Ni bora wewe umesema ata kima cha salary wadada wengi wa kazi wanatumikishwa sana wake zetu ni watu wa ajabu sana unajua pesa ya ujira wake ni 70 ,kumbe analipwa 25 tena kwa masimango makubwa na pesa kuchelewa,Ifike kipindi wanaume tusimame kidete kuwapigania hawa dada zetu wa kazi,na kama unaona anakulelea mtoto au watoto wako vizuri, sometimes moe ata tips kimya kimya mama asijue.