Kama kuna mtu anadhani hali ya hewa tunayoiona inaletwa na kukata misitu etc uzi huu umuamshe

Kama kuna mtu anadhani hali ya hewa tunayoiona inaletwa na kukata misitu etc uzi huu umuamshe

Hivi ni vitu ambavyo vipo nyuma ya pazia mkuu,si rahisi kuvielewa.Unajua,tumelishwa pumba for too long,ndio maana inakuwa vigumu kuelewa.
Umekuwa ukipinga chanjo ya Corona na Sasa umegeukia tabia ya nchi huenda kesho ukaibukia kwingine, huenda hata wewe ni sehemu ya mradi wa kikundi fulani kupotosha watu kuhusu mambo muhimu kwa malengo fulani.
 
Umekuwa ukipinga chanjo ya Corona na Sasa umegeukia tabia ya nchi huenda kesho ukaibukia kwingine, huenda hata wewe ni sehemu ya mradi wa kikundi fulani kupotosha watu kuhusu mambo muhimu kwa malengo fulani.
Unajua brother, mtu mwenye akili hahisi tu jambo,anakuwa na sababu.Hebu tell me wewe unadhani kwa nini napinga narrative ya Covid disease na hii wanayoita Chanjo ya Covid kumbe ni Bioweapon.
 
Unajua brother, mtu kwenye akili hahisi tu jambo,anakuwa na sababu.Hebu tell me wewe unadhani kwa nini napinga narrative ya Covid disease na hii wanayoita Chanjo ya Covid kumbe ni Bioweapon.
Unaweza kuzitaja hizo chanjo za Covid-19 ambazo una uhakika ni bioweapon?

Unaweza kutuonyesha madhara zilizosababishwa na hizo chanjo za Covid-19 (bioweapon) kwa maeneo zilipotumika mpaka Sasa?

Tukirudi kwenye mada yako, tambua mabadiliko ya tabia ya nchi kwa sababu ya uharibifu wa mazingira ni jambo halisi mkuu na madhara yake yapo mengi mfano kuongezeka kwa kiwango cha joto duniani, maji ya bahari kuongezeka sababu ya kuyeyuka kwa barafu huko Antarctica, na mengine mengi tu.

Hayo ya kusema ni propaganda za NWO ni kukana kuwepo na mabadiliko ya tabia nchi na kufifisha juhudi za kutunza mazingira pia ni kupotosha kwa makusudi jambo hili pia tambua unapokana uwepo wa mabadiliko ya tabia nchi ni sawa na uhalifu tu dhidi ya binadamu wenzako.
 
Nimeki download hicho ki document nitakisoma kwenye ipad yangu ila binadamu tumekwisha, we are heading to the dark ages again, a total control and the end of human freedom, Illuminati are taking the world, ukiwaambia watu wankuona kama una dream mchana watakuja kugundua it is too late!!
Na wajuaji walivyo wengi humu!

Baadhi yao ni sehemu ya demonic agendas zinazoendelea duniani.

Wakipinga unajua wenyewe hawa wamekuja.
 
Mambo ya rohoni haya, kuna mtu alikuwa kambi ya giza kwa miaka mingi ameokoka anatoa ushuhuda wake mambo hayahaya,jinsi dunia inavyopelekwa mchakamchaka na agenda za kuzimu anasema hiyo mikutano yote ya wakuu wa dunia ina udhamini mkubwa wa yule muovu muasisi wa uasi.
🤣🤣🤣🤣
Weka basi na nukta na mkato ili mleta mada akuelewe mko level moja....
 
Hana chochote anachokijua zaidi ya hiyo paper. Huyu ameamua kuwa kiazi, anakopi na kupesti tu conspiracies theories zilizozagaa mitandaoni. Juzi ni conspiracies za COVID, jana za Mazingira, kesho atakuja na za flat earthers.
Trust me,I'll be the first person to join you to expose or fight whatever evil, but you need something tangible to convince me.

Prove to me that Americans do plan to end this planet without telling me that paper you read. I mean, I need something beyond that paper.

Thank you!
 
