kama akina Yoda nk. sijui yeye kachomekwa wapi na CIA.
 
Hana chochote anachokijua zaidi ya hiyo paper. Huyu ameamua kuwa kiazi, anakopi na kupesti tu conspiracies theories zilizozagaa mitandaoni. Juzi ni conspiracies za COVID, jana za Mazingira, kesho atakuja na za flat earthers.
Conspiracy theory maana yake nini? Acha kukariri wewe kisoda!

Anything which reveals hidden demonic agendas you call it conspiracy theory. Hahahaaaa...

Wacha uhuni uibuliwe wachache wataokolewa.

By the way ule utapeli wenu wa COVID umeishia wapi? nasikia watu wanapukutika na kufa kwa mafungu mafungu... hahahahaaaa

Wewe endelea kula magimbi hapo uvimbiane makalio ufe uzikwe. Shut up and let the people be awakened because they deserve it.
 
Wow,I love this.Let's join hands in awakening people,watu wamedanganywa for far too long.
 
The very nice classical piece that alerts LDCs.
DR Congo wao wamekataa katakata kwenye COP26 kwamba hawataacha kuvuna mazao ya msitu wa Congo (The Lungs of Africa) kinyume na ushauri wa COP26 wa kutovuna msitu huo; hadi pale dunia itakapo tenga fungu la kudumu la kuuendeleza msitu huo pamoja na kuwapa DRC nishati mbadala. Msimamo wao ni kuwa msitu huo ni urithi wao kwanza kabla ya kuwa urithi wa Afrika na dunia (msimamo kama uleule wa Magufuli kwenye hifadhi ya Selous wakati wa kutaka kujenga JNHEP) hivyo hawawezi kuingia gharama kubwa ya kununua teknolojia ya kutumia kama mbadala wa mazao ya msitu huo. DRC ilisisitiza kwamba haitakubali dunia ifaidike na msitu wao kwa mazao yake na hewa wakati wao DRC wazuiliwe. The woman Minister who represented DRC in that meet was aggressive enough to dare the COP26. Ila mimi nilimuelewa kwasababu mojawapo ya wanaonufaika na mazao ya msitu huo ni mataifa ya Magharibi na China ambayo ndiyo yameanzisha masoko makubwa ya kununua mazao ya misitu duniani, hivyo bora wangeanza wao kwanza kufunga masoko hayo huko kwao huenda DRC ingekosa pa kuuza mazao hayo na msitu ungesalimika.



Congo Equatorial Forest (The Lungs of Africa). Taswira kwa hisani ya google.
 
The Woman Minister was damn right,hasa kwa vile the "actual" polluters are not charcoal makers;African,Asian,Native Australian,US or Brazillian firewood users;rice famers or cattle users or loggers,but rather those who are patenting technologies for warfare against innocent and the unsuspecting World citizenry.We need to realize that America a.k.NWO is currently carrying out an extermination event against humanity,and the sooner we realize that the better.

Notice this⏬,this is deliberate destruction of the weather and ecosystem!



These sprays have been proved to affect weather patterns,affect health and make the soil infertíle because they contain Aluminium,Mercury,Barium etc.Respiratory illnesses na Allergies tunazoshuhudia many of them are caused by these sprays.

Finally tusisahau kwamba the same psychopaths wana own a highly dangerous facility at Gakona,Alaska.The facility owned by The American Air force and the University of Alaska, literally manipulates the atmosphere to near space 50-400 miles up to deliberately manipulate the weather.To me therefore it would be stupid to give any concessions to such people knowing very well that they are ones responsible for destroying the weather.

How HAARP manipulates the weather explained⏬

 
Samahani mkuu,
Sheria za uumbaji ni zipi?

Ulizipata wap?

Unaweza kuziainisha?
 
and who are the demons? kwamba wewe unayemuita mwenzako kisoda na wewe ni malaika sio?

Sema shida ya wabongo wengi ni kujifanya wanazuoni sana.Kwamba mtu anakwambia ana access ya classified information za jeshi la Marekani.Hivi jeshi la Marekani mumelichukulia poa kiasi hicho kwamba wanaweza kuparade information zao kizembe hivyo sio?

Kingine, kwani wewe ukijua kwamba wamarekani wanaenda kuingamiza dunia leo hii(which isn't possible) we utafanya nini?unaweza kuwazuia wewe? ni kipi unacho ambacho kinaweza kuzuia hilo lengo lao lisitimie?
 
Jaribu kutumia akili ya kawaida tu Penye miti mingi panafanana na kusipo na miti....



Ngorongoro panafanana na Dodoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…