Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
Uwongo wa wayahaudi wameuambukiza mpaka marekani. Kama wapo watuoneshe kwa ushahidi tuone.Marubani wenyewe Bado hawajaokolewa ni propaganda tu!
Huyu ni bingwa wa kutoa ujumbe labda kama wewe ni mgeni kwake. Kwa sisi tunaomfuatilia tunamjuaMuda huu ambao ni asubuhi Kwa USA ametoa ujumbe huu Kwa Iran, tuendelee kusubiri Hadi hapo jumanne siku ambayo Iran inaenda kupigwa uchumi wake wa mafuta View attachment 3567954
kwahiyo lile dili la meli kulipia ushuru na meli vita za marekani kutoa escort kwa walipa ushuru limeshindikana?Muda huu ambao ni asubuhi Kwa USA ametoa ujumbe huu Kwa Iran, tuendelee kusubiri Hadi hapo jumanne siku ambayo Iran inaenda kupigwa uchumi wake wa mafuta View attachment 3567954
Lugha aliyotumia trump kama raisi ni ngumu Sana na yenye kuumiza piakwahiyo lile dili la meli kulipia ushuru na meli vita za marekani kutoa escort kwa walipa ushuru limeshindikana?
wafia demokrasi mbona hawamuandikii waraka trump kwa kutishia power plants na civilin infrastructure? au inategemea na wahusika
yule kwenye lugha za ajabu ni kama wa kwetu hapaLugha aliyotumia trump kama raisi ni ngumu Sana na yenye kuumiza pia
wanaharakati wanasemaje mpaka sasa mkuuMahesabu yameenda vibaya, mahesabu yalikuwa ni kwamba Piga na ua Ile top layer ya Iran then utakuwa umeshamaliza Jambo na Iran itakuwa imekubali na wananchi kuchukua nchi kama US na Israel walivyotaka hapo mwanzo, ilifikiriwa isingechukua muda mrefu, Hali imebadilika sasa hivi maana Iran amekataa kusalimu amri licha ya mashambulizi mengi aliyofanyiwa...
Vita sasa haina plan yoyote Ile, Options ni mbili Tu Kwa Trump, MOJA ni kukubali Iran anavyotaka ili vita iishe, MBILI ni kukubali kuendelea kupigana Kwa Kipindi kisichojulikana...Options zote mbili ni hatari.
Aliposema Ayatollah ni easy target ulimuamini ???Donald Trump kwa sasa naweza kusema anaweza kuwa ndio Rais muongo kuwahi kutokea duniani na marekani. Huyu jamaa anadanganya mpaka anapitiliza.
Ni mengi sana ya uongo na nadhani amefundishwa na Serikali ya Netanyahu.
Alianza na masuala ya strait of Hormuz, kushindwa kwa majeshi ya Iran na viwanda vya missiles huko Iran ila Kila siku tunaona Iran anayarusha tu hayo makombora.
Akaja na masuala ya NATO kuisaidia marekani hapa napo aliongea uwongo mwingi sana watu wa dunia wanamsikiliza na kumpuuza.
Bado Trump anaendelea kutoa uwongo mwingi sana na hivi punde amejiandaa kutoa hotuba ya namna majeshi ya marekani yalivowaokoa marubani wa marekani.nadhani itatengenezwa Hollywood hii movie.
Lengo la Uzi huu ni kuwatahadharisha make mbali na huyu Trump ni muongo wa Karne. Haaminiki marekani hata nje ya marekani.
Islamists mmejawa na chuki dhidi Marekani na Israel, na kwa bahati mbaya yakawa yanakuja bogus presidents kama akina Hussein Obama yaliyo waramba miguu Maislamists. Ujio wa Trump na kuwepo kwa Netanyahu ilibidi kuje kama ulivyokuja wakati wa Reagan na Thatcher walioiangamiza Soviet Union. Trump na Netanyahu watawakomesha Maislamists wote pamoja na wapenzi wenu wa Kisocialists na Kikomunisti. MtapukutikaDonald Trump kwa sasa naweza kusema anaweza kuwa ndio Rais muongo kuwahi kutokea duniani na marekani. Huyu jamaa anadanganya mpaka anapitiliza.
Ni mengi sana ya uongo na nadhani amefundishwa na Serikali ya Netanyahu.
Alianza na masuala ya strait of Hormuz, kushindwa kwa majeshi ya Iran na viwanda vya missiles huko Iran ila Kila siku tunaona Iran anayarusha tu hayo makombora.
Akaja na masuala ya NATO kuisaidia marekani hapa napo aliongea uwongo mwingi sana watu wa dunia wanamsikiliza na kumpuuza.
Bado Trump anaendelea kutoa uwongo mwingi sana na hivi punde amejiandaa kutoa hotuba ya namna majeshi ya marekani yalivowaokoa marubani wa marekani.nadhani itatengenezwa Hollywood hii movie.
Lengo la Uzi huu ni kuwatahadharisha make mbali na huyu Trump ni muongo wa Karne. Haaminiki marekani hata nje ya marekani.
Uchumi upiMuda huu ambao ni asubuhi Kwa USA ametoa ujumbe huu Kwa Iran, tuendelee kusubiri Hadi hapo jumanne siku ambayo Iran inaenda kupigwa uchumi wake wa mafuta View attachment 3567954
Hii story mbona Haina uislamu yeye kaleta hoja wewe unaleta vioja, hebu imani zenu bakini nazo sisi tunataka stori na factIslamists mmejawa na chuki dhidi Marekani na Israel, na kwa bahati mbaya yakawa yanakuja bogus presidents kama akina Hussein Obama yaliyo waramba miguu Maislamists. Ujio wa Trump na kuwepo kwa Netanyahu ilibidi kuje kama ulivyokuja wakati wa Reagan na Thatcher walioiangamiza Soviet Union. Trump na Netanyahu watawakomesha Maislamists wote pamoja na wapenzi wenu wa Kisocialists na Kikomunisti. Mtapukutika
Wanafanana kabisaa aisee!! Wanabwatuka Tu.yule kwenye lugha za ajabu ni kama wa kwetu hapa
mtizamo wake ni kwamba vita hiyo unabii unatimia,Hii story mbona Haina uislamu yeye kaleta hoja wewe unaleta vioja, hebu imani zenu bakini nazo sisi tunataka stori na fact
magharibi wanapoteza nguvu ya kuhubiri human right na democracy kadri muda unavyokwendaWanafanana kabisaa aisee!! Wanabwatuka Tu.
Kwenye hotuba ya Leo na waandishi ametamka kuwa USA wamegawa silaha nyingi Sana Kwa waandamanaji na vikosi vya wakurd sasa Kwa kauli kama hizi kwanini zisivuruge dunia
Magharibi hajawahi kuhubiri demokrasiamtizamo wake ni kwamba vita hiyo unabii unatimia,
magharibi wanapoteza nguvu ya kuhubiri human right na democracy kadri muda unavyokwenda
Hakutukanaye hakuchagulii tusi. Hizi zingine zinatengenezwa tu na jihadists halafu wanampakazia.Muda huu ambao ni asubuhi Kwa USA ametoa ujumbe huu Kwa Iran, tuendelee kusubiri Hadi hapo jumanne siku ambayo Iran inaenda kupigwa uchumi wake wa mafuta View attachment 3567954