Kama Kuna mtu bado anaiamini Serikali ya sasa ya marekani hasa Donald Trump atakuwa mwendawazimu. Imekithiri kwa uongo

Kama Kuna mtu bado anaiamini Serikali ya sasa ya marekani hasa Donald Trump atakuwa mwendawazimu. Imekithiri kwa uongo

Magharibi hajawahi kuhubiri demokrasia
Ila tu kuna watu walichelewa kuwagundua
Magharibi ndio maswahiba wakubwa wa madikteta kote ulimwenguni
Kuanzia ulaya africa america nk
naam ni maslahi oriented tu hakuna kingine
 
Huyu mzee, ona sentensi ya pili mwishoni, yuko frustrated sana

20260405_182430.jpg
 
Marubani wenyewe Bado hawajaokolewa ni propaganda tu!
Negative hii wamedhibitisha ziaid ya source moja, us ana resources na dedicated units. Although si rahis but is not impossible

Kama ni propaganda hata iran pia anapiga propaganda
 
Mahesabu yameenda vibaya, mahesabu yalikuwa ni kwamba Piga na ua Ile top layer ya Iran then utakuwa umeshamaliza Jambo na Iran itakuwa imekubali na wananchi kuchukua nchi kama US na Israel walivyotaka hapo mwanzo, ilifikiriwa isingechukua muda mrefu, Hali imebadilika sasa hivi maana Iran amekataa kusalimu amri licha ya mashambulizi mengi aliyofanyiwa...

Vita sasa haina plan yoyote Ile, Options ni mbili Tu Kwa Trump, MOJA ni kukubali Iran anavyotaka ili vita iishe, MBILI ni kukubali kuendelea kupigana Kwa Kipindi kisichojulikana...Options zote mbili ni hatari.
Pana mwandishi mmoja huko tweeter anaitwa Mario nawfal anasema Trump made a mistake starting the war and Iran made a mistake by refusing to End the war. Ngoja tuendelee kusubirj kitakachotokea.
 
Islamists mmejawa na chuki dhidi Marekani na Israel, na kwa bahati mbaya yakawa yanakuja bogus presidents kama akina Hussein Obama yaliyo waramba miguu Maislamists. Ujio wa Trump na kuwepo kwa Netanyahu ilibidi kuje kama ulivyokuja wakati wa Reagan na Thatcher walioiangamiza Soviet Union. Trump na Netanyahu watawakomesha Maislamists wote pamoja na wapenzi wenu wa Kisocialists na Kikomunisti. Mtapukutika
Tulia acha mihemko tujadiliane kwa hoja au kama hii topic imekuzidi uwezo hamia kwenye chitchat huko.hapa hatutaki mahaba na kanisa lako.
 
Hii story mbona Haina uislamu yeye kaleta hoja wewe unaleta vioja, hebu imani zenu bakini nazo sisi tunataka stori na fact
Mkuu wala usikasirike hii inaonesha uwezo wa mtu au baadhi ya watu tulio nao hapa .nineshauri mtu akiona mada inemzidi uwezo anaweza kuhamia Facebook au chitchat huko ndio Kuna porojo nyingi.
 
Pana mwandishi mmoja huko tweeter anaitwa Mario nawfal anasema Trump made a mistake starting the war and Iran made a mistake by refusing to End the war. Ngoja tuendelee kusubirj kitakachotokea.
Vita nimipango yanchi sasa wewe unasikiliza hisia zamtu binafsi eti marekani hakutakiwa kuvamia, kwahali ilivyo marekan anatakiwa kumchakaza Iran saiv akisubili badae dogo ndevu zitakua zimekomaa itakua too late kumwadabisha
 
Islamists mmejawa na chuki dhidi Marekani na Israel, na kwa bahati mbaya yakawa yanakuja bogus presidents kama akina Hussein Obama yaliyo waramba miguu Maislamists. Ujio wa Trump na kuwepo kwa Netanyahu ilibidi kuje kama ulivyokuja wakati wa Reagan na Thatcher walioiangamiza Soviet Union. Trump na Netanyahu watawakomesha Maislamists wote pamoja na wapenzi wenu wa Kisocialists na Kikomunisti. Mtapukutika
Sawa sshoga la USA
 
Muda huu ambao ni asubuhi Kwa USA ametoa ujumbe huu Kwa Iran, tuendelee kusubiri Hadi hapo jumanne siku ambayo Iran inaenda kupigwa uchumi wake wa mafuta View attachment 3567954
Hivyo vitisho wala havimtishi Iran huwezi mshinda vita Iran kwa kupiga Energy infrastructure hata siku moja.

Iran hatishiki na lolote lile amemshindwa Iran kivita anadhani atsmshinda kwa vitishio hahaha

Watakao pata matatizo ni wale mafalaa walio mpa 5 trillions na Israel subiri tuone hata Nuclear huwezi tumia unless uwe kichaa dunia hawawezi kukubali nchi mara tatu itumie Nuclear kuangamiza wasio kuwa na Nuclear

Wakubali tu Iran kawashinda vita
Donald Trump kwa sasa naweza kusema anaweza kuwa ndio Rais muongo kuwahi kutokea duniani na marekani. Huyu jamaa anadanganya mpaka anapitiliza.

Ni mengi sana ya uongo na nadhani amefundishwa na Serikali ya Netanyahu.

Alianza na masuala ya strait of Hormuz, kushindwa kwa majeshi ya Iran na viwanda vya missiles huko Iran ila Kila siku tunaona Iran anayarusha tu hayo makombora.

Akaja na masuala ya NATO kuisaidia marekani hapa napo aliongea uwongo mwingi sana watu wa dunia wanamsikiliza na kumpuuza.