Huu upupu wa illuminati na total control umesemwa karne na karne, ni akili kisoda tu ndizo zinaweza kuuamini na kuufanya msahafu.
Nimeki download hicho ki document nitakisoma kwenye ipad yangu ila binadamu tumekwisha, we are heading to the dark ages again, a total control and the end of human freedom, Illuminati are taking the world, ukiwaambia watu wankuona kama una dream mchana watakuja kugundua it is too late!!
 
Hakuna cha vitu vilivyo nyuma ya pazia wala kulishwa pumba wewe ndio unatapika upuuzi wa kila aina kujaza servers tu.
Hivi ni vitu ambavyo vipo nyuma ya pazia mkuu,si rahisi kuvielewa.Unajua,tumelishwa pumba for too long,ndio maana inakuwa vigumu kuelewa.
 
Ni suala la muda tu kabla hajaleta flat earth conspiracies.
Umekuwa ukipinga chanjo ya Corona na Sasa umegeukia tabia ya nchi huenda kesho ukaibukia kwingine, huenda hata wewe ni sehemu ya mradi wa kikundi fulani kupotosha watu kuhusu mambo muhimu kwa malengo fulani.
 
Hakuna cha vitu vilivyo nyuma ya pazia wala kulishwa pumba wewe ndio unatapika upuuzi wa kila aina kujaza servers tu.
Yoda let me tell you this, watu watakapo zinduka na kujua what you have been doing all along patachimbika, jiandae for the worst. Usidhani Watanzania na Wanadamu watabaki kuwa wajinga siku zote.
 
Na wajuaji walivyo wengi humu!

Baadhi yao ni sehemu ya demonic agendas zinazoendelea duniani.

Wakipinga unajua wenyewe hawa wamekuja.
Uko sahihi kabisa mkuu, ukiona mtu anapinga sana taarifa hizi ujue ni sehemu ya demonic forces. Agents hawa wamemwagwa sana na CIA humu JF, kwenye vyama vya siasa, NGOs, Universities, makampuni binafsi ya biashara, vyombo vya habari, madhehebu nk. Wapo watu kama akina Yoda nk. sijui yeye kachomekwa wapi na CIA.
 
Hana chochote anachokijua zaidi ya hiyo paper. Huyu ameamua kuwa kiazi, anakopi na kupesti tu conspiracies theories zilizozagaa mitandaoni. Juzi ni conspiracies za COVID, jana za Mazingira, kesho atakuja na za flat earthers.
Conspiracy theory maana yake nini? Acha kukariri wewe kisoda!

Anything which reveals hidden demonic agendas you call it conspiracy theory. Hahahaaaa...

Wacha uhuni uibuliwe wachache wataokolewa.

By the way ule utapeli wenu wa COVID umeishia wapi? nasikia watu wanapukutika na kufa kwa mafungu mafungu... hahahahaaaa

Wewe endelea kula magimbi hapo uvimbiane makalio ufe uzikwe. Shut up and let the people be awakened because they deserve it.
 
Conspiracy theory maana yake nini? Acha kukariri wewe kisoda!

Anything which reveals hidden demonic agendas you call it conspiracy theory. Hahahaaaa...

Wacha uhuni uibuliwe wachache wataokolewa.

By the way ule utapeli wenu wa COVID umeishia wapi? nasikia watu wanapukutika na kufa kwa mafungu mafungu... hahahahaaaa

Wewe endelea kula magimbi hapo uvimbiane makalio ufe uzikwe. Shut up and let the people be awakened because they deserve it.
Wow,I love this.Let's join hands in awakening people,watu wamedanganywa for far too long.
 
UTANGULIZI.
Mkutano unao address mabadiliko ya hali ya hewa,COP26, umekuwa unaendelea Glasgow.Tunaloaminishwa ni kwamba sisi Wanadamu ndio tunaohusika kwa kiwango kikubwa na hali hii kwa kukata misitu nk.Wamefika mbali zaidi,na kudai kwamba mifugo kama Ng'ombe na hata Kilimo cha zao la Mpunga, vinachangia katika kuleta mabadiliko ya hali ya hewa kwa kuwa vinatoa hewa iitwayo Methane, ambayo ni mbaya zaidi hata kuliko Carbon Dioxide katika kuleta Climate Change.Lakini je, hii ni kweli?

