Kama Kuna mtu bado anaiamini Serikali ya sasa ya marekani hasa Donald Trump atakuwa mwendawazimu. Imekithiri kwa uongo

Kama Kuna mtu bado anaiamini Serikali ya sasa ya marekani hasa Donald Trump atakuwa mwendawazimu. Imekithiri kwa uongo

Wanafanana kabisaa aisee!! Wanabwatuka Tu.
Kwenye hotuba ya Leo na waandishi ametamka kuwa USA wamegawa silaha nyingi Sana Kwa waandamanaji na vikosi vya wakurd sasa Kwa kauli kama hizi kwanini zisivuruge dunia
Anaweka wazi kabisa mambo ambayo wenzake walikuwa wanayafanya but Kwa Siri mnooo mfano kitendo Cha kusema tunataka mafuta Yao it means kumbe lengo sio kuondoka utawala kwakigezo Cha kutaka kutengeneza nuke , yule Mzee sio mzima
 
🤣🤣🤣
Hivyo vitisho wala havimtishi Iran huwezi mshinda vita Iran kwa kupiga Energy infrastructure hata siku moja.

Iran hatishiki na lolote lile amemshindwa Iran kivita anadhani atsmshinda kwa vitishio hahaha

Watakao pata matatizo ni wale mafalaa walio mpa 5 trillions na Israel subiri tuone hata Nuclear huwezi tumia unless uwe kichaa dunia hawawezi kukubali nchi mara tatu itumie Nuclear kuangamiza wasio kuwa na Nuclear

Wakubali tu Iran kawashinda vita

Leo kaja na mpya anadai wamemuokoa pilot sa vipi hatoi picture ya huyo Pilot kaweza kumtoa Nicolas Maduro time anamteka aone aibu kumtoa Pilot walio muokoa hahaha
 
Tangu 8 march video zote AI,alitakiwa Hungary hakwenda, kijana wake baada ya 8 march alikaa wiki bila kupost x,wayahudi hukaa wiki bila kufanya chochote baada ya msiba
We jamaa utakuwa na mtindio wa ubongo, unalazimisha kubalance story kuwa Neta kafa kama viongozi wa Iran wanavyoliwa vichwa ? yaani Media duniani nzima zisijui ujue ww kilamba mavi wa Tandahimba ndani ndani huko ?
 
Islamists mmejawa na chuki dhidi Marekani na Israel, na kwa bahati mbaya yakawa yanakuja bogus presidents kama akina Hussein Obama yaliyo waramba miguu Maislamists. Ujio wa Trump na kuwepo kwa Netanyahu ilibidi kuje kama ulivyokuja wakati wa Reagan na Thatcher walioiangamiza Soviet Union. Trump na Netanyahu watawakomesha Maislamists wote pamoja na wapenzi wenu wa Kisocialists na Kikomunisti. Mtapukutika
Hispania imewafukuza wayahudi na kufunga ubalozi wao,na imesema inachukizwa na namna Israel inavyofanya. Wewe nguruwe pori wa Kazuramimba una uelewa kuliko Hispania??
Ugiriki mwaka jana raia waliwazuia waisraeli kuingia bandari ya Ugiriki,na wakiwatamkia hatuwataki free Palestine free Gaza. Inamaana wewe una akili sana kuliko raia wa kigiriki??

Kweli nguruwe ni nguruwe tu.
 
We jamaa utakuwa na mtindio wa ubongo, unalazimisha kubalance story kuwa Neta kafa kama viongozi wa Iran wanavyoliwa vichwa ? yaani Media duniani nzima zisijui ujue ww kilamba mavi wa Tandahimba ndani ndani huko ?
Media nyingi tu zinashuku uhai wake kutokana na videos zake kuwa AI
 
Lier in Chief
 

Attachments

  • 20260419_113041.jpg
    20260419_113041.jpg
    48.3 KB · Views: 15
Back
Top Bottom