Bado Trump anaendelea kutoa uwongo mwingi sana na hivi punde amejiandaa kutoa hotuba ya namna majeshi ya marekani yalivowaokoa marubani wa marekani.nadhani itatengenezwa Hollywood hii movie.

Lengo la Uzi huu ni kuwatahadharisha make mbali na huyu Trump ni muongo wa Karne. Haaminiki marekani hata nje ya marekani.
Leo kaja na mpya anadai wamemuokoa pilot sa vipi hatoi picture ya huyo Pilot kaweza kumtoa Nicolas Maduro time anamteka aone aibu kumtoa Pilot walio muokoa hahaha
 
Ukjja kwenye uwongo, wapiga propaganda wa Iran ndiyo wanaongoza.

Trump alisema viongozi wa Iran wameuawa, wapiga propaganda wa Iran wakasema ni uwongo, ikathibitika ni kweli wameuawa.

Wapiga propaganda wakasema Netanyahu ameuawa, imethibitika ni uwongo.

Wapiga propaganda wa Iran wakasema Israel imeangamizwa, na mitambo yote ya ulinzi wa anga imeangamizwa, imethibitika ni uwongo, Israel inaendelea kushambulia, na inaendelea kudungua makombora, japo yapo machache sana yanapenya.

Wapiga propaganda walisema Iran imedungua ndege F-35, imethibitika ni uwongo. Iliyodunguliwa ni F-15E toleo la mwaka 1984.

Ni kweli Trump alisema kuwa wameangamiza mitambo yote ya ulinzi wa anga ya Iran. Imethibitika siyo kweli, maana Iran imeweza kudungua ndege chache na drones kadhaa za Marekani na Israel. Sasa, kusema Trump alikuwa mwongo au siyo mwongo, hakuna mwenye uhakika, yawezekana waliamini hivyo kutokana na taarifa walizokuwa nazo kabla ya vita, na yawezekana kuna mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran ambayo hawakuijua, na kwamba Trump alitoa kauli hiyo kwa kuegemea taarifa zao za kiintelijensia ambazo hazikuwa sahihi, maana Iran nao ni wanadamu, wana akili, hivyo hawawezi kuweka kila kitu wazi kiasi adui awe na taarifa zote.
 
Pana mwandishi mmoja huko tweeter anaitwa Mario nawfal anasema Trump made a mistake starting the war and Iran made a mistake by refusing to End the war. Ngoja tuendelee kusubirj kitakachotokea.
Naungana nae huyo mwandishi

Iran anatakiwa akubali tu vita iishe tumpe ushindi maana kwa sasa tunaona wazi marekani yupo kwenye hali ya hatari kuliko kuendelea na hii vita maana yajayo hatuelewi itakuwaje
 
Mkasema Netanyahu kafa tukamuona anadunda mitaani, mkasema AI, akaenda Ukaya mkasema huyo ni mtu aliyevalishwa kinyago cha Neta, Pro Iran mwaka huu mtajamba mashuzi ya kila aina...
Lini netanyahu alienda ulaya tangu vita ianze?
 
Tulia acha mihemko tujadiliane kwa hoja au kama hii topic imekuzidi uwezo hamia kwenye chitchat huko.hapa hatutaki mahaba na kanisa lako.
Sikiliza The term islamists, siyo muislamu. Ni term ambayo inatumika kwa mijitu iliyojawa na chuki ambayo kiasili chanzo chake ni siasa kali za jihadists islamists. Ndiyo maana Palestinians are islamists, Pope Francis was islamists, Hamas are islamists the Ayatollahs are islamists, muslim Brotherhood are islamists, king Charles and Keir Starmer are now referred to as islamists. Common thread is pandering to the wishes of jihadists islamists and hatred of Israel and Christian civilisation of US. Na wewe ni Islamist
 
mtizamo wake ni kwamba vita hiyo unabii unatimia,

Na wewe ni nani?
 
Hii story mbona Haina uislamu yeye kaleta hoja wewe unaleta vioja, hebu imani zenu bakini nazo sisi tunataka stori na fact
Hamtaelewa Kirahisi the hatred behind most people's attacks on Trump, Israel and Netanyahu. Kwanza ni kwambie tu kuwa anachofanya Trump siyo upumbavu kama ulivyo kwenye vichwa vyenu. That's a deep deep strategic military move akijua finally kuwa katika vita hiyo muhasimu wake ni China. Wewe nikikuuliza, hata haujui how China is heavily involved in this war.
Upande wa pili Dunia kama ilivyokuwa hapo nyuma imekumbwa na Janga la Ukomunist wa Soviet Union, na sasa inakumbwa na janga la Maislamists ambao itikadi yao ni world conquest with islamic sharia governments. Hawa wakiongozwa kwa upande mmoja(Sunni) Muslim Brotherhood na upande wa pili (Shia) the Ayatollahs in Iran wamefanikiwa kuwajaza watu ujinga kiasi kwamba wanachukia vyama au serikali zozote duniani zinazotetea Christian civilization (for example Trump, Victor Orban-Hungary), na pia Kuichukia Israel. Tuliona kiasi walichomu influence hata Pope Francis kuichukia Israel hadi kufikia kuunga Mkono kuwa Jesus was a Palestinian na akakivisha kitoto Yesu wakati wa Xmas kerffiya ya kipalestina. Mtakuja ielewa hii wider agenda ya Maislamists ikiwa too late
 
kwahiyo lile dili la meli kulipia ushuru na meli vita za marekani kutoa escort kwa walipa ushuru limeshindikana?

wafia demokrasi mbona hawamuandikii waraka trump kwa kutishia power plants na civilin infrastructure? au inategemea na wahusika
Inategemea na wahusika kaka 🤣🤣😀

Democracy it's an illusion
 
Back
Top Bottom