Uchunguzi wa kina unaonyesha kwamba hii si kweli,Wanadamu wanachangia kiwango kidogo sana katika kuleta mabadiliko ya Climate.

Utafiti huu umeonyesha wazi kwamba Jeshi la Marekani lina tekinolojia za kuleta Climate Change na linahusika moja kwa mója katika kuharibu hali ya hewa.Kwa nini wanafanya hivyo?Wanafanya hivyo kama mpango wao wa muda mrefu wa hatimaye kuitawala dunia.Ikumbukwe kwamba upo mpango wa kuwa na Mfumo Mpya wa Dunia(NWO),ambapo dunia itakuwa na serikali moja.Mpango huu upo katika hatua za mwisho kabisa za utekelezaji,na tunacho-aminishwa kwamba ni ugonjwa wa Uviko na Chanjo yake ni
tools chache tu za kufikia lengo hilo.

Sasa kama huo ndio ukweli,mkutano wa Glasgow ulikuwa na maana gani.Mkutano ule mimi nauta "a false flag," a con(utapeli) au usanii,ambao ulikuwa una nia ya ku-shift blame kwa watu ambao hawana hatia kabisa,na kuwaacha wenye hatia unscorched.Consequence ya hii ni nini,kuwapa green pass wahusika wakuu,yaani Jeshi la Marekani na kiukweli Shetani,kui-terrorize Dunia kwa kutumia their geo-engineering technologies,hali ambayo tayari tunaiona.The La Palma Volcano,Wild Fires,frequent Cyclones,Floods and Tornadoes ni classic examples.This is geo-terrorism!


Taarifa niliyo ambatanisha hapa chini sio kamili.Nimeleta tu sehemu ambayo itasaidia kuonyesha ukweli huu.Tafadhali wale ambao wanataka kuona taarifa kamili wafuate link ifuatayo⏬


TAARIFA YENYEWE.
Weather as a Force Multiplier:
Owning the Weather by 2025

A Research Paper
Presented To the American
Air Force
by
1.Col Tamzy J. House
2.Lt Col James B. Near, Jr.
3.LTC William B. Shields (USA)
4.Maj Ronald J. Celentano
5.Maj David M. Husband
6.Maj Ann E. Mercer
7.Maj James E. Pugh
in August 1996
(Last updated: 11 December 1996)
(Privately converted to PDF format from the FAS HTML version: 28 January 2015)
Disclaimer
2025 is a study designed to comply with a directive from the chief of staff of the Air Force to
examine the concepts, capabilities, and technologies the United States will require to remain the
dominant air and space force in the future. Presented on 17 June 1996, this report was produced
in the Department of Defense school environment of academic freedom and in the interest of
advancing concepts related to national defense. The views expressed in this report are those of
the authors and do not reflect the official policy or position of the United States Air Force,
Department of Defense, or the United States government.
This report contains fictional representations of future situations/scenarios. Any similarities to
real people or events, other than those specifically cited, are unintentional and are for purposes of
illustration only.
This publication has been reviewed by security and policy review authorities, is unclassified, and
is cleared for public releas

CONTENTS
Chapter
Disclaimer.........................................................................................................1
Illustrations.......................................................................................................2
Tables...............................................................................................................3
Acknowledgments.............................................................................................3
Executive Summary .........................................................................................3
1. Introduction ......................................................................................................5
2. Required Capability ..........................................................................................6
• Why Would We Want to Mess with the Weather? .......................................6
• What Do We Mean by "Weather-modification"? .........................................7
3. System Description ...........................................................................................9
• The Global Weather Network......................................................................9
• Applying Weather-modification to Military Operations.............................10
4. Concept of Operations.....................................................................................12
• Precipitation ..............................................................................................12
• Fog............................................................................................................14
• Storms.......................................................................................................15
• Exploitation of "NearSpace" for Space Control .........................................17
• Opportunities Afforded by Space Weather-modification............................17
• Communications Dominance via Ionospheric Modification.......................17
• Artificial Weather......................................................................................22
• Concept of Operations Summary...............................................................22
5. Investigation Recommendations......................................................................23
• How Do We Get There From Here? ..........................................................23
• Conclusions...............................................................................................25
Appendix ........................................................................................................26
A Why Is the Ionosphere Important? ...............................................................26
B Research to Better Understand and Predict Ionospheric Effects ...................27
C Acronyms and Definitions...........................................................................28
Bibliography ...................................................................................................29
Notes ..............................................................................................................32
[Contact information].....................................................................................36
Illustrations
Figure
3-1. Global Weather Network .................................................................................9
3-2. The Military System for Weather-Modification Operations............................10
4-1. Crossed-Beam Approach for Generating an Artificial Ionospheric Mirror......19
4-2. Artificial Ionospheric Mirrors Point-to-Point Communications......................19
4-3. Artificial Ionospheric Mirror Over-the-Horizon Surveillance Conc


