naam ni maslahi oriented tu hakuna kingineMagharibi hajawahi kuhubiri demokrasia
Ila tu kuna watu walichelewa kuwagundua
Magharibi ndio maswahiba wakubwa wa madikteta kote ulimwenguni
Kuanzia ulaya africa america nk
Huyu mzee fara sana kmmmk ona sentensi ya pili mwishoni, yuko frustrated sana
View attachment 3568001
Negative hii wamedhibitisha ziaid ya source moja, us ana resources na dedicated units. Although si rahis but is not impossibleMarubani wenyewe Bado hawajaokolewa ni propaganda tu!
Pana mwandishi mmoja huko tweeter anaitwa Mario nawfal anasema Trump made a mistake starting the war and Iran made a mistake by refusing to End the war. Ngoja tuendelee kusubirj kitakachotokea.Mahesabu yameenda vibaya, mahesabu yalikuwa ni kwamba Piga na ua Ile top layer ya Iran then utakuwa umeshamaliza Jambo na Iran itakuwa imekubali na wananchi kuchukua nchi kama US na Israel walivyotaka hapo mwanzo, ilifikiriwa isingechukua muda mrefu, Hali imebadilika sasa hivi maana Iran amekataa kusalimu amri licha ya mashambulizi mengi aliyofanyiwa...
Vita sasa haina plan yoyote Ile, Options ni mbili Tu Kwa Trump, MOJA ni kukubali Iran anavyotaka ili vita iishe, MBILI ni kukubali kuendelea kupigana Kwa Kipindi kisichojulikana...Options zote mbili ni hatari.
Tulia acha mihemko tujadiliane kwa hoja au kama hii topic imekuzidi uwezo hamia kwenye chitchat huko.hapa hatutaki mahaba na kanisa lako.Islamists mmejawa na chuki dhidi Marekani na Israel, na kwa bahati mbaya yakawa yanakuja bogus presidents kama akina Hussein Obama yaliyo waramba miguu Maislamists. Ujio wa Trump na kuwepo kwa Netanyahu ilibidi kuje kama ulivyokuja wakati wa Reagan na Thatcher walioiangamiza Soviet Union. Trump na Netanyahu watawakomesha Maislamists wote pamoja na wapenzi wenu wa Kisocialists na Kikomunisti. Mtapukutika
Mkuu wala usikasirike hii inaonesha uwezo wa mtu au baadhi ya watu tulio nao hapa .nineshauri mtu akiona mada inemzidi uwezo anaweza kuhamia Facebook au chitchat huko ndio Kuna porojo nyingi.Hii story mbona Haina uislamu yeye kaleta hoja wewe unaleta vioja, hebu imani zenu bakini nazo sisi tunataka stori na fact
Trump hizo ndo zake hana lugha yakupaka rangi aliwaita waafrika shit hole countries, juzi akamwambia macron atulie hahitaji msaada wake kwanza anapigwa namkeweLugha aliyotumia trump kama raisi ni ngumu Sana na yenye kuumiza pia
Vita nimipango yanchi sasa wewe unasikiliza hisia zamtu binafsi eti marekani hakutakiwa kuvamia, kwahali ilivyo marekan anatakiwa kumchakaza Iran saiv akisubili badae dogo ndevu zitakua zimekomaa itakua too late kumwadabishaPana mwandishi mmoja huko tweeter anaitwa Mario nawfal anasema Trump made a mistake starting the war and Iran made a mistake by refusing to End the war. Ngoja tuendelee kusubirj kitakachotokea.
Sawa sshoga la USAIslamists mmejawa na chuki dhidi Marekani na Israel, na kwa bahati mbaya yakawa yanakuja bogus presidents kama akina Hussein Obama yaliyo waramba miguu Maislamists. Ujio wa Trump na kuwepo kwa Netanyahu ilibidi kuje kama ulivyokuja wakati wa Reagan na Thatcher walioiangamiza Soviet Union. Trump na Netanyahu watawakomesha Maislamists wote pamoja na wapenzi wenu wa Kisocialists na Kikomunisti. Mtapukutika
Jinga ilo joexHii story mbona Haina uislamu yeye kaleta hoja wewe unaleta vioja, hebu imani zenu bakini nazo sisi tunataka stori na fact
Hivyo vitisho wala havimtishi Iran huwezi mshinda vita Iran kwa kupiga Energy infrastructure hata siku moja.Muda huu ambao ni asubuhi Kwa USA ametoa ujumbe huu Kwa Iran, tuendelee kusubiri Hadi hapo jumanne siku ambayo Iran inaenda kupigwa uchumi wake wa mafuta View attachment 3567954
Leo kaja na mpya anadai wamemuokoa pilot sa vipi hatoi picture ya huyo Pilot kaweza kumtoa Nicolas Maduro time anamteka aone aibu kumtoa Pilot walio muokoa hahahaDonald Trump kwa sasa naweza kusema anaweza kuwa ndio Rais muongo kuwahi kutokea duniani na marekani. Huyu jamaa anadanganya mpaka anapitiliza.
