Kama kuna mtu kachukua pesa za watu huko CHADEMA uchaguzi umeisha kwisha rudisha .

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
8,406
Reaction score
9,619
Wakuu amani ya Bwana iwe juu yenu, kila mmoja kwa imani yake.

Leo nimeona nitoe onyo , kama yupo ambae amekwapua mpunga toka upande ule, utazitapika, uchaguzi umeishaisha .

Team Mbowe mnaenda kupigwa kama Ngoma.

Mtajua hamjui.
 
Wakuu amani ya Bwana iwe juu yenu ,kila mmoja kwa imani yake.

Leo nimeona nitoe onyo , kama yupo ambae amekwapua mpunga toka upande ule ,utazitapika, uchaguzi umeisha isha .

Team Mbowe mnaenda kupigwa kama Ngoma.

Mtajua hamjui.
Mmmmh,
Nikiwa raia wa kawaida nisiye na chama chochote, TAL namkubali sana ila kwa hali ilivyo hasa siku ile Chairman alivyofuatwa na viongozi mbalimbali pamoja na wanachama na hata siku ya kutangaza nia ya kugombea,
namna ambavyo viongozi wengi wa ngazi ya juu walivyokuwa wengi wako upande wa Chairman naona kama kashinda kabla ya uchaguzi?
 
Mbowe akishindwa atawalaumu sana wapambe nuksi, yaani miaka zaidi ya 20 madarakani uje ubwagwe kwenye uchaguzi badala ya kung'atuka kwa heshima...aibu iliyoje hii??!!.
Aisee jamaa hawezi kukubali, atahonga hata ile Protea Hotel apate tena uenyekiti potelea mbali!!.
 
Mwenye clip wakuu ya Mbowe akizozana na askari police kwamba hatamshinda
(mpinzani wake wake) kile kipindi cha uchaguzi ,akigombea jimboni kwake 2020 naombe apost kwenye andiko hili ili tujikumbushe.
 
Wakuu amani ya Bwana iwe juu yenu ,kila mmoja kwa imani yake.

Leo nimeona nitoe onyo , kama yupo ambae amekwapua mpunga toka upande ule ,utazitapika, uchaguzi umeisha isha .

Team Mbowe mnaenda kupigwa kama Ngoma.

Mtajua hamjui.
Kwani Kabendera kasemaje?
 
Mbowe akishindwa atawalaumu sana wapambe nuksi, yaani miaka zaidi ya 20 madarakani uje ubwagwe kwenye uchaguzi badala ya kung'atuka kwa heshima...aibu iliyoje hii??!!.
Aisee jamaa hawezi kukubali, atahonga hata ile Protea Hotel apate tena uenyekiti potelea mbali!!.
Itakua ni aibu sana kwake.
 
Mmmmh,
Nikiwa raia wa kawaida nisiye na chama chochote, TAL namkubali sana ila kwa hali ilivyo hasa siku ile Chairman alivyofuatwa na viongozi mbalimbali pamoja na wanachama na hata siku ya kutangaza nia ya kugombea,
namna ambavyo viongozi wengi wa ngazi ya juu walivyokuwa wengi wako upande wa Chairman naona kama kashinda kabla ya uchaguzi?
Hahaha
 
Mmmmh,
Nikiwa raia wa kawaida nisiye na chama, TAL namkubali ila kwa hali ilivyo hasa siku ile ya Chairman alivyofuatwa na viongozi mbalimbali pamoja na wachama na hata siku ya kutangaza nia ya kugombea, namna ambavyo viongozi wengi wa ngazi ya juu walivyokuwa wengi wako upande wa Chairman naona kama kashinda kabla ya uchaguzi?
We tulia mkuu, Mbowe hawezi kosa wapambe, wajumbe wa mkutano mkuu ni 1000 na ,alafu unatishwa na vitu vidogo mkuu.
 
Wakuu amani ya Bwana iwe juu yenu ,kila mmoja kwa imani yake.

Leo nimeona nitoe onyo , kama yupo ambae amekwapua mpunga toka upande ule ,utazitapika, uchaguzi umeisha isha .

Team Mbowe mnaenda kupigwa kama Ngoma.

Mtajua hamjui.
Timu Kibaraka mnategemea maneno ambayo hayana Msaada Kwa Wajumbe 😆😆

Mnashindana nae kalipia gharama za mkutano wenu
 
Mmmmh,
Nikiwa raia wa kawaida nisiye na chama chochote, TAL namkubali sana ila kwa hali ilivyo hasa siku ile Chairman alivyofuatwa na viongozi mbalimbali pamoja na wanachama na hata siku ya kutangaza nia ya kugombea,
namna ambavyo viongozi wengi wa ngazi ya juu walivyokuwa wengi wako upande wa Chairman naona kama kashinda kabla ya uchaguzi?
Mkuu ile ya kufuatwa na wanachama nyumbani kwake lile lilikuwa ni igizo, usilipe uzito!.
Hao wenyeviti wa baadhi ya kanda wanaomuunga mkono ni sawa kwakuwa ni wanufaika moja kwa moja wa mbowe...so ni lazima wamuunge mkono.
Ila kumbuka wajumbe mkutano mkuu ni wengi zaidi ya hao vibaraka wa mbowe.
 
Sahii
 
SUGU NA WENJE walikua mbele nyumbani kwa Mbowe wakifikiri wajumbe watatishika, kipigo kipo pale pale.

Namshauri Mbowe siku ya tarehe 21 ,jitoe na ungana wajumbe kutoa kura ya ndio msipoteze mda .

Wenje mbele ya wajumbe wala usisumbuke kwenda omba kura maana ,iyo mashine inaenda kusimama na wewe ,utaonekana kituko
 
Mkuu ile ya kufuatwa na wanachama nyumbani kwake lile lilikuwa ni igizo, usilipe uzito!.
Hao wenyeviti wa baadhi ya kanda wanaomuunga mkono ni sawa kwakuwa ni wanufaika moja kwa moja wa mbowe...so ni lazima wamuunge mkono.
Ila kumbuka wajumbe mkutano mkuu ni wengi zaidi ya hao vibaraka wa mbowe.
Aiseee watu wanajua ku plan mambo,
Umenikumbusha kipindi kile cha Hayati Lowasa 2015.
Ila hawa mafahari wawili wawe makini sana kwa ajili ya uhai na mustakabali wa chama chao.
Je baada ya uchaguzi mfano Lissu akatae matokeo au Mbowe akatae matokeo kitakachotea ni nini kwa chama chao?
 
Back
Top Bottom