-4. Scenarios for Telecommunications Degradation.............................................21
5-1. A Core Competency Road Map to Weather Modification in 2025..................23
5-2. A Systems Development Road Map to Weather Modification in 2025 ...........24
Tables
Table
1 - Operational Capabilities Matrix .........................................................................4
Acknowledgments
We express our appreciation to Mr Mike McKim of Air War College who provided a wealth of
technical expertise and innovative ideas that significantly contributed to our paper. We are also
especially grateful for the devoted support of our families during this research project. Their
understanding and patience during the demanding research period were crucial to the project's
success.
Executive Summary
In 2025, US aerospace forces can "own the weather" by capitalizing on emerging technologies
and focusing development of those technologies to war-fighting applications. Such a capability
offers the war fighter tools to shape the battlespace in ways never before possible. It provides
opportunities to impact operations across the full spectrum of conflict and is pertinent to all
possible futures. The purpose of this paper is to outline a strategy for the use of a future weather-
modification system to achieve military objectives rather than to provide a detailed technical
road map.
A high-risk, high-reward endeavor, weather-modification offers a dilemma not unlike the
splitting of the atom. While some segments of society will always be reluctant to examine
controversial issues such as weather-modification, the tremendous military capabilities that could
result from this field are ignored at our own peril. From enhancing friendly operations or
disrupting those of the enemy via small-scale tailoring of natural weather patterns to complete
dominance of global communications and counterspace control, weather-modification offers the
war fighter a wide-range of possible options to defeat or coerce an adversary. Some of the
potential capabilities a weather-modification system could provide to a war-fighting commander
in chief (CINC) are listed in table 1.
Technology advancements in five major areas are necessary for an integrated weather-
modification capability: (1) advanced nonlinear modeling techniques, (2) computational
capability, (3) information gathering and transmission, (4) a global sensor array, and (5) weather
intervention techniques. Some intervention tools exist today and others may be developed and
refined in the future.



Chapter 1
Introduction
Scenario: Imagine that in 2025 the US is fighting a rich, but now consolidated, politically
powerful drug cartel in South America. The cartel has purchased hundreds of Russian-and
Chinese-built fighters that have successfully thwarted our attempts to attack their production
facilities. With their local numerical superiority and interior lines, the cartel is launching more
than 10 aircraft for every one of ours. In addition, the cartel is using the French system
probatoire d' observation de la terre (SPOT) positioning and tracking imagery systems, which in
2025 are capable of transmitting near-real-time, multispectral imagery with 1 meter resolution.
The US wishes to engage the enemy on an uneven playing field in order to exploit the full
potential of our aircraft and munitions.
Meteorological analysis reveals that equatorial South America typically has afternoon
thunderstorms on a daily basis throughout the year. Our intelligence has confirmed that cartel
pilots are reluctant to fly in or near thunderstorms. Therefore, our weather force support element
(WFSE), which is a part of the commander in chief's (CINC) air operations center (AOC), is
tasked to forecast storm paths and trigger or intensify thunderstorm cells over critical target areas
that the enemy must defend with their aircraft. Since our aircraft in 2025 have all-weather
capability, the thunderstorm threat is minimal to our forces, and we can effectively and
decisively control the sky over the target.
The WFSE has the necessary sensor and communication capabilities to observe, detect, and act
on weather-modification requirements to support US military objectives. These capabilities are
part of an advanced battle area system that supports the war-fighting CINC. In our scenario, the
CINC tasks the WFSE to conduct storm intensification and concealment operations. The WFSE
models the atmospheric conditions to forecast, with 90 percent confidence, the likelihood of
successful modification using airborne cloud generation and seeding.
In 2025, uninhabited aerospace vehicles (UAV) are routinely used for weather-modification
operations. By cross-referencing desired attack times with wind and thunderstorm forecasts and
the SPOT satellite's projected orbit, the WFSE generates mission profiles for each UAV. The
WFSE guides each UAV using near-real-time information from a networked sensor array.
Prior to the attack, which is coordinated with forecasted weather conditions, the UAVs begin
cloud generation and seeding operations. UAVs disperse a cirrus shield to deny enemy visual
and infrared (IR) surveillance. Simultaneously, microwave heaters create localized scintillation
to disrupt active sensing via synthetic aperture radar (SAR) systems such as the commercially
available Canadian search and rescue satellite-aided tracking (SARSAT) that will be widely
available in 2025. Other cloud seeding operations cause a developing thunderstorm to intensify
over the target, severely limiting the enemy's capability to defend. The WFSE monitors the entire
operation in real-time and notes the successful completion of another very important but routine
weather-modification mission.
This scenario may seem far-fetched, but by 2025 it is within the realm of possibility. The next
chapter explores the reasons for weather-modification, defines the scope, and examines trends
that will make it possible in the next 30 years.