Ni mengi sana ya uongo na nadhani amefundishwa na Serikali ya Netanyahu.
Alianza na masuala ya strait of Hormuz, kushindwa kwa majeshi ya Iran na viwanda vya missiles huko Iran ila Kila siku tunaona Iran anayarusha tu hayo makombora.
Akaja na masuala ya NATO kuisaidia marekani hapa napo aliongea uwongo mwingi sana watu wa dunia wanamsikiliza na kumpuuza.
Bado Trump anaendelea kutoa uwongo mwingi sana na hivi punde amejiandaa kutoa hotuba ya namna majeshi ya marekani yalivowaokoa marubani wa marekani.nadhani itatengenezwa Hollywood hii movie.
Lengo la Uzi huu ni kuwatahadharisha make mbali na huyu Trump ni muongo wa Karne. Haaminiki marekani hata nje ya marekani.
Naungana nae huyo mwandishiPana mwandishi mmoja huko tweeter anaitwa Mario nawfal anasema Trump made a mistake starting the war and Iran made a mistake by refusing to End the war. Ngoja tuendelee kusubirj kitakachotokea.
Lini netanyahu alienda ulaya tangu vita ianze?Mkasema Netanyahu kafa tukamuona anadunda mitaani, mkasema AI, akaenda Ukaya mkasema huyo ni mtu aliyevalishwa kinyago cha Neta, Pro Iran mwaka huu mtajamba mashuzi ya kila aina...
Sikiliza The term islamists, siyo muislamu. Ni term ambayo inatumika kwa mijitu iliyojawa na chuki ambayo kiasili chanzo chake ni siasa kali za jihadists islamists. Ndiyo maana Palestinians are islamists, Pope Francis was islamists, Hamas are islamists the Ayatollahs are islamists, muslim Brotherhood are islamists, king Charles and Keir Starmer are now referred to as islamists. Common thread is pandering to the wishes of jihadists islamists and hatred of Israel and Christian civilisation of US. Na wewe ni IslamistTulia acha mihemko tujadiliane kwa hoja au kama hii topic imekuzidi uwezo hamia kwenye chitchat huko.hapa hatutaki mahaba na kanisa lako.
mtizamo wake ni kwamba vita hiyo unabii unatimia,
Na wewe ni nani?Sikiliza The term islamists, siyo muislamu. Ni term ambayo inatumika kwa mijitu iliyojawa na chuki ambayo kiasili chanzo chake ni siasa kali za jihadists islamists. Ndiyo maana Palestinians are islamists, Pope Francis was islamists, Hamas are islamists the Ayatollahs are islamists, muslim Brotherhood are islamists, king Charles and Keir Starmer are now referred to as islamists. Common thread is pandering to the wishes of jihadists islamists and hatred of Israel and Christian civilisation of US. Na wewe ni Islamist
Hamtaelewa Kirahisi the hatred behind most people's attacks on Trump, Israel and Netanyahu. Kwanza ni kwambie tu kuwa anachofanya Trump siyo upumbavu kama ulivyo kwenye vichwa vyenu. That's a deep deep strategic military move akijua finally kuwa katika vita hiyo muhasimu wake ni China. Wewe nikikuuliza, hata haujui how China is heavily involved in this war.Hii story mbona Haina uislamu yeye kaleta hoja wewe unaleta vioja, hebu imani zenu bakini nazo sisi tunataka stori na fact
Inategemea na wahusika kaka 🤣🤣😀kwahiyo lile dili la meli kulipia ushuru na meli vita za marekani kutoa escort kwa walipa ushuru limeshindikana?
wafia demokrasi mbona hawamuandikii waraka trump kwa kutishia power plants na civilin infrastructure? au inategemea na wahusika