Kama kuna mtu anahitaji dada wa kazi naomba tuwasiliane mara moja kwa Dar (DSM).

Kama kuna mtu anahitaji dada wa kazi naomba tuwasiliane mara moja kwa Dar (DSM).

Mungu niguse

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2024
Posts
272
Reaction score
729
Yupo Dada anahitaji nafasi ya kazi za ndani .

Yupo Dar DSM

Kuhusu yeye

Ana age 18
Darasa la saba
Anatoka Mtwara vijijini
Dini yake Muslim.

Uzoefu kazini ni miaka miwili amelea mtoto alikuwa Zanzibar

Taarifa zake kuhusu boss wake wa zamani zipo pia

Familia yake ipo na unaweza wasiliana nao moja Kwa moja.

Mshahara ambao angependa alipwe uwe kati ya 100K au at least 90K


Mimi sio dalali Ila ukija mchukua ukaniachia hela ya maji na hii weekend utakuwa umetisha Sana .


Utanipm
 
Ni bora wewe umesema ata kima cha salary wadada wengi wa kazi wanatumikishwa sana wake zetu ni watu wa ajabu sana unajua pesa ya ujira wake ni 70 ,kumbe analipwa 25 tena kwa masimango makubwa na pesa kuchelewa,Ifike kipindi wanaume tusimame kidete kuwapigania hawa dada zetu wa kazi,na kama unaona anakulelea mtoto au watoto wako vizuri, sometimes moe ata tips kimya kimya mama asijue.
 
Ok ikawe kheri apate.,... Kila mtu ni muhimu kwenye nafasi aliyopo kwa mwenzake.. tuheshimiane
 
Back
Top Bottom