Unaweza pia kuipata hii taarifa in full hapa
The very nice classical piece that alerts LDCs.
DR Congo wao wamekataa katakata kwenye COP26 kwamba hawataacha kuvuna mazao ya msitu wa Congo (The Lungs of Africa) kinyume na ushauri wa COP26 wa kutovuna msitu huo; hadi pale dunia itakapo tenga fungu la kudumu la kuuendeleza msitu huo pamoja na kuwapa DRC nishati mbadala. Msimamo wao ni kuwa msitu huo ni urithi wao kwanza kabla ya kuwa urithi wa Afrika na dunia (msimamo kama uleule wa Magufuli kwenye hifadhi ya Selous wakati wa kutaka kujenga JNHEP) hivyo hawawezi kuingia gharama kubwa ya kununua teknolojia ya kutumia kama mbadala wa mazao ya msitu huo. DRC ilisisitiza kwamba haitakubali dunia ifaidike na msitu wao kwa mazao yake na hewa wakati wao DRC wazuiliwe. The woman Minister who represented DRC in that meet was aggressive enough to dare the COP26. Ila mimi nilimuelewa kwasababu mojawapo ya wanaonufaika na mazao ya msitu huo ni mataifa ya Magharibi na China ambayo ndiyo yameanzisha masoko makubwa ya kununua mazao ya misitu duniani, hivyo bora wangeanza wao kwanza kufunga masoko hayo huko kwao huenda DRC ingekosa pa kuuza mazao hayo na msitu ungesalimika.


R.e7df459a7c68e09269e8d01063405ff8

Congo Equatorial Forest (The Lungs of Africa). Taswira kwa hisani ya google.
 
Very nice classical piece that alerts LDCs.
DR Congo wao wamekataa katakata kwenye COP26 kwamba hawataacha kuvuna mazao ya msitu wa Congo (The Lungs of Africa) kinyume na ushauri wa COP26 wa kutovuna msitu huo; hadi pale dunia itakapo tenga fungu la kudumu la kuuendeleza msitu huo pamoja na kuwapa DRC nishati mbadala. Msimamo wao ni kuwa msitu huo ni urithi wao kwanza kabla ya kuwa urithi wa Afrika na dunia (msimamo kama uleule wa Magufuli kwenye hifadhi ya Selous wakati wa kutaka kujenga JNHEP) hivyo hawawezi kuingia gharama kubwa ya kununua teknolojia ya kutumia kama mbadala wa mazao ya msitu huo. DRC ilisisitiza kwamba haitakubali dunia ifaidike na msitu wao kwa mazao yake na hewa wakati wao DRC wazuiliwe. The woman Minister who represented DRC in that meet was aggressive enough to dare the COP26. Ila mimi nilimuelewa kwasababu mojawapo ya wanaonufaika na mazao ya msitu huo ni mataifa ya Magharibi na China ambayo ndiyo yameanzisha masoko makubwa ya kununua mazao ya misitu duniani, hivyo bora wangeanza wao kwanza kufunga masoko hayo huko kwao huenda DRC ingekosa pa kuuza mazao hayo na msitu ungesalimika.

R.e7df459a7c68e09269e8d01063405ff8

Congo Equatorial Forest (The Lungs of Africa). Taswira kwa hisani ya google.
The Woman Minister was damn right,hasa kwa vile the "actual" polluters are not charcoal makers;African,Asian,Native Australian,US or Brazillian firewood users;rice famers or cattle users or loggers,but rather those who are patenting technologies for warfare against innocent and the unsuspecting World citizenry.We need to realize that America a.k.NWO is currently carrying out an extermination event against humanity,and the sooner we realize that the better.

Notice this⏬,this is deliberate destruction of the weather and ecosystem!



These sprays have been proved to affect weather patterns,affect health and make the soil infertíle because they contain Aluminium,Mercury,Barium etc.Respiratory illnesses na Allergies tunazoshuhudia many of them are caused by these sprays.

Finally tusisahau kwamba the same psychopaths wana own a highly dangerous facility at Gakona,Alaska.The facility owned by The American Air force and the University of Alaska, literally manipulates the atmosphere to near space 50-400 miles up to deliberately manipulate the weather.To me therefore it would be stupid to give any concessions to such people knowing very well that they are ones responsible for destroying the weather.

How HAARP manipulates the weather explained⏬

 
dini ni mipango ya watu wachache kuichanganya dunia, masuala ya kuungua moto jehanamu hayapo, lkn mwsho wa dunia upo, na utakuwepo pale masters wawil watakapo jichukulia wafuasi wao kulingana na machaguo ya maisha ya hawa wafuasi(watu) masters hawa ni wale ambao wametajwa na vitabu vya dini ambao ni shetan yaan mmiliki wa technologia za dunia, na master wa pili ni Muumba wa dunia, huyu atajichukulia wafuas wake ambao waligoma kuvunja sheria za uumbaji na kuamua kwenda sawa na sheria zake, na kwakuwa huyu master Muumbaji ana nguvu kulko huyo master mdogo(shetan) basi atamfukuza yeye na wafuasi wake hapa dunian na kuwapeleka ulimwengu mwingine wa usahaulifu ambao utakuwa ndyo makaz mapya ya hawo wasariti wake, na hawa waliomfuata watapewa umilik wa makazi ya dunia na kupewa nguvu za kuish milele..

elimu hii hutopata kihurahisi kama akili yako imeshikiliwa na dini
Samahani mkuu,
Sheria za uumbaji ni zipi?

Ulizipata wap?

Unaweza kuziainisha?
 
Conspiracy theory maana yake nini? Acha kukariri wewe kisoda!

Anything which reveals hidden demonic agendas you call it conspiracy theory. Hahahaaaa...

Wacha uhuni uibuliwe wachache wataokolewa.

By the way ule utapeli wenu wa COVID umeishia wapi? nasikia watu wanapukutika na kufa kwa mafungu mafungu... hahahahaaaa

Wewe endelea kula magimbi hapo uvimbiane makalio ufe uzikwe. Shut up and let the people be awakened because they deserve it.
and who are the demons? kwamba wewe unayemuita mwenzako kisoda na wewe ni malaika sio?

Sema shida ya wabongo wengi ni kujifanya wanazuoni sana.Kwamba mtu anakwambia ana access ya classified information za jeshi la Marekani.Hivi jeshi la Marekani mumelichukulia poa kiasi hicho kwamba wanaweza kuparade information zao kizembe hivyo sio?

Kingine, kwani wewe ukijua kwamba wamarekani wanaenda kuingamiza dunia leo hii(which isn't possible) we utafanya nini?unaweza kuwazuia wewe? ni kipi unacho ambacho kinaweza kuzuia hilo lengo lao lisitimie?
 
Jaribu kutumia akili ya kawaida tu Penye miti mingi panafanana na kusipo na miti....



Ngorongoro panafanana na Dodoma.
 
Back
Top